Tunapopoteza Matajiri 5 ndani ya wiki 1

Kama serikali uko busy kusimamisha uchumi wako.
 
Ukiwa na mali mkumbuke aliyekupa utajiri kwa kufanya chema kama kumbukumbu kumkumbusha Mungu kwamba ulitenda jambo au umeacha jambo duniani la kukuabudia.
Maana Mola atakuuliza je umefanya jipi jema nikupunguzie adhabu,
 
Prof Massawe Wa Furaha Medical Bunju
 
Ukiwa na mali mkumbuke aliyekupa utajiri kwa kufanya chema kama kumbukumbu kumkumbusha Mungu kwamba ulitenda jambo au umeacha jambo duniani la kukuabudia.
Maana Mola atakuuliza je umefanya jipi jema nikupunguzie adhabu,

Nadhani ukiwa na dhamana ya kusimamia well-being za watu kama serikali una dhima kubwa zaidi.

Kumbuka hawa kama ilivyo kwetu tumetelekezewa janga!

Watamwambia nini Mola kwa kututelekezea janga?
 
Kwani hujui affinity ya COVID na watu wenye kuumwa muda mrefu?

Kwani mzee baba alikuwa na matatizo ya umeme moyoni kwa muda gani?
Kaa kwa kutulia. Naongea kama mwanafamilia. Usilazimishe. Ujuaji umewajaa sana. Inahusiana nini. Akiwa na maradhi mengine ndo lazima apate na covid?
 
tumia takwimu za vifo vya Watanzania nchi nzima

matajiri watano sio Watanzania wote wewe Mr. Potato head
Huu ugonjwa umeondoa matajir wengi mpaka unaweza kuhisi ni laana ndio inayowaondoa achana na hao walio on top matajiri wengi wameondok
 
Kaa kwa kutulia. Naongea kama mwanafamilia. Usilazimishe. Ujuaji umewajaa sana. Inahusiana nini. Akiwa na maradhi mengine ndo lazima apate na covid?

Isije kuwa ujuaji umekukaa wewe.

Aliyezuia taarifa kuhusu covid kwa nguvu alidhani ataweza kuuficha you wake.

Vipi, wewe ni messenger wake?
 
Isije kuwa ujuaji umekukaa wewe.

Aliyezuia taarifa kuhusu covid kwa nguvu alidhani ataweza kuuficha you wake.

Vipi, wewe ni messenger wake?
Bastard. Usilete siasa hapa.

Kwamba unadhani sijapoteza ndugu kwa covid ama? Unaona kila mtu fata mkumbo ama? Nachokuambia ni.. ndugu yetu hajafa na covid, idiot.

Napingaje chanjo na nimeshapokea toka jumatatu? I am vaccined already. Na ikibidi nitaboost tena. Nina wiki 2 toka nikazike ndugu kwa maradhi hayohayo ya covid na misiba mingine tumekimbia maana haiishi we unaleta ujuaji? Hajafa na covid. Ameugua maradhi yake mengine. Na covid ipo. Mumepewa fursa kuanzia leo mkachome chanjo. Punguza makasiriko na stress
 
Kumwambia mtu "bastard, idiot" ni matusi. JF regulations zinakataza tabia hiyo achilia mbali ustaarabu wa kawaida tu.

Kwani nashindwa kuyatumia hayo kwako au hata yaliyo mazito zaidi? Jibu utakuwa nalo mwenyewe.

Umepoteza ndugu kwa covid, umekimbia misiba - nani kakuuliza, nani ana shida nayo au ni ule ujuaji? Kama vipi si uyaanzishie uzi!

Wewe na chanjo na utopolo wote kuhusu unatuhusu nini sisi?
 
Wewe ni ma..ta..k..o..
 
Afadhali wewe ulieleta maneno ya mungu kuliko wanaoabudu chanjo tusime hao waliotangulia hawajachanja? tunahitaji Kumpa Mwenyezi Mungu nafasi yake
 
Kila nafsi ina nafasi sawa Kwa mola na duniani
 
Una maana wameishi na imeshatosha?

Kwani Mh. Rais ana umri gani?
Huo ni umri wa risk kubwa ya magonjwa yasiyombukiza ndio yanapoanzia kwa hiyo sishangai hao watu kufa, ni nyakati zao tu hakuna lingine, Magu si huyu tumemzika, Kijazi, Mfugale n.k.
 
Ndio wanyonge mjipange kuziba pengo la kodi ,kama miamala mnalia kama mumebakwa hapo pengine sasa ndio patamu.
 
Huu ugonjwa umeondoa matajir wengi mpaka unaweza kuhisi ni laana ndio inayowaondoa achana na hao walio on top matajiri wengi wameondok

Unaowasikia ni wenye majina yao. Kina yakhe ni wengi zaidi.

Mtaani kwetu leo tuna misiba 2.

Siku ya 3, 4 na hata 8 ndani ya Wiki 2 zilizopita pia imejiri. Hii ni ndani ya radius ya 800m.

Ngoja Mola atupe nguvu wenye serikali wakisimamisha uchumi wao kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…