Haiwezekani mkuu. Ni mapinduzi tu, na mapinduzi yakifanyika lazima jeshi litahusika. Au kuna namna gani mafisadi wanaweza kuondolewa bila nchi kuchukuliwa na wanajeshi ili wanahakarati wapite humo?Kwa hiyo wanaharakati wa Tanzania ndiyo mmekubali kabisa kuwa bila ya jeshi hamuwezi kuwaondoa watawala wa sasa?
Kwa nini mnakuwa na hii false dichotomy ya "ama wanajeshi, ama mafisadi"?
Hamuwezi kuondoa mafisadi bila nchi kuchukuliwa na wanajeshi?
kwani hawa ccm wanaheshimu demokrasia??? wangekuwa wanaheshimu demokrasia wangekuwa wanaengua wapinzani wote?? wangekuwa wanakimbia na mabox ya kura?? tutolee usenge hapaKutegemea jeshi lilete demokrasia, haki na uhuru ni contradiction.
Jeshi linatawala kijeshi na halina guarantee yoyote ya kuheshimu demokrasia, haki wala uhuru wa watu.
Watanzania wanaotajataja sana jeshi lichukue nchi wengi wana tabia hizi.
1. Wako desperate. Desperate people do desperate things. Mfa maji haishi kutapatapa. Mtu anayezama hata akiona unywele ataushika ili asizame.
2. Wavivu. Watu wavivu wanapenda kuwapangia wengine wafanye kazi wanayotakiwa kufanya wao. Badala ya wao kufanya wajibu wao kuitoa serikali wanayoona dhalimu madarakani, wanalisukumia wajibu huo jeshi.
3. Wanapenda shortcuts. Badala ya kufanya kazi kubwa na nzito ya kuelimisha jamii ili jamii ijue uhuru ni nini, ifanye mabadiliko ya kimsingi ya kijamii, wanakimbilia shortcut ya kutaka jeshi lichukue madaraka.
4. Wanapenda kutumia nguvu kuliko kutumia akili. Ni watu ambao wanaona jeshi ni alama ya kutumia nguvu. Wanaamini katika kutumia nguvu sehemu ambayo panatakiwa kutumia akili. Wanapenda show za kibabe. Ndiyo maana hata marais ambao hawamo jeshini ukiondoa vyeo vya kisiasa kama Commander In Chief, wanapenda kuvaa magwanda ya kijeshi. Wanasiasa washajua wakivaa magwanda ya kijeshi wananchi wanalainika. Just the projection of military power does it for most Tanzanians.
5. Hawana akili za kuangalia mambo kama unintended consequences, bad precedent, na madhara ya muda mrefu ya mapinduzi ya kijeshi. Kifupi ni watu wenye akili fupi sana ambao hawawezi kupima mambo kwa kina.
Hamjiamini.Haiwezekani mkuu. Ni mapinduzi tu, na mapinduzi yakifanyika lazima jeshi litahusika. Au kuna namna gani mafisadi wanaweza kuondolewa bila nchi kuchukuliwa na wanajeshi ili wanahakarati wapite humo?
Hii ni logical fallacy ya false dichotomy.kwani hawa ccm wanaheshimu demokrasia??? wangekuwa wanaheshimu demokrasia wangekuwa wanaengua wapinzani wote?? wangekuwa wanakimbia na mabox ya kura?? tutolee usenge hapa
Jeshi likichukua nchi kuta kitu hata CCM watajifunza watanzania wengi wanataka tukose wote wanaotaka Jeshi lichukue nchi wanataka na CCM wakose wajifunze wana hojaUnafahamu kitu kinaitwa "civilian control of the military" ni nini?
Ushawahi kujielimisha ukielewe ni kitu gani hicho?
Wakati wakina Mkuchika, Kikwete, Makamba Sr, Nnauye Sr, etc, wanatoka jeshini na kuamua kuingia kwenye siasa ulikuwa wapi? Ulikuwa umezaliwa? Umesoma kujua kwa nini waliambiwa wachague jeshi au siasa? Umeelewa sababu zake za kifalsafa?
