Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

Unazunguka mbuyu... In short mifumo iliyopo nchini yote imeoza. TAKUKURU na CAG wamethibitisha hivyo!
 
Huna akili kabisa .

Nchi ilifikaje uchumi wa kati?
 
JPM alikua mpiga dili zaid ya marais wote kwa mara moja tu aliingia mitini na trillion 1.5
Sio kweli kazi zke zilionekana sio kama huyu mama anacheka tu

Halafu kuwafukuza faida yake nini wawafanye kama alivyofanywa bwana masamaki

Yule jamaa wa nyumba 75 na fedha alizojaza kwenye madiaba

Kwa oungozi huu cha moto tutakiona watu wanaiba matrioni na mabilioni ya fedha wayu huku mtaani wanalia njaa mungu tusaidie
 
Si ndio maana kumekucha na Machawa kibao. Na kila kukicha ni Sifa Sifa Sifa. Haya ndio majawabu yake! Mwisho wa siku anaondoka deni la Taifa liko juu mbaya.
Wanaosifia wengi wako ndio walaji wanalia huko huko jioni!

Mama Hali ni mbaya kuliko unavyodhani na kuwabembeleza.
Kula vichwa tu hakuna jinsi.
 
Umeonge ukweli hatujitambui watanzania kweli hatujitambui maana haya yote yafanyika sisi tumekaa tu kitako
 
Nakuunga mkono kwa 100% mkuu
 
Taifa linaomboleza kwa wizi wa matrioni ya fedha
Kilo kona kichapo kimetembea!

Bahati mbaya kabisa, aliyetakiwa awe tiba ya haya naye analalamika, sasa dawa itatoka wapi tena?
 
Tena Mchechu aliyepigwa chini na JPM amepelekwa Hazina kabisa halafu tunalalamika eti
 
Si alisema ataendelea kukopa basi akope tu chawa wake waendelee kuchota mpunga

Ndungai alisema gii nchi itauzwa wakamwona mjinga sasa ngoja tuone tunakokwenda

Sasa wazambia wameshauzwa kwanunua mchina kila kona wanahusika wachina njia zote zinazohusu uchumi wa nchi wapo wachina

Hadi idara za usalama wapo wachina idara za misitu wapo wachina maana walishindwa kulipa deni lao walilokuwa wanadaiwa na wachina
 
JPM huyu huyu aliingia mitini na trillion 1.5 alafu akamchukia assad kwa kusema ukweli na akavunja katiba akamuondoa kihuni usifanye watu kama watoto au wajinga kama wewe tunakumbuka vizuri sana

Hata unachoongea hukijui. Kwanza uliwahi kuisoma ile taarifa ya asad, na kuielewa?
 
Juzi lile ,CAG anaumbua madudu Serikalini unamfukuza shenzi kabisa.
 
Na kwa hili mimi nitaendelea kumsifu JPM daima, ukimkamata mtu amekuibia wala usihangaike na kesi, pukutisha kila kitu rudisha serikalini aanze upya, asipougua kisukari ataenda kujinyonga mwenyewe.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…