kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,631
Something is cooking behind the scene...tutunze hizi thread..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanesco itaendelea kuwepo mzee running cost ya mitandao ya Simu ni Rahisi sana sio tanesco mzee ambapo asset kama transformer ni ghali, Mnara mmoja unaweza kuserve wateja wengi sana gharama ya simcard je si simple sana je leo mwekezaji atakubali Kujenga miundombinu hapo hapo Ulipie 27k hahahahaDunia ndio inapoelekea uko,huoni ushindani uliopo kwenye mitandao ya simu,je wewe hapo ulipo unaweza kuwa na mtandao na wa Ttcl,ngoja serikali wafungue milango kwa makampuni binafsi uwone kitakachotokea kama hao Tanesco watakuwepo
Kuhusu bei kutakuwepo na ewura yake ya kucontrol bei...kwa kifupi changamoto zote mnazoziainisha hpa zinatatulika ninachoona kwenu ni uknown fearNafahamu linauziwa.
Kampuni ya kufua umeme ya IPTL ni mfano mzuri.
Songas pia ni mfano mwingine. Ila sio kila taasisi au shirika la uma ni la kubinafsisha.
Umetolea mifano ya mabank, ukatoa mfano wa kampuni ya bia.
Nikikuwekea vitu hivi Umeme,Sigara,Pombe, Na uchague bank ya kuhifadhi pesa zako bila shaka chenye thamani zaidi ni umeme hapo.
Umeme ni nguzo muhimu ya kiuchumi kwa taifa, inatakiwa iwe stable siku zote kuiruhusu ubinafsishaji ni kuruhusu mlipuko wa bei za ajabu ajabu za bidhaa, huduma na maisha kwa ujumla.
Narudia maboresho mazuri yanahitajika lakini sio ubinafsishaji.
Hapo umeonyesha jazba tu hakuna hoja ya maana.Acha roho hii ya kipumbavu namna hii
Weka sheria,zisimamie kwa roho moja,ndio kazi yako
Then privatize kila kitu kwa watu binafsi wawe wa ndani au wa nje,privatize!
Wewe simamia sheria kama FBI au CIA
Ndio kazi yako,mengine ya biashara waachie watu binafsi
Na hii roho ya kipumbavu ya kupenda vitu vya bure au vilivyopoozwa kwa kodi za serikali ni upumbavu na umasikini mwingine wa kujidanganya
Kila kitu unalipiwa ndio maana unatawaliwa kidikteta na kua treated kama hayawani na serikali maana huna utu na sense of kujitegemea na ku-think and do for yourself...Kila kitu unategemea huruma ya wanasiasa serikalini,na wananchi wote mnakua treated kama watoto msiojua lolote
Hakika... Mimi sijawahi kujua Taaluma ya Ndg. February....Ni kawaida ya kila jamii kuwa na mtu anayesukumiwa mambo ya hovyo hovyo kuyasema au kuyafanya.Januari alikuwa akibeba boksi Amerika wakati Netgroup solution ya Afrika kusini ilipochukuwa TANESCO. Tatizo la mtu kama Januari ni la kielimu. Huwezi hata kujua ana digrii au diploma ya kitu gani. Huyo Zitto, yeye ni mpiga dili. Hapo wapo akina riziwani, na familia ya kikwete, tayari wamejiandaa kupiga dili, Zitto anaunga mkono.
Wewe uko Dunia ya wapi?!!..Hii 27000 bado gharama sana!!....Tukipata mshindani au kubinafsisha bei itapungua maradufu!!..Tuna vyanzo vingi vya nishati ya Umeme!!Tanesco itaendelea kuwepo mzee running cost ya mitandao ya Simu ni Rahisi sana sio tanesco mzee ambapo asset kama transformer ni ghali, Mnara mmoja unaweza kuserve wateja wengi sana gharama ya simcard je si simple sana je leo mwekezaji atakubali Kujenga miundombinu hapo hapo Ulipie 27k hahahaha
Na wewe kwa siku hizi umekuwa usiye maanaWakati Magufuli anaonyesha kiburi cha madaraka kwa kuhujumu upinzani mlikuwa mnachekelea kuwa ccm imeimarika.
Leo wamebaki CCM wenyewe na hawataki kukosolewa, matokeo yake chain ya wapigaji inaanza kurudi ndio mnalialia.
Acha hao wahuni warudi kwenye ulaji, na wauze kila kitu kwa bei ya kutupa ili siku nyingine mjue balance of power maana yake ni nini.