Unajua wanajeshi wangapi walikuwa jeshini wakatoka kuingia kwenye siasa, mwingine amekuwa mpaka rais?
Sasa hao walikataliwa kushiriki siasa nao?
Unaelewa walipewa uchaguzi wa kuwa wanajeshi au wanasiasa?
Kuhusu Ummy.
Kwa hiyo utawala wa kijeshi ndio utakaomruhusu Ummy?
Unaelewa hii hoja ni logocal non sequitur fallacy, na unaweza kuruka majivu na kukanyaga moto kabisa?
Unaelewa utawala wa kijeshi maana yake nini?
Unaelewa kuwa kama wewe unalilia katiba mpya, utawala wa jeshi unaweza kuondoa haki za kikatiba na kutawala kwa amri za kijeshi bila kujali katiba yoyote?
Unaelewa utawala wa kijeshi ukianza kawaida unaanza kwa ku suspend katiba na kuweka baraza la kijeshi kutawala kijeshi?
Jeshi likichukua nchi kuta kitu hata CCM watajifunza watanzania wengi wanataka tukose wote wanaotaka Jeshi lichukue nchi wanataka na CCM wakose wajifunze wana hoja
Mkuu tunachojua ni kuwa kwa kupitia Kura haitakuja tokea kupata serikali ya kidemokrasia ya chama kingine.Hamjiamini.
Na hii ndiyo sababu mtapigwa sana tu. Hata hao wanajeshi wakija watawapiga sana tu.
Tena hao inawezekana wakawapiga zaidi kwa danabu wao watai suspend katiba kabisa.
Kwa sababu wataona mmeshindwa kuwasimamia.
Sasa kama mmeshindwa kuwasimamia kina Samia hawa nyoronyoro, akija kutokea mwanajeshi kama Sani Abacha mtaweza kumsimamia nyie watu?
Hivi mnaelewa utawala wa kijeshi maana yake nini?
That is suspension of the constitution, curfews, rule by military junta decrees.
Mnaelewa utawala wa kijeshi maana yake nini?
Mnaelewa kuwa mnataka wananchi wajiondolee haki za kikatiba na kukubali kupelekwa pelekwa kwa amri za kijeshi?
Abakacha mpaka Sasa yupo Kuna nyuzi Abakacha na Uongozi wa TanzaniaTutakosa wote vipi wakati jeshi kwa kiasi kikubwa ni CCM?
Wewe huoni wanajeshi wanavyoingizwa kwenye siasa, tena wote CCM, wengine mpaka kinyume na kanuni za "civilian control of the military"?
Huelewi wapi?
Jeshi lenyewe jeshi gani wanajeshi wenyewe hawa wanafadhiliwa na kujazwa itikadi za CCM tangu enzi za chama kimoja?
Kwa nini mnataka kuwafanya wanajeshi wa Tanzania kuwa ni watu independent na exceptional sana?
Kwa nini hamuelewi kuwa jinsi nyie raia mlivyoshindwa kubadili kitu na wanajeshi nao wameshindwa hivyo hivyo?
Hamuelewi wapi? Hamuelewi kuwa ukiona wanajeshi wanalialia mitandaoni kama raia maana yake na wao wenyewe wana woga kama raia tu, nyie wote ni Watanzania mna tabia ya uoga ile ile tu, bila kujali mtu ni mwanajeshi au raia.
Wanajeshi Tanzania walishamkimbiza rais Ikulu, rais Nyerere akakimbilia Kigamboni na Kawawa na mlinzi wake Peter Bwimbo.
Wanajeshi kufika Ikulu badala ya kuchukua nchi, wakasema wao hawana nia ya kuchukua nchi wanapigania maslahi yao tu.
Hawa ndio wanajeshi unaotaka wachukue nchi?
Wanajeshi wa Tanzania wameshakuwa shaped kutii amri ya uongozi wa kiraia, uongozi wa CCM. Ndiyo maana Mabeyo alivyopewa mpango wa kumuweka rais tofauti na Samia baada ya Magufuli kufariki, alikataa, akasema atailinda katiba.
