Tunaposema "Mungu Wabariki Wazungu" muwe mnaelewa tunachomaanisha

Harafu hakuna mahali uliponiuliza swali lolote nakushangaa unasema nikujibu swali ulilouliza so kama skanka huziwezi waachie wanaoweza zitakutia ukichaa na ubongo wako wa bata huo.
 
Na wewe upo kwenye hilo kundi unalisema la wajinga
 
Harafu hakuna mahali uliponiuliza swali lolote nakushangaa unasema nikujibu swali ulilouliza so kama skanka huziwezi waachie wanaoweza zitakutia ukichaa na ubongo wako wa bata huo.
Haijawahi na haitatokea
 
Inawezekana walizitoa wewe hukujua au zikaishia tumboni mwa akina Biswaro na Dotto.

hii nchi hata aliyekabidhiwa haelewi afanye nini kuinusuru.
 
Africa ni masikini kwa sababu ya uongozi mbovu.NUKTA.
Ni mpumbavu wa kiwango cha "stupid" ya Mh. Rais anayeweza hata kufikiri kuwa Africa ni masikini sababu ya wazungu.

Ukweli usiohitaji hata uone mlango wa darasa la kwanza ni kuwa Africa inafukarishwa na uongozi mbovu.
 
Hangaya kawa kama mfanyakazi wa nyumbani kaitwa na boss
Hata mkikashifu na mkikesha makaburini mnawanga mama yetu ndiye rais wa JMT.

Huyo mwingine mkitaka mfuateni akhera
 
Ni mpumbavu wa kiwango cha "stupid" ya Mh. Rais anayeweza hata kufikiri kuwa Africa ni masikini sababu ya wazungu.

Ukweli usiohitaji hata uone mlango wa darasa la kwanza ni kuwa Africa inafukarishwa na uongozi mbovu.
...period....
 
Kwa Ile mihela ya jana no wonder wamachinga wa masoko yote ya mjini na wale wa vijijin waliitana wakakubaliana kila mtu apite mtaani kunadi bidhaa zake
Ili yule mgeni aje atoe hizo ela alafu watajua wanalindanaje
 
kitu usichokijua kwa mtazamo wako wa kawaida unaona hivyo kwa uhalisia hizo pesa wanakuja kuzirudisha kwa mtindo mwingine kwa mfano mdogo tu umesikia mama akilala mika kampuni inayotuuzia ndege ya mizigo boing imetuongezea pesa nyingi tofauti na makubaliano ya awali ,hiyo kampuni ya boing ni kampuni ya kimarekani na hizo pesa wakitupiga zinarudi marekani na wananufaika wamarekani zaidi achilia mbali makampuni ya madini ya kimarekani yaliopo nchini na yanayokuja yataendelea kutupiga laki na wanatupa 20 elfu kama masaada .tustuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…