Akina Januari na wahuni wenzenu uzeni hiyo TANESCO bei ya kutupwa ili mliokuwa mnafurahia siasa na chaguzi za kishenzi mjifunze.
Sidhani kama wamekuelewa.....Hivi kwanini tusiruhusu mashirika huru ya umeme kuanzishwa ili kuondokana na tatizo la umeme nchini?
maana kiukweli TANESCO ni wamezidiwa ile mbaya.
Wazalishaji wakiwa wengi automatically umeme utashuka bei sababu ya ushindani...ni km ilivyo saiv kwenye mitandao ya simu
Kwani kazi ya serikali nini?kazi ya serikali kwanza ni kutoa uduma kwa wananchi wake,sio biashara.Tatizo la Tanesco ni kuwa linaendeshwa kisiasa zaidi. Fikiria gharama za kuunganisha umeme za Tzs 27,000 kwenye kibanda chenye kuwasha bulb moja au mbili. Hizo gharama zitarudi baada ya karne ngapi?
Sekta binafsi imejenga na kuendesha miundo mbinu na uzalishaji wa umeme dunia nzima, kwanini unafikiri kwa TZ haiwezekani? na serikali badala ya kutoa pesa kwa TANESCO kila siku inaweza kutoa ruzuku kwa wananchi moja kwa moja mfano hiyo 27K tunajua sio bei halisi, hapo serikali inaweza kusaidia ili mwekezaji alipwe market price...ninapoishi market ya umeme yote ni private sector 100% na sijawahi kuona umeme umekatika for the last 20 years na umeme ni bei rahisi sanaTanesco itaendelea kuwepo mzee running cost ya mitandao ya Simu ni Rahisi sana sio tanesco mzee ambapo asset kama transformer ni ghali, Mnara mmoja unaweza kuserve wateja wengi sana gharama ya simcard je si simple sana je leo mwekezaji atakubali Kujenga miundombinu hapo hapo Ulipie 27k hahahaha
Je Ushidani unaamisha Ubinafsishaji ?Dunia ndio inapoelekea uko,huoni ushindani uliopo kwenye mitandao ya simu,je wewe hapo ulipo unaweza kuwa na mtandao na wa Ttcl,ngoja serikali wafungue milango kwa makampuni binafsi uwone kitakachotokea kama hao Tanesco watakuwepo
Tatizo kwa sheria za Tanzania sekta binafsi hairuhusiwi ni TANESCO tuu yenye monopoly 100%, unaweza kuzalisha umeme na kuwauzia TANESCO lakini sio wananchi na wanakupangia bei, if you are for free market..thats not free marketJe Ushidani unaamisha Ubinafsishaji ?
Je kwahio unataka vyanzo vya Nishati HEP (Kidato, Nyerere n.k. ) tuviuze au ? Kwanini hao so called wawekezaji wasije na vyao vicompete na Tanesco...
Gesi je tuendelee kuwapa au ibaki kuwa mali ya jamii kwa manufaa ya jamii ? Kumbuka Private entities ni Profits at all Costs lakini State Owned mara nyingi ni service oriented (Community Welfare)
Am all for Free Market and what not..., lakini sio watu watumie mali na assests za jamii kwa kujifanya wao ndio waendeshaji wazuri sana..., watengeneze na kuanzisha zao alafu waziendeshe
Wazo zuri kabisa.Hivi kwanini tusiruhusu mashirika huru ya umeme kuanzishwa ili kuondokana na tatizo la umeme nchini?
maana kiukweli TANESCO ni wamezidiwa ile mbaya.
Hiyo Gas na Maji nikuongezee na Upepo bado huwezi kuendesha shirikaJe Ushidani unaamisha Ubinafsishaji ?
Je kwahio unataka vyanzo vya Nishati HEP (Kidato, Nyerere n.k. ) tuviuze au ? Kwanini hao so called wawekezaji wasije na vyao vicompete na Tanesco...
Gesi je tuendelee kuwapa au ibaki kuwa mali ya jamii kwa manufaa ya jamii ? Kumbuka Private entities ni Profits at all Costs lakini State Owned mara nyingi ni service oriented (Community Welfare)
Am all for Free Market and what not..., lakini sio watu watumie mali na assests za jamii kwa kujifanya wao ndio waendeshaji wazuri sana..., watengeneze na kuanzisha zao alafu waziendeshe
Uongozi imara uliondoka na Magufuli.La kufanyika ni uongozi imara wa kisiasa usiyokua na mchezo kudhibiti mashirika makubwa ya umma kuhakikisha hakