- Thread starter
- #101
Hela hatuna na corona itunyanyase aah wapi wwe!!
alafu corona haipendi mtu aliyepigika mwenye akili ya kujiuwa uwa.....ina tabia ya kumkimbia
Mkuu mtaani kwetu radius 800m leo misiba 2.
Ndani ya Wiki 2 zilizopita kulikuwa na 3,4, 8.
Hawa ni kina yakhe. Kina yakhe wengi wanadondoka. Tuwe habari vipi worth of people's comments?