- Thread starter
- #181
Nipo hapa Tangu mwaka 2009 hii ni I'd nyingine wewe ni Nani kunifukuza Humu
Huna akili, you are cheap wasted sperm bao lako baba yako angemwaga chooni mtu wa hovyo Sana wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo hapa Tangu mwaka 2009 hii ni I'd nyingine wewe ni Nani kunifukuza Humu
Huna akili, you are cheap wasted sperm bao lako baba yako angemwaga chooni mtu wa hovyo Sana wewe
Nitakushughulikia hata ukija na ID nyingine.Nipo hapa Tangu mwaka 2009 hii ni I'd nyingine wewe ni Nani kunifukuza Humu
Huna akili, you are cheap wasted sperm bao lako baba yako angemwaga chooni mtu wa hovyo Sana wewe
Mpuuzi toka Jana ananifuata fuata daktari uchwara daktari uchwara utafkiri nmewahi mtibu kwanza sijawahi saidia mtu msaada wa kiafya Humu Nawajua watanzania mtu akinifuata dm one thing namwambia wewe nenda hospitali sifanyi history taking na diagnosis mtandaoni mimi
Ndio mim sina sababu siko field na sio part medical scientific team
Wewe una majibu gani kama hujui hata classification ya animals and plant usinlaumu mim jilaumu wewe kwa kukariru uko shuleni
Nmekublock nadhani hii ni comment ya mwisho kukujibu sishindi mitandaoni kama wewe na kazi nyingi za kufanyaNitakushughulikia hata ukija na ID nyingine.
Napenda sana kushughulika na makanjanja ya mitandaoni yenye AJENDA FICHE.
Na mimi nikuhakikishie tu kwamba nitakufuatilia humu masaa 24 kama BUNDI.
Silalagi.
Mpuuzi toka Jana ananifuata fuata daktari uchwara daktari uchwara utafkiri nmewahi mtibu kwanza sijawahi saidia mtu msaada wa kiafya Humu Nawajua watanzania mtu akinifuata dm one thing namwambia wewe nenda hospitali sifanyi history taking na diagnosis mtandaoni mimi
He is arrogant and stupid Hana hata skills za ku argue very cheap
Kazi yangu ni kushughulika na makanjanja ya mitandaoni kama brazajEndelea kukaa kusubiria comments zangu Kila Nkija mtandaoni kuzijibu na ninakuhakikishia sintokujibu hata moja hata iwe irritating vipi sintokujibu
Sababu Huna akili
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bumunda linalojifanya juvi.
Ni mpuuzi sijui hata nlmkosea wapi he keeps following me everywhere nmemblock now sioni chochote anachoniandikiaWajinga huwa haturuhusu wawe issue wala kukutoa kwenye hoja. Akizidi Kuna button ya ignore binafsi sijawahi kujilaumu kuitumia kama ikibidi.
Mim na kutokuipenda science kale katopic ka-classification form two nakukumbuka sanaAnachanganya ebola wana present Sawa na Marburg ingawa ebola ni more virulence
Cha muhimu mpe Elimu aelewe ndicho nlichofanya
Serikali haina sababu ya kuficha aisee kwamba Ile ni ebola no haina hio sababu kabisa
Especially Serikali hii ya sasa
AbsolutelyMim na kutokuipenda science kale katopic ka-classification form two nakukumbuka sana
Marbug na ebola wako class moja ila wanatofautiana ni kama kwenye lentivirus kuna HIV, Bovine immunodeficiency virus na wengineo
Watu wanapingana na ripoti za waziri wa afya.[emoji23][emoji23][emoji23] Serikali iko na kazi kiukweli hadi nimemuhurumia maza sio kwa bumunda hilo kah
Na ukitaka ujue huyo jamaa ni mshamba comment zake ni kwamba anampinga mleta Mada na mimi hivyo hivyo nampinga mleta maadaWajinga huwa haturuhusu wawe issue wala kukutoa kwenye hoja. Akizidi Kuna button ya ignore binafsi sijawahi kujilaumu kuitumia kama ikibidi.
Wanakosea Sana Serikali haina sababu ya kuficha aisee no need for what SasaWatu wanapingana na ripoti za waziri wa afya.
Ni vema watuletee sasa uchunguzi wao waliowapima hao wagonjwa,
Maana serikali iliyopima wagonjwa inatuambia hivi,ila Kuna watu wanasema hivi,tena kwa maneno matupu bila kuonyesha ni namna gani waliwapima hao wagonjwa.
Kazi yangu ni kushughulika na makanjanja ya mitandaoni kama brazaj
Nimejiajiri kwenye hii kazi, na ninaifurahia sana.
Rest assured, nitakufuata kila utakapokwenda.
Na usiponijibu ndio vizuri sana, lakini mimi nitaendelea kujibu kila upotofu unaouandika humu. Nitakujibu usiku na mchana kwa faida ya wengine.
Basi tunaombeni hivyo vipimo ili tuaminiWanakosea Sana Serikali haina sababu ya kuficha aisee no need for what Sasa
Vpimo gani Tena mwanangu [emoji23][emoji23]Basi tunaombeni hivyo vipimo ili tuamini
Maana mnatuchanganya.
Kumbe magufulism bado inalitafuna taifaKumbeekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.
View attachment 2562190
"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."
Maajabu ya Mussa.
Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?
Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.
Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.
Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?
Kwenye tahadhali zilizotolewa na wizara katika namna za kujikinga, kutogusana nayo imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?
Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.
Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.
Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak
Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania
Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.
Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?
Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.
Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema, usanii wetu uliozoeleka utatuumbua.
Ebola na Marburg vyote hupimwa kwa ELISA na antibody titer testBasi tunaombeni hivyo vipimo ili tuamini
Maana mnatuchanganya.