Tunapokuwa na taifa ambalo mkuu wa nchi anakaa kimya pale raia wake wanapouliwa kinyume cha sheria hilli Tataizo kubwa. Kwanini yupo kimya?

Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.

Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.

Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?

Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.

Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anatata watu wamalizwe.
Mkuu, kwa kweli pointi kali kinyama!!!! Ila mpaka saa hivi bado natafakari hili neno 'mhalifu' limekukosea nini.
Maanake ulivyoipiga kimoko cha 'mharifu' nilienda kwanza kuwasha fegi yaishe, ile narudi tu hivi...nikaona mbona umeandika 'mhalifu' mara ya pili vizuri? Sa si ndio nikapata munkari wa kusoma, mpaka hapo nilipopigwa kizinga cha 'mahalifu'.
 
Unalialia nini wewe ukishika mtutu wa bunduki jua ipo siku utakufa kwa mtu wa bunduki

Hao majambazi unawatetea nini ukiona hadi polisi wanachukua maamuzi hayo jua there's no other means or no other options to deal with them isipokua kuwasukumia vyuma tu

Pongezi ziwafikie jeshi la polisi kwa utendaji mzuri wa kazi yao ya kuwamaliza kabisa watu km hao na wenye tabia km hizo ikiwezekana wamalizwe kabisa wote pasibakie hata mmoja kila atakaedakwa apelekewe chuma tu hakuna mjadala piga manati ya mzungu akajieleze mbele huko

Unasema sheria akienda ndani anatoka anarudi mtaani anafanya vile vile inamaana hajajutia kosa alilofanya mwanzo anaendeleza uhalifu

Pigwa manati ya mzungu ndio kilichobakia
Kweli Taifa la Tanzania iina hayawani sio watu unaenda kumkamata mtu nyumbani kwake eti mhalifu halafu unamuua hiyo ndiyo dawa ya uhalifu? Omba kila kitu ila usiombe nchi iwe na wajinga ni shida. Mdogo mdogo tunaingia katika Police State ulizeni waliopitia hayo huko nyuma Uganda na DRC wawaambie itafika wakati kuua mtu itakuwa kawaida mhalifu au sio mhalifu ni mtego wa panya kuingia waliomo na wasiomo mark my words,
 
Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.

Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.

Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?

Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.

Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anatata watu wamalizwe.
Nchi iko katika auto pilot siku ikiamka itatoa tamko kwa Sasa bado tunashughulika na maji ya kuoshea maiti.
 
Ukiachana na hilo mpaka sasa hatujawahi sikia kauli inayohitimisha utata kuhusiana na mambo yanayogusa maisha ya wananchi kama bei za vyakula,tozo,bei za mafuta, ukosefu wa ajira kwa vijana n.k.

Wananchi hatuelewi ukimya huu una maana gani.
 
Tumekusikia MAMA TANZANIA !!!
Kumbuka Mbele ya MUHALIFU huna haki ya kuishi !!
 
Kila mtu ana haki ya kuishi kweli ila sio kuishi kihalifu kwa kuhatarisha haki ya kuishi kwa raia wenzie.

Mtu ana uhuru wa kuongea ila sio aongee upuuzi unaokera wengine kama ambavyo umehara hapa.
 
Wakati wananchi wanauawa hatukuwasikia mkifungua mikundu yenu.Ngoja wakuingizie uume matakoni mwako mbele ya familia yako wakukate na masikio uanze kuvaa headphone.Ndio utajua muhalifu ni wa kuuua tu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Acha kulalamika mjomba kama wao waliuwa basi acha na wao wauwawe. Umeshaambiwa kuwa "Mshahara wa DHAMBI ni MAUTI".

Hao mbwa koko wenu walizingua mpaka kuifanya nchi ionekane haina serikali. Sasa kibao kimewageukia unakuja kulalamika.

Mbona wakati wao (panya road) wakifanya uhalifu wa kuvunja nyumba za raia, kuiba, kujeruhi na mpaka kuuwa raia wasiokuwa na hatia mbona haukuja kuandika ushuzi wako hapa kwa waliyoyafanya?

Nashauri polisi isisitishe oparation hii mpaka ihakikishe nchi inarudi kuwa mahali salama kwa kila mmoja wetu kuishi kwa amani na furaha.
Mbona viongozi waramba asali na wanaokula kwa urefu wa kamba na wauza madawa ya kulevya wanaachwa?
 
Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.

Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.

Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?

Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.

Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anatata watu wamalizwe.
Huyu mama naona kama hajali kwa sababu anaona kuua ni jambo la kawaida, Kwa hapo huyo Samia Suluhu amekosea. Haoni aibu, sasa nimeamini huyu rais ni mzigo mkubwa sana kwa nchi hii.
 
Wakati wao wanaua hukuikumbuka sheria ndugu? Acha polisi nao wavunje sheria ili ujue umuhimu na athari za kuishi kwa kufuata sheria na kuzivunja. Ukisikia dawa ya moto ni moto huwa maana ndio hii.
 
Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.

Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.

Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?

Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.

Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anatata watu wamalizwe.
Alijikuta yuko madarakani tu ila kiatu kinampwaya. Huoni anavyoweza kupanga safari za nje ya nchi akiongozana na muuaji mkuu wa awamu ya tano Makonda!
 
Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.

Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.

Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?

Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.

Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anatata watu wamalizwe.
Usalama wa Taifa wamesahau kumjulisha.
 
Hao machalii hatar sana mkuu kama unakaa huko mkoani tambua hapa dar watu wamekosa amani kabia...wejeruhi watu na kuwapa vilema vya Maisha hata kifo ...kaaa kijanja ukiua kwa upanga nawe utauliwa

Kama una ndugu zako wahuni waambie waache kabisa watakuja kufa shenzi kabisa!!
 
Ukianza wizi na ukibaka wananchi tunakutia mawe na unakufag

Ukipanda cheo kuwa jambaz au panya mapolisi watakutia risasi na utakufa.

Waharifu wa namna hiyo ni kuwaua tu, tena kwa mateso.

Wengine achen uhalifu
 
Acha kulalamika mjomba kama wao waliuwa basi acha na wao wauwawe. Umeshaambiwa kuwa "Mshahara wa DHAMBI ni MAUTI".

Hao mbwa koko wenu walizingua mpaka kuifanya nchi ionekane haina serikali. Sasa kibao kimewageukia unakuja kulalamika.

Mbona wakati wao (panya road) wakifanya uhalifu wa kuvunja nyumba za raia, kuiba, kujeruhi na mpaka kuuwa raia wasiokuwa na hatia mbona haukuja kuandika ushuzi wako hapa kwa waliyoyafanya?

Nashauri polisi isisitishe oparation hii mpaka ihakikishe nchi inarudi kuwa mahali salama kwa kila mmoja wetu kuishi kwa amani na furaha.
Yule dogo mnaodai wanajinyonga vituo vya polisi wamewakosea nini?
 
Shukuru polisi wanaua kwa risasi, raia wangechoka hasira zikawajaa wangekufa kifo kigumu. Upanya haulipi.
 
Back
Top Bottom