Tunaposema "Mungu Wabariki Wazungu" muwe mnaelewa tunachomaanisha

Ni kweli brother japo pia wana mapungufu yao ila linapokuja suala kusaidia hawa wazungu wanajitahidi sana...
 
Hehehe kama vipi na ww uwafuate uko uko unatawaliwa kifikra na wazungu halaf unawapigia promo. Kwanza wamewalainisha kwny ile list ya mziki aliotoa Spotify anaosikiliza uyo Us vice president wanajua fikra zenu hazipo sawa kama ww hapo🤔 😅😂
 
Kawape utigo wako wakulewiti.
 
Sishangai sana kwa maana ishu ya vidume kuoana imehalalishwa pale ufipa mko tayari kwa lolote kutoka kwa mabeberu
 
  • No free lunch under the sun Bob!
  • Unapewa msaada na ukubali Sera zao za kiuchumi na za kijamii (ushoga, usagaji....)
  • Umaskini ukifika na kusema kambi kwenye akili, ndio matokeo yake hayo.
 
Huwa nashindwa kuelewa tofaut yako wewe ki mtazamo na JPM??
 
  • No free lunch under the sun Bob!
  • Unapewa msaada na ukubali Sera zao za kiuchumi na za kijamii (ushoga, usagaji....)
  • Umaskini ukifika na kusema kambi kwenye akili, ndio matokeo yake hayo.
Hii propaganda ya ushoga nyie mnaojidai mnaikataa ndio mnaifanyia promo.

Hivi Tanzania hii ni nani alishawai kulazimishwa kuwa shoga? Kuwa shoga ni maamuzi ya muhusika mwenyewe.

Sasa mnaposema wazungu wanatulazimisha tuwe mashoga nashindwa kuelewa kivipi yaani.

Na kama wanataka tuuone ushoga ni hali ya kawaida basi wamefanikiwa kuupromote kupitia nyie mnaojida mnaupinga na hata media nyingi sasa hivi akihojiwa kiongozi yoyote ni lazima wamuulize msimamo wake kuhusu mashoga.

Sasa hivi ishu ya ushoga imeshaonekana ni ya kawaida sana kutokana na inavyopewa coverage kila mahali hata huko vijijini wameshaona ni ishu ya kawaida.

Naona vi clip vya mwakyembe kuhusu ushoga vinasambaa sana mitandaoni nikajiuliza ina maana hakujua kuwa anaufanyia ushoga promo.
 
Hiyo clip ya Mwakyembe iko wapi??tusaidieni hapa tuione jamii
 
Hawajui hao, wazee wa sound.....
 
Hizo ni propaganda za kijinga sana , swali lako ungeuliza viongozi wako wanaopokea misaada hiyo
Wewe ndo umefulahia hiyo misaada na kisha tz mkipinga ushoga hiyo misaada itayeyuka fikiria kwanza kabla ya kufulahia vitu vya hovyo.

Tunataka misaada isiyo na masharti kutoka kwa watu wanaoheshimu mila zetu
Ila wewe huwa unawaabudu hao watoa misaada kisha kutudhalilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…