Tunaposema huyu mtu hafai tueleweni jamani

Hakuna tafsiri nzuri zaidi ya hii kuhusu hali inayomkabiri Samia wakati huu na kufanya maamuzi ya ajabu ajabu hivi.

Tokea ule mkasa wa DP World, huyu mwana mama kapoteza hata kile kidogo alichokuwa anakitegemea kuwa kitamsaidia kuendelea kushika madaraka. Sasa amebaki kutapatapa kama mfa maji.
 
Umejieleza, naheshimu maelezo yako, ila sikubaliani nayo. Yameongeza tope zaidi kuliko ilivyo kuwa mwanzo.

Njeya hilo, niseme tu, hata hilo jina lako linanifanya nikuheshimu tu, kwa sababu nizijuazo mwenyewe.

Makonda hana kitu, na wala haongezi thamani yoyote katika uongozi wa nchi hii. Samia sasa amekuwa ni kama mfa maji vile.
 
Huyu kenge anatumika tu ila watamuacha kama kondomu iliyotumika. Ila baada ya Samia kutoka madarakani jela inamsubiri
 
Kwani kuna cha kumzuia kuendelea kushika madaraka?. Si anajipitisha chap tu?
 
Taja JINA
 
Can't be serious. There's nothing of the sort in issues like this!
Even in numbers there's 0 which is neither + nor -. All I care about is National flourishment. I dare to say I sincerely don't have a sounding reason to be to either sided!
 
Even in numbers there's 0 which is neither + nor -. All I care about is National flourishment. I dare to say I sincerely don't have a sounding reason to be to either sided!
Where do you get the so called "National flourishment"? Your being detached from reality cannot bring that 'flourishment you allude to.
 
Ndio mkuu. Yule na huyu Wameshikilia kisu kile kile. Si ajabu yakajirudia Yale Yale!
So there's a sense of doubt in your statement already!
Sasa nakuomba uanzie hapo hapo. Ukitaka usiwe 'neutral' tu, bali anza kuwapa moyo wanaojitahidi kuleta mabadiliko.
 
Where do you get the so called "National flourishment"? Your being detached from reality cannot bring that 'flourishment you allude to.
I have my part to play as a responsible citizen which doesn't necessarily have to be attached to a certain group's ideology!
 
 
Yaani wewe hujielewi bado. Yaani ukiniheshimu wewe naongezekewa nini hadi uifanye heshima kuwa fadhila kwangu? You can go as low s you can aiseee sijawahi ogopa vita,nimelelewa kwenye vita haswa.
Yaani chaos ndio mazoea utulivu unanipa shida naona kuna kitu hakiko sawa. Let the show begin,feel free.

Makonda hana kitu kwako ila ndiye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,suala la thamani,muda utasema.

Samia ndiye Rais, Rais si malaika,atafanya mazuri na makosa pia. Hata Barack alipomaliza muda wake alielezea regrets zake including Libya,ukisoma vitabu vya Mwinyi na Mkapa utajifunza pia walifanya yao. Its life.

Tuendelee na yale nayopenda sasa......eheeeee!
 
Umekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…