Hamuelewi wapi?
Wanajeshi wenyewe si ndio hawahawa kila siku tunasikia wanapiga vibaya raia kwa mambo minor tu?
Wanajeshi gani? Hawa wanaoongozwa na top brass wanaosema wao wanatetea katiba tu?
Wanajeshi gani mnawategemea ambao mnawaona wana integrity sana kiasi hawawezi kufanya vibaya hata zaidi ya hawa mafisadi wa sasa?
Hawa wanajeshi si ndio hawa wameingia kwenye scandal za kutapeli watu wakiwaahidi kuwapa kazi jeshini?
Hawa wanajeshi si ndio wamepiga hela kwenye scandals za radar mpaka Waingereza wakaturudishia pesa zetu, Claire Short akalazimisha kurudisha pesa kwa huruma tu ?
Unaijua scandal ya radar na BAE? Unajua jeshi lilivyohusika?
Unajua ufisadi jeshini? Unajua scandals za manunuzi ya silaha katika jeshi la Tanzania? Unajua wanajeshi wakubwa wanahusika? Unajua kuwa Watanzania wana utamaduni wa kuwaheshimu tu wanajeshi lakini na wao wengi ni mafisadi tu?
Hawa wanajeshi si ndio wamepiga hela za scandal ya Meremeta?
Ulifuatilia scandal ya Meremeta?
Sasa kama wanajeshi nao wanafanya ufisadi huohuo mnaotaka kuukataa CCM, mnategemeaje wanajeshi wamalize ufisadi?
Hamuoni kuwa mtakuwa mmeutoa ufisadi wa kina Samia nyoronyoro hawa, mnataka kuuweka ifisadi wa kina Sani Abacha wa mtutu wa bunduki?
Sasa kama mpaka sasa unapelekwa kijeshi unataka jeshi litawale ili iweje wakati utawala wa kijeshi unao tayari?Mkuu tunachojua ni kuwa kwa kupitia Kura haitakuja tokea kupata serikali ya kidemokrasia ya chama kingine.
Mpaka sasa tunaishi kwenye utawala wa kijeshi, demokrasia ni neno tu.
Hivyo kama wakipewa nchi wanajaeshi na wakawa madikteta, hatutadhurika chochote sababu mpaka sasa tunapelekwa kijeshi, katiba imekuwa suspended kitambo sana.
Abakacha ndiyo nani?Abakacha mpaka Sasa yupo Kuna nyuzi Abakacha na Uongozi wa Tanzania
Binafsi namuunga mkono mtoa mada bila kujali matokeo ya kutawaliwa kijeshi. CCM ilipofikia ni kama zimwi linyonyalo damu za watu sasa imefikia mahala haliridhiki tena! At least tujaribu jeshi kuna chances ikalipa kama yale mataifa 3 ya afrika magharibi. Lakini pia, utawala huu wa CCM unaiona wapi demokrasia na harufu ya maendeleo?Kwanza watu mnaodai haki, uhuru na demokrasia hamuoni tatizo kwenye hoja nzima ya utawala wa kijeshi?
Hivi mnaelewa utawala wa kijeshi ni nini?
Acha wachukue tu maana watawala wanatuona wapumbavuKwanza watu mnaodai haki, uhuru na demokrasia hamuoni tatizo kwenye hoja nzima ya utawala wa kijeshi?
Hivi mnaelewa utawala wa kijeshi ni nini?
bora wao kuliko huyu mtekajHivi mkuu hao wanajeshi unawaamini kiasi gan? Una uhakika wataweza kuheshimu katiba ya nchi?
Tuache fikra za ajabu watanzania tubadilike. Hata mtoa mada ukipewa nchi leo, ni wazi utakuwa fisadi, maana naona ubinafsi mkubwa kwenye maandishi yako.
Sisi tutafurahia kutawaliwa kijeshi na wanajeshi halisi, kuliko tunavyotawaliwa na raia waliojigeuza wanajeshi.Sasa kama mpaka sasa unapelekwa kijeshi unataka jeshi litawale ili iweje wakati utawala wa kijeshi unao tayari?
