FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Mkuu, kwa kweli pointi kali kinyama!!!! Ila mpaka saa hivi bado natafakari hili neno 'mhalifu' limekukosea nini.Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.
Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.
Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?
Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.
Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anatata watu wamalizwe.
Maanake ulivyoipiga kimoko cha 'mharifu' nilienda kwanza kuwasha fegi yaishe, ile narudi tu hivi...nikaona mbona umeandika 'mhalifu' mara ya pili vizuri? Sa si ndio nikapata munkari wa kusoma, mpaka hapo nilipopigwa kizinga cha 'mahalifu'.