GE2025 Tunaposema Jeshi lichukue Nchi kwa sababu Taasisi zote zimejifia tueleweni jamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata huo utawala wa kijeshi nikikwambia haya, kap8ndueni.

Hamuwezi.

Mnachangamsha baraza tu.

Kwa sababu wanajeshi wa Tanzania hawana tofauti na wananchi wa Tqnzania.

Mnawafanya wanajwshi kuwa ni watu fulani tofauti saaana, wanaweza kuleta mabadiliko.

Wakati wanajeshi ni ndugu zetu, tunawajua.

Matatizo yote yanayoikabili jamii ya Tanzania nje ya jeshi ndiyo hayo hayo yanayolikabili jeshi.

Jeshi si kisiwa useme hakijafikiwa na matatizo ya Tanzania nje ya jeshi.

Huelewi wapi?

Huo i wananchi wanalialai mitandaoni na wanajeshi badala ya kufanya kweli na wao wanalialia mitandaoni?

Hawa wanajeshi wanaolialia mitandaoni ndio mnataka wapindue nchi?
 
Mkuu ni uoga dhidi ya jeshi au nini? Mbona unaandika kama mtu ambaye anatetemeka wakati una uhakika kabisa jeshi halitachukua nchi?
 
Nimeona huko mwanzo kwenye moja ya comment zake ambayo imejaa dharau na maudhi tu anasema eti...

...moja ya njia tunayoweza kutumia kupata mabadiliko tunayoyataka ya kiuongozi eti ni kusambaza elimu kwa watu hasa kwa wale ambao bado hawajaamka, hili mwisho wa siku wote tuwe na mindset inayofanana ambapo italeta urahisi wa kuikataa ccm kwa nguvu zote.

Yaan anaona eti kufanya hivi(awareness spreading) kutaiondoa ccm madarakani na tusikimbilie shortcut za mapinduzi ya kijeshi, aisee...

...Huyu jamaa sidhani kama hata anajua kilichompeleka Mbowe gerezani hadi akaitwa gaidi.

Anasahau kabisa hapa tunadeal na serikali ya kiafrika, serikali kiburi na dhalimu.. halafu anatuletea soft approach utafikiri tudeal na serikali za dunia ya kwanza ambazo watu wanaweza kuprotest tu mitandaoni kuwa hawalitaki jambo fulani na wakasikilizwa.
 
Ndani ya jeshi ccm wamejaza uvccm,jeshi wa kumuamini sasa hivi ni capt tesha
Kuna mtu wa mboga mboga aliniambia wale maafisa wa ranks za juu huko JWTZ sasa hivi vikao haviishi na mzee Kikwete.

Inavyoonekana mzee yuko bize na kuweka mambo sawa huko vikosini hili nyumba isije ikaungua mbele yake.

Baada ya kuskia hili jambo sasa ndio nikaamini rasimi maneno ya Mange kimambi kuwa jeshi limegawanyika tayari.
 
Yawezekana jamaa hajabahatika kukutana na kadhia ya hii serikali na pengine ni sehemu ya wanufaika ila kiukweli mahali ambapo serikali ya CCM ilipofikia kama yupo mtu au watu wanaona uvumilivu ni sehemu ya njia bora zaidi nadhani mtu au watu hao ni mfu wanaoetembea .

CCM wamevaa roho ya kiburi kibaya sana ambacho kwangu nakitazama cha mtindo wa kulamba sumu .

Onq namna wanavyohangaika hapa ,nasikia huko yanafanyika malipo kwenye taasisi za ulinzi ,malipo yasiyo hata na ufafanuzi kuwa niyanini ,lengo ni moja tu , vyombo vya ulinzi viwasupport kwenye uharamia wao .

Wasichokijua nikwamba hata hao wanaowapa wanavyowapa ,wengi wao walishawachoka
 
Jamaa huwa una li disrespect sana jeshi letu la kulinda wanainchi, yaani huwa unaliona ni kma limejaza watu fulani hivi wasiojielewa na zile uniform huwa wanazivaa kutisha watu tu, yaan ni kama vile una chuki binafsi na JWTZ.

Unasahau kwamba hao ndio wanaolinda usalama wa watu 67m wakiwemo ndugu zako uliowaacha huku madongo kuinama.

Halafu mara nyingi huwa unalishambulia JWTZ tu sijawahi kukuona hata siku moja ukiongelea jeshi la POLICCM na wakati hilo ndio limejaza wapumbavu na vilaza wa kutupwa kwanzia igp mpaka vidampa wanaotumwa kukamata kamata watu.
 
Huyo jamaa kuna thread moja zamani kidogo niliona anamtambia mwenzake kuwa yeye aliondoka bongo na kutimkia zake Marekani tangu awamu ya mlKkapa, so ni obvious hajui kadhia za serikali hii ya ccm hasa kwa hizi awamu mbili ambazo zimerithishana kila aina ya ushetani..

Ukishaona serikali inamiliki mpaka magenge ya uhalifu kinyume na sheria ambayo yanaendesha operation ya kuteka na kuua wale wote wanayoisema vibaya, hiyoserikali hakuna unyama inaoshindwa kuwafanyia raia wake hili tu ibaki madarakani... halafu ndio muiondoe kwa soft approach?

Samia anaelekea kutumia karibu trilion moja kwa ajili ya kupita salama kwenye huu uchaguzi wa kiini macho, hapo kuna fungu la kununua medias zote kubwa nchini, kununua vyama pinzani na kulipa vyombo vya dola malipo ya kufuru...

