Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi uwa natoa Credit hila hii nimetoa kwenye interview ya muhuusika, na Baghdad mwenyewe nimemtaja katajwa sana hapo kwenye mada..Yani umeenda kukopy mawazo na maelezo ya mtu katika mada ukaja paste hapa mpe credit mkuu sio vzr ufanyavyo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fanya uchunguziMarekani gani iyo mkuu?
aache wivu wa kike wakati ni mwanamke kweliMtoa mada uache wivu wa kike kike....pambana na life lako mkuu.
Hahahaaha..kumbe ni ke..basi apunguze wivu mkuu!aache wivu wa kike wakati ni mwanamke kweli
Kuiga iga sana. Inakera, kwani hamko wabunifu?Msanii Baghdad aliwahi kusema kuwa wazo la kipindi cha The Bartender lilikuwa ni lake na mwanzo wazo lilikuwa TheCounter au The Bartender na alilisajili COSOTA na kubaki na hatimiliki yake. Alishangaa kuona kipindi kinatangazwa wakati makubaliano hayakuwa yametimizwa na kukubaliana. Baghdad anasema kuwa makubaliano yalikuwa ni apate 13% ya mapato yatokanayo na show na idea zote ambazo ataziweka pale Wasafi kuliko kuajiriwa, yaani awe na life-time contract na Wasafi Media.
Baghdad anaendelea kusema kuwa wakiwa katika mchakato wa kusaini mkataba ambao ilionekana kuwa 13% ni kubwa na ishuke hadi 5% ghafla akashangaa kuona promo ya The Bartender, anasema aliamua kuwasiliana na Diamond, cha ajabu Diamond hakuwahi kupokea simu wala kujibu meseji zake. Anasema ilimstua na kuamua kumtafuta Babu Tale, Tale alimsihi sana Baghdad kuwa mtulivu wakati anaongea na Diamond juu ya hili. Alimsihi pia kutofanya chochote mathalani interview popote. Baada ya siku kadhaa Tale na Baghdad walichekiana na kumchana kuwa Diamond kasema fanya chocote unachoweza.
Baghdad aliamua kwenda COSOTA kutafuta haki yake kwa maana hata wazo la Jogoo ni miongoni mwa madini aliyoyatoa Wasafi. Anazidi kusema kuwa, COSOTA waliwaita ili kuwasuruhisha japo Diamond alikuwa akituma wawakilishi, mazungumzo yalifanyika kwa siku kadhaa bila mafanikio na Baghdad kuamua kwenda Mahakamani ili tu haki yake ipatikane.
Kwakeli huu ni utapeli wa kuaminika. Jamaa hawana ubunifu wowote ni wazee wa Kucopy na ku-paste. Walimsema sana Ruge hawa; sasa yule mtoto aliyekua analialia kuonewa kawa mtoto mbaya.
Mimi huwa na shangaa sana. Hizi idea 99% tunatoa kwenye mtandao na Dstv leo mtu anakuja analia lia... So diamond anaweza kuamua kubadili jina la kipindi akaliita the pub..... Wewe utamzinguaje hapo.... Na ukileta za kuleta si anaenda na yeye kusema idea ameitafuta dstv.Bartender ni kipindi ambacho hata marekani kipo?
Hati miliki kwenye kuiga?
Eti sink la chooWe ni jinsia gani mkuu au ndo Juma lokole. Inakuuma sana huyo mzazi mwenzenu mnataka aongelewe kwa mazuri tu wakati kuna mabaya kibao anafanya..
Usinipangie cha kupost wala usinipangie mda wa kupost,. Wewe andika mazuri ya huyo mzazi mwenzako, mi ntaandika ambayo nyie hamwezi kuyaandika kisa ushabiki maandazi, Imekuuma utapeli wake kuwekwa wazi,.
Nyie ndo wale hata jamaa akipost sink la choo Mnaenda kukoment viemoj vya moto huku mkibana pua Chibu akee, simbaa akee, hizo pigo peleka huko hapa tunaongea mambo ya kiume, Utapeli haukubaliki
We na umaskini uliokuandama,shule imekusaidia nini aiseRobidinyo,
Domo ni mwizi na kila mwenye akili timamu analiona hilo.
Kaiba na anaendeleakuiba nyimbo za watu.
Anakopi na kupaste kuanzia kweny Nyimbo, watangazaji mpaka vipindi vya media.
Aisee wazee shule MUhimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Toka hapa.... umecopy thread moja twitter ukaileta hapa au tuilete kama unabisha?Mi uwa natoa Credit hila hii nimetoa kwenye interview ya muhuusika, na Baghdad mwenyewe nimemtaja katajwa sana hapo kwenye mada..
Kwamba Sky sports wakiwai kupost habari ya Pepe waliyoitoa kwenye page yake, BT sports Wakija kuipost baadae unataka wampe sky sports Credit?
Robidinyo,
Domo ni mwizi na kila mwenye akili timamu analiona hilo.
Kaiba na anaendeleakuiba nyimbo za watu.
Anakopi na kupaste kuanzia kweny Nyimbo, watangazaji mpaka vipindi vya media.
Aisee wazee shule MUhimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Ambangile Ni yupi huyo unayemzungumzia?Tatizo la usafini ni ubunifu na ile tabia ya kukwapua watangazaji vituo tofauti wasio na mawazo bunifu, mfano Zembwela iv yule ana ubunifu upi aliiua Uswazi ya EATV baada ya Mussa Hussein kutoka. Maulid Kitenge naona alpoishia ndo hapo hana ubongo mpya wa kutanua ubunifu, Lil Ommy yuko vizuri ila naona kapwaya The Switch maana hajaja pale na ubunifu mpya. Pale watu wenye maono ni Ambangile na nahisi akimtumia vizuri anaweza leta impact kubwa, Aaliyah, na Edo Kumwembe ingawa yupo kimasilahi zaidi lakini akibadili mindset Edo ana akili kichwani.
Mi uwa natoa Credit hila hii nimetoa kwenye interview ya muhuusika, na Baghdad mwenyewe nimemtaja katajwa sana hapo kwenye mada..
Kwamba Sky sports wakiwai kupost habari ya Pepe waliyoitoa kwenye page yake, BT sports Wakija kuipost baadae unataka wampe sky sports Credit?
Mi uwa natoa Credit hila hii nimetoa kwenye interview ya muhuusika, na Baghdad mwenyewe nimemtaja katajwa sana hapo kwenye mada..
Kwamba Sky sports wakiwai kupost habari ya Pepe waliyoitoa kwenye page yake, BT sports Wakija kuipost baadae unataka wampe sky sports Credit?