Frankbrown
Member
- Feb 10, 2023
- 10
- 31
Marbug ni Marbug na Ebola ni EbolaSoma mada usirukie treni kwa mbele. Uswahilini hakuna google. Maisha yako uswahilini siyo kwenye google wala mitandaoni.
Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak
Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania
Unataka b iitwe d kwasababu zinataka kufananaTumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani
Ugonjwa sio uleule kwani unasababishwa na virusi vya aina tofauti.Kwamba:
"Kwa ugonjwa ule ule utokanao na kula vitu vile vile, wenye dalili zile zile, namna ya kujikinga ile ile na madhara yale yale?"
Ninataka satellite iitwe satelaiti, internet iitwe intaneti, router iitwe ruta, typhoid iitwe taifodi, Ampiclox iitwe ampikloksi nk kama ilivyokuwa juzi.Unataka b iitwe d kwasababu zinataka kufanana
Ugonjwa sio uleule kwani unasababishwa na virusi vya aina tofauti.
Madhara sio yale yale,yanafanana tu kwa asilimia kubwa,lakini Ebola 'unafyeka' kuliko Marburg.
Kwa sasa,kuna chanjo ya Ebola lakini hakuna chanjo ya Marburg.
Ingekuwa awamu ya tano angesemwa yule bwana mpaka basi. Ila sasa wapinzani tuko tunarambaaa bokeAfu juzi BBC Swahili wanatangaza li Antony diallo la star tv likakatiza matangazo ili wa Tanzania wassisikie.
mitanzania inaweza kuwa mijinga ila siyo wote, wengine tunajitambua nini tunafanya
EBOLA IPOOO!!!!
Mambo kama ya kafariki kwa changamoto za upumuajiHilo Ni Tatizo Kubwa Kuukataa Ukweli Na Kutafuta Maneno Matamu
Baadaye Tutafarakana Bure, Huu Ujanja Serikali Inautoa Wapi
Tusipende kujenga taharuki kwa mambo ambayo hatuna uhakika nayo.Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.
View attachment 2562190
"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."
Maajabu ya Mussa.
Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?
Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.
Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.
Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?
Tahadhali iliyotolewa na wizara na kutogusana imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?
Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.
Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.
Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak
Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania
Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.
Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?
Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.
Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema usanii wetu uliozoeleka, utatuumbua.
Jaribu kuwaza,uwatangazie watu ni Ebola kumbe sio ni Maburg,wakajua kuwa ina chanjo,wakapata chanjo ya ebola wakidhani wamejikinga.Halafu mlipuko ukaendelea kusambaa,watu haohao wakadhurika na kupata Marburg...kwa ujinsi unavyoweza kuua kwa haraka..unadhani utakuwa umesaidia au umetengeneza tatizo zaidi?Kwa kusema ebola kila mtanzania mara moja atajua tuna nini mlangoni na kuchukua tahadhali husika mapema.
Hii ngwengwe hata angekuwa nani wenye akili zao hawawezi kumvumilia.Ingekuwa awamu ya tano angesemwa yule bwana mpaka basi. Ila sasa wapinzani tuko tunarambaaa boke
Ila Congo, Uganda, Gabon, Guinea, Sierra Leone, Liberia na kote kwingine mliita ebola isipokuwa Tanzania?Marbug ni Marbug na Ebola ni Ebola
Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.
View attachment 2562190
"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."
Maajabu ya Mussa.
Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?
Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.
Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.
Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?
Tahadhali iliyotolewa na wizara na kutogusana imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?
Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.
Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.
Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak
Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania
Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.
Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?
Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.
Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema usanii wetu uliozoeleka, utatuumbua.
Tatizo hujui hatua za ufuatiliaji wa magonjwa ya aina hii na ni kwa kiadi gani WHO inajihusisha kwenye usimamizi wake.Hii ngwengwe hata angekuwa nani wenye akili zao hawawezi kumvumilia.
Maisha ya watu hayawezi kuwa ya kufanyia mzaha!
Unafikiri ni ubatizo tu watu wanatoa majina?Ila Congo, Uganda, Gabon, Guinea, Sierra Leone, Liberia na kote kwingine mliita ebola isipokuwa Tanzania?
Hudhani muanze kurekebisha kwanza kule mlikokuwa mlikosea kama leo ndiyo sahihi sasa?
Tusipende kujenga taharuki kwa mambo ambayo hatuna uhakika nayo.
Waliopeleka sample maabara chini ya usimamizi wa WHO wameeleza vyema kilichoonekana.
Sisi tulio nje ya maabara tumetengeneza theory mpya ya tunachokitaka na kutamani. Ukiulizwa wewe sample ulichukua wapi na kupimia wapi?
Haya ni magonjwa yaliyo kwenye grupu moja HAEMORRHAGIC FEVER.
Yanabeba sifa zinazofanana ila visababishi ni tofauti.
Tutumie uhuru wetu wa kujieleza vizuri na kutafakari kwa kuhusisha ubongo wetu na maarifa tuliyonayo na si kufurahisha genge. Leta ushahidi wako.
Tunasikitishwa na neno lenu ovu hili - "taharuki." Neno hili liliasisiwa awamu Ile ya giza. Ni aibu kujaribu kulileta tena katikati ya gonjwa hili leo ambalo nchi nyingine isipokuwa sisi wanalichukulia seriously.
Hata hivyo nikupongeze kuwa ni hatua njema angalau kukiri wazi wazi hivi:
"Haya ni magonjwa yaliyo kwenye grupu moja HAEMORRHAGIC FEVER.
Yanabeba sifa zinazofanana ila visababishi ni tofauti."
Ndani ya lindi la ugonjwa huu umuhimu wa taarifa sahihi hauwezi kudogoshwa. Watu ni lazima wafahamishwe nini kipo mlangoni.
Kiswahili kimekua lini kiasi cha kuweza kudadavua Kwa uwazi kuwa zipo aina ngapi za malaria, ukimwi, au grupu la haemorrhagic fever na vikorombwezo vyake?
Kwa nini mngependa kutuhodhi kiasi hiki kama mbuzi mbuzi tu? Kwamba maisha yetu nani huyo aliye na uchungu zaidi nayo kuliko sisi wenyewe?
Hivi tangia taarifa ya mwanzo wagonjwa 8 vifo 5 hatupaswi kujua maendeleo yoyote? Kwamba ugonjwa umekwisha, unapungua au unaongezeka?
Kwamba hatukupeleka sisi sample? Inahusiana vipi hapa ndugu? Mbona hata tulipo ambiwa sample za mapapai, mbuzi, oil nk zimewahi kuwapo walikuwa tayari kuulizwa kulikoni kutuchukulia poa?
Kama internet ni intaneti, router ni ruta, messenger ni mesenja, hospital ni hospitali, meza ni meza nk, Kwa Nini Marburg siyo Ebola?
Ujanja ujanja huu ni Kwa maslahi ya nani ndugu zangu?