....mimi najisema tu huyu licha ya nguvu kubwa anayotumia kubaki madarakani, ila hana maisha marefu kabisa kwenye hicho kiti.
 
Unasema kwamba hilo jeshi ndo linalinda [usalama wa] watu milioni 67 wakiwemo ndugu zangu?

🤣.

Very funny.

Jeshi linalonyanyasa watu na kupiga watu hovyo hovyo ndo hilo hilo unalodai linawalinda?

Wanajeshi wanaojiona wako juu ya sheria za nchi ndo hao hao unaodai wanawalinda raia milioni 67?

Kamwe sijawahi kuona wanajeshi wa jeshi la Marekani wakivunja sheria za majimbo na za shirikisho pasipo na madhara.

Sijawahi kuona majenerali wa jeshi la Marekani wakivunja sheria za barabarani kisa tu wao ni wanajeshi.

Hata IDF sijawahi kuwaona popote pale wakiwanyanyasa raia wanaowalinda.

JWTZ wote ni majuha tu.

Kama bado unabisha, tarehe 29 wachukue ndugu zako mkaandamane barabarani uone utakavyofanywa na hao JWTZ licha ya kwamba kuandamana ni haki ya raia ya kikatiba.

Hivi umewahi kumsikia hata huyo mkuu wa hilo jeshi anavyoongea? Umewahi kumwona anavyosoma hotuba?

Hiyo ongea yake na huo usomaji wake kweli unaweza kumweka kwenye level za Norman Schwarzkopf?

Umewahi kuitembelea tovuti ya hilo jeshi

Anwani yao ya barua pepe ni ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

WTF is ulinzimagazine? Ni jarida la ulinzi!



Links za wasifu wa viongozi wa jeshi hazina kitu. Ukibofya hamna taarifa zozote zile. Li kurasa liko tupu tu.

Bofya link ya FAQs…..vichekesho!

Haina maswali yoyote yale na majibu yaliyo kamilika.

Kuna swali hapo kwa Kiingereza. Liko hivi “When did the TPDF started” 🤣🤣🤣.



Really? Seriously?

You know what…..sina hata haja ya kuendelea kupoteza muda wangu kuwazungumzia watu walio na IQ chini ya 5.
 
Mkuu ni uoga dhidi ya jeshi au nini? Mbona unaandika kama mtu ambaye anatetemeka wakati una uhakika kabisa jeshi halitachukua nchi?
Nafanya majadiliano ya kidhahania na watu wasiojua dhahania ni nini kama wewe.

Kwenye uhalisia nishasema wanajeshi wa Tanzania hawawezi kuwa na tofauti yoyote kubwa na raia wa Tanzania.

Tunawaona wanalialia mitandaoni kama raia wengine tu.
 
Bado hujajumlisha ufisadi wa Mombo, Wambura, Mkunda. Haikuwahi kudhaniwa tutafikia kiwango cha ufisadi wa wazi kwa Tanzania kama sasa. Na watu hawaoni aibu, wala kuogopa. Kiutani utani nchi imebadilika kabisa. Tuko kama Nigeria huko. Bado mawaziri sasa!

Hivi Kikwete kweli anaona haya mambo na hawezi kabisa kushauri kitu?? Mbona yeye anaweza kusikilizwa vizuri tu. Mimi bado siamini kama ni mtu mbaya kiasi hiki tunachomlaumu siku hizi. Naimani anajua sana madhara ya ufisadi uliopo sasa na misuse of public offices, ugawaji wa hela /rushwa uliokithiri sasa kwenye uchumi. Madhara yake ni makubwa mno. Anashindwa kweli kushauri?! I wish aone hii comment jamani. Nchi inadidimia kwenye hali ngumu ambayo kutoka hapa sijui itakuwaje.
 
Crisis kwenye mifumo ni kubwa mno
Hasa chini ya huyu mama. Na too bad hakuna wazee huko wa kumwambia. Na hata kumdhibiti. Wanaishia wote kulalamika pembeni badala ya kumwambia. Kuna Mzee Pinda, JK, Mangula, Kinana, Warioba, Chande, Karume, Mwinyi, etc. wote jamani hawawezi kusikilizwa? Na nchi kweli unamuachia mtoto ndio aendeshe? Hata JK hakufanya hivi kwa Ridhiwan. Matokeo yake ndio haya ya ufisadi wa kupindukia, wa kilimbukeni (magari ya kifahari, majumba), utekaji na mpaka kuua kiajabu ajabu, kitoto!!
 
Kuikabidhi nchi kwa jeshi ni sawa nyumba yako unaikabidhi kwa mmasai kwa kuwa yeye ni watchman na wewe umeshindwa kudhibiti amani ya nyumbani kwako kutokana na vitimbi vya wanafamilia.
 
Kikwete ndiye fisadi papa.

Alivyokuwa anaondoka Ikulu alikuwa anawaambia wasaidizi wake wapige za mwishomwisho kwa sababu hawajui rais aliyekuwa anakuja angekuwa vipi.

Unataka ashauri nini?

Hivi haya mambo hamyajui kweli au mnajitoa akili makusudi tu?

Kikwete fisadi papa mnataka ashauri nini?
 
Hakuna mtu mshenzi nchi hii kama Kikwete
 
Maandamano ndio njia sahihi
Hakuna maandamano ya mabadiliko yasiyo mwaga damu
 


Kama ni kusagia kunguni umesagia kwelikweli. NAMI nakubaliana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…