Sasa huo ni mzimu usiokujua mkuuBFFbora wao kuliko huyu mtekaj
Bora tutawaliwe kijeshi na utawala wa kijeshi tukijua kuliko kutawaliwa kidikteta na hawa mafisadi wanaoibaka katiba mchana kabisaSisi tutafurahia kutawaliwa kijeshi na wanajeshi halisi, kuliko tunavyotawaliwa na raia waliojigeuza wanajeshi.
Kwenye mjadala huu, hujapinga kuwa hadi sasa tunaendeshwa kijeshi na kuwa katiba haifuatwi, sasa inashangaza unahofu nini wakija wanajeshi halisi na kututawala? Hutaki tubadilishe watu hata kama kutawaliwa kutakuwa kulekule?
Hilo la jeshi ni wazo la kijinga mara mbili.Binafsi namuunga mkono mtoa mada bila kujali matokeo ya kutawaliwa kijeshi. CCM ilipofikia ni kama zimwi linyonyalo damu za watu sasa imefikia mahala haliridhiki tena! At least tujaribu jeshi kuna chances ikalipa kama yale mataifa 3 ya afrika magharibi. Lakini pia, utawala huu wa CCM unaiona wapi demokrasia na harufu ya maendeleo?
Hakuna mwanajeshi wa kuchukua nchi Tanzania.Acha wachukue tu maana watawala wanatuona wapumbavu
Hakuna mwanajeshi wa kupindua uongozi wa serikali Tanzania.Sisi tutafurahia kutawaliwa kijeshi na wanajeshi halisi, kuliko tunavyotawaliwa na raia waliojigeuza wanajeshi.
Kwenye mjadala huu, hujapinga kuwa hadi sasa tunaendeshwa kijeshi na kuwa katiba haifuatwi, sasa inashangaza unahofu nini wakija wanajeshi halisi na kututawala? Hutaki tubadilishe watu hata kama kutawaliwa kutakuwa kulekule?
Kwani kwa Sasa Kuna utawala wa kisheria au kikatiba?Kutegemea jeshi lilete demokrasia, haki na uhuru ni contradiction.
Jeshi linatawala kijeshi na halina guarantee yoyote ya kuheshimu demokrasia, haki wala uhuru wa watu.
Watanzania wanaotajataja sana jeshi lichukue nchi wengi wana tabia hizi.
1. Wako desperate. Desperate people do desperate things. Mfa maji haishi kutapatapa. Mtu anayezama hata akiona unywele ataushika ili asizame.
2. Wavivu. Watu wavivu wanapenda kuwapangia wengine wafanye kazi wanayotakiwa kufanya wao. Badala ya wao kufanya wajibu wao kuitoa serikali wanayoona dhalimu madarakani, wanalisukumia wajibu huo jeshi.
3. Wanapenda shortcuts. Badala ya kufanya kazi kubwa na nzito ya kuelimisha jamii ili jamii ijue uhuru ni nini, ifanye mabadiliko ya kimsingi ya kijamii, wanakimbilia shortcut ya kutaka jeshi lichukue madaraka.
4. Wanapenda kutumia nguvu kuliko kutumia akili. Ni watu ambao wanaona jeshi ni alama ya kutumia nguvu. Wanaamini katika kutumia nguvu sehemu ambayo panatakiwa kutumia akili. Wanapenda show za kibabe. Ndiyo maana hata marais ambao hawamo jeshini ukiondoa vyeo vya kisiasa kama Commander In Chief, wanapenda kuvaa magwanda ya kijeshi. Wanasiasa washajua wakivaa magwanda ya kijeshi wananchi wanalainika. Just the projection of military power does it for most Tanzanians.
5. Hawana akili za kuangalia mambo kama unintended consequences, bad precedent, na madhara ya muda mrefu ya mapinduzi ya kijeshi. Kifupi ni watu wenye akili fupi sana ambao hawawezi kupima mambo kwa kina.