Hela hatuna na corona itunyanyase aah wapi wwe!!
alafu corona haipendi mtu aliyepigika mwenye akili ya kujiuwa uwa.....ina tabia ya kumkimbia
Mbona serikali inahimiza watu kuvaa barakoa na kwenda kupata chanjo. Acha kuisingizia serikali Mkuu!
Lenyewe liko busy kuelezea misiba ya majirani zake mita 800 sijui miwili sijui 10 nami namwambia kitu hikohiko kwamba si pekee hata sisi ipo mpk tunaikimbia ila yeye hajaona tatizo ila ya wengine inawahusu nn. Mku*ndu kweli. Kujitia ujuaji tu. Kafa na covid kafa na covid as if ana death certificate. Vivulana vingine[emoji706][emoji706]Huyo jamaa ni mjinga achana nae!
Lenyewe liko busy kuelezea misiba ya majirani zake mita 800 sijui miwili sijui 10 nami namwambia kitu hikohiko kwamba si pekee hata sisi ipo mpk tunaikimbia ila yeye hajaona tatizo ila ya wengine inawahusu nn. Mku*ndu kweli. Kujitia ujuaji tu. Kafa na covid kafa na covid as if ana death certificate. Vivulana vingine[emoji706][emoji706]
aijaanza...amshindwi...matajil...bizaa...aibalance...eti majitu
aijaanza...amshindwi...matajil...bizaa...aibalance...
Unasema serikali iko kimya, ?Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:
1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)
Kina yakhe wangapi wameondoka kimya kimya?
Serikali iko kimya kipaumbele chake kusimamisha uchumi.
Mikusanyiko ya watu bila tahadhari iko pale pale.
Angalizo: Chanjo ya Corona si dawa ya kutibu Corona wala nyenzo pekee ya dhahabu itakayotuepusha na gonjwa hili.
Wanaotangazwa ni hao matajiri Mkuu ukitangaza wachimba chumvi humu si itakua balaa...Makajamba nani kwenye Corona mabishi sana.
Unasema serikali iko kimya, ?
Kwani ulitaka serikali ipige kelele??
Kuna Kijazi na Maalim Seif piaMwaka huu nchi imepoteza mtu mmoja Tu wa maana naye ni JPJM aka Jiwe...!!
Kuna Kijazi na Maalim Seif pia
Nashangaa sanaLabda hao si watu mkuu.
Kwa kweli elimu. Unamsaidia vipi mwanao homework kwa staili hii? Utaishia kuambiwa na mtoto "mbona ticha anasema hayupo wewe unasema ayupo.Elimu .. nakazia: elimu!
Wacha bwana 😳 nimeiona mchana huuKuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.
Serikali ipo busy na midahalo ya chanjoMbona serikali inahimiza watu kuvaa barakoa na kwenda kupata chanjo. Acha kuisingizia serikali Mkuu!
Kwa kweli elimu. Unamsaidia vipi mwanao homework kwa staili hii? Utaishia kuambiwa na mtoto "mbona ticha anasema hayupo wewe unasema ayupo.