Tunaposema huyu mtu hafai tueleweni jamani

Ni pale mtu anapoamua kumtafuta jambazi mkuu awe mlinzi wake akijua kuwa hakuna jambazi atakayemtishia kwa sababu yeye ameshikamana na jambazi mahiri zaidi kwenye ujambazi. Ni sawa na ule msemo kuwa mpe mchawi akulelee mwanao kwa kuamini hakuna mchawi atakayemnyemelea.

Samia inaonekana amekuwa na tamaa ya uongozi kiasi cha kuwa tayari kufanya chochote alimradi kama itamsaidia kuulinda Urais.
Hakuna tafsiri nzuri zaidi ya hii kuhusu hali inayomkabiri Samia wakati huu na kufanya maamuzi ya ajabu ajabu hivi.

Tokea ule mkasa wa DP World, huyu mwana mama kapoteza hata kile kidogo alichokuwa anakitegemea kuwa kitamsaidia kuendelea kushika madaraka. Sasa amebaki kutapatapa kama mfa maji.
 
Nilichomaanisha na ulichoelewa ni tofauti kwa kiasi fulani. Kwenye siasa ya Tanzania kuna watu wa aina tatu: waovu ambao maovu yao yako wazi,waovu ambao maovu yao hayako wazi na waovu wanaosubiri upenyo wa kufanya uovu. Sasa muovu ambaye anajulikana ni mwepesi kuliko usiyemtarajia.
Sinaga tabia ya kupingana na vitu nisivyoweza kuvibadili,Makonda ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,nimkubali nisimkubali ni yeye,sasa nachoweza kukizungumzia ni kimoja,mafanikio yake na ya chama yanategemea waliomzunguka na wanaomshauri.

Basics nilizomaanisha ni kuwa kwa nafasi aliyopewa vile vigezo visivyohitaji uzoefu wa miaka mingi anavyo viwe vya kuzaliwa au malezi ndani ya chama.

Tuendelee ila ondoa hisia.
Umejieleza, naheshimu maelezo yako, ila sikubaliani nayo. Yameongeza tope zaidi kuliko ilivyo kuwa mwanzo.

Njeya hilo, niseme tu, hata hilo jina lako linanifanya nikuheshimu tu, kwa sababu nizijuazo mwenyewe.

Makonda hana kitu, na wala haongezi thamani yoyote katika uongozi wa nchi hii. Samia sasa amekuwa ni kama mfa maji vile.
 
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani( Jina linafahamika)

Mengi yalisemwa kunusu huyu mtu ila kuu ni kuwa huyu mtu ni muumini mtiifu sana wa lile kundi ambalo bado linaamini lenyewe ndo lenye hatma ya Tanzania na linataka kuongoza Tanzania kwa maslahi yako na wala sio maslahi ya Tanzania

Ukiangalia tangu alivyopewa nafasi ya kisiasa chamani anachofanya ni kujibrand mwenyewe na wala sio chama wala kiongozi wa chama kama alivyotegemea

Matangazo mengi anayoyatoa, picha anazopiga kwa mtu mwenye akili unayelielewa lile kundi unagundua kabisa ni za kujijenga yeye kwa maslahi ya lile kundi lake.

Maneno anayotamka ni kama kuwaamsha wafuasi wa lile kundi ambalo kwa kiasi kikubwa walikuwa wanalijenga kundi lao na sio utengamano wa Taifa kwa maslahi ya Taifa.

Wengi tulisema na sasa tunasema tena. Rais wetu Samia, nyoka ni nyoka, kamwe akaribishwi chumbani..

Taasisi nyeti iliikoa nchi yetu kuingia kwenye siasa za Rwanda na Burundi kwa kumuondoa huyu mtu. Sasa umemrudisha. Kama hujashtuka utapata majibu soon!

View attachment 2825643
Huyu kenge anatumika tu ila watamuacha kama kondomu iliyotumika. Ila baada ya Samia kutoka madarakani jela inamsubiri
 
Hakuna tafsiri nzuri zaidi ya hii kuhusu hali inayomkabiri Samia wakati huu na kufanya maamuzi ya ajabu ajabu hivi.

Tokea ule mkasa wa DP World, huyu mwana mama kapoteza hata kile kidogo alichokuwa anakitegemea kuwa kitamsaidia kuendelea kushika madaraka. Sasa amebaki kutapatapa kama mfa maji.
Kwani kuna cha kumzuia kuendelea kushika madaraka?. Si anajipitisha chap tu?
 
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani( Jina linafahamika)

Mengi yalisemwa kunusu huyu mtu ila kuu ni kuwa huyu mtu ni muumini mtiifu sana wa lile kundi ambalo bado linaamini lenyewe ndo lenye hatma ya Tanzania na linataka kuongoza Tanzania kwa maslahi yako na wala sio maslahi ya Tanzania

Ukiangalia tangu alivyopewa nafasi ya kisiasa chamani anachofanya ni kujibrand mwenyewe na wala sio chama wala kiongozi wa chama kama alivyotegemea

Matangazo mengi anayoyatoa, picha anazopiga kwa mtu mwenye akili unayelielewa lile kundi unagundua kabisa ni za kujijenga yeye kwa maslahi ya lile kundi lake.

Maneno anayotamka ni kama kuwaamsha wafuasi wa lile kundi ambalo kwa kiasi kikubwa walikuwa wanalijenga kundi lao na sio utengamano wa Taifa kwa maslahi ya Taifa.

Wengi tulisema na sasa tunasema tena. Rais wetu Samia, nyoka ni nyoka, kamwe akaribishwi chumbani..

Taasisi nyeti iliikoa nchi yetu kuingia kwenye siasa za Rwanda na Burundi kwa kumuondoa huyu mtu. Sasa umemrudisha. Kama hujashtuka utapata majibu soon!

View attachment 2825643
Taja JINA
 
Can't be serious. There's nothing of the sort in issues like this!
Even in numbers there's 0 which is neither + nor -. All I care about is National flourishment. I dare to say I sincerely don't have a sounding reason to be to either sided!
 
Where do you get the so called "National flourishment"? Your being detached from reality cannot bring that 'flourishment you allude to.
 
Ndio mkuu. Yule na huyu Wameshikilia kisu kile kile. Si ajabu yakajirudia Yale Yale!
So there's a sense of doubt in your statement already!
Sasa nakuomba uanzie hapo hapo. Ukitaka usiwe 'neutral' tu, bali anza kuwapa moyo wanaojitahidi kuleta mabadiliko.
 
Where do you get the so called "National flourishment"? Your being detached from reality cannot bring that 'flourishment you allude to.
I have my part to play as a responsible citizen which doesn't necessarily have to be attached to a certain group's ideology!
 
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani( Jina linafahamika)

Mengi yalisemwa kunusu huyu mtu ila kuu ni kuwa huyu mtu ni muumini mtiifu sana wa lile kundi ambalo bado linaamini lenyewe ndo lenye hatma ya Tanzania na linataka kuongoza Tanzania kwa maslahi yako na wala sio maslahi ya Tanzania
Huyu Mbona hujamsema au shida ni akifanya Makonda?
20231127_104220.jpg

Ukiangalia tangu alivyopewa nafasi ya kisiasa chamani anachofanya ni kujibrand mwenyewe na wala sio chama wala kiongozi wa chama kama alivyotegemea

Matangazo mengi anayoyatoa, picha anazopiga kwa mtu mwenye akili unayelielewa lile kundi unagundua kabisa ni za kujijenga yeye kwa maslahi ya lile kundi lake.

Maneno anayotamka ni kama kuwaamsha wafuasi wa lile kundi ambalo kwa kiasi kikubwa walikuwa wanalijenga kundi lao na sio utengamano wa Taifa kwa maslahi ya Taifa.

Wengi tulisema na sasa tunasema tena. Rais wetu Samia, nyoka ni nyoka, kamwe akaribishwi chumbani..

Taasisi nyeti iliikoa nchi yetu kuingia kwenye siasa za Rwanda na Burundi kwa kumuondoa huyu mtu. Sasa umemrudisha. Kama hujashtuka utapata majibu soon!

View attachment 2825643
 
Umejieleza, naheshimu maelezo yako, ila sikubaliani nayo. Yameongeza tope zaidi kuliko ilivyo kuwa mwanzo.

Njeya hilo, niseme tu, hata hilo jina lako linanifanya nikuheshimu tu, kwa sababu nizijuazo mwenyewe.

Makonda hana kitu, na wala haongezi thamani yoyote katika uongozi wa nchi hii. Samia sasa amekuwa ni kama mfa maji vile.
Yaani wewe hujielewi bado. Yaani ukiniheshimu wewe naongezekewa nini hadi uifanye heshima kuwa fadhila kwangu? You can go as low s you can aiseee sijawahi ogopa vita,nimelelewa kwenye vita haswa.
Yaani chaos ndio mazoea utulivu unanipa shida naona kuna kitu hakiko sawa. Let the show begin,feel free.

Makonda hana kitu kwako ila ndiye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,suala la thamani,muda utasema.

Samia ndiye Rais, Rais si malaika,atafanya mazuri na makosa pia. Hata Barack alipomaliza muda wake alielezea regrets zake including Libya,ukisoma vitabu vya Mwinyi na Mkapa utajifunza pia walifanya yao. Its life.

Tuendelee na yale nayopenda sasa......eheeeee!
 
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani( Jina linafahamika)

Mengi yalisemwa kunusu huyu mtu ila kuu ni kuwa huyu mtu ni muumini mtiifu sana wa lile kundi ambalo bado linaamini lenyewe ndo lenye hatma ya Tanzania na linataka kuongoza Tanzania kwa maslahi yako na wala sio maslahi ya Tanzania

Ukiangalia tangu alivyopewa nafasi ya kisiasa chamani anachofanya ni kujibrand mwenyewe na wala sio chama wala kiongozi wa chama kama alivyotegemea

Matangazo mengi anayoyatoa, picha anazopiga kwa mtu mwenye akili unayelielewa lile kundi unagundua kabisa ni za kujijenga yeye kwa maslahi ya lile kundi lake.

Maneno anayotamka ni kama kuwaamsha wafuasi wa lile kundi ambalo kwa kiasi kikubwa walikuwa wanalijenga kundi lao na sio utengamano wa Taifa kwa maslahi ya Taifa.

Wengi tulisema na sasa tunasema tena. Rais wetu Samia, nyoka ni nyoka, kamwe akaribishwi chumbani..

Taasisi nyeti iliikoa nchi yetu kuingia kwenye siasa za Rwanda na Burundi kwa kumuondoa huyu mtu. Sasa umemrudisha. Kama hujashtuka utapata majibu soon!

View attachment 2825643
Umekwisha
 
Back
Top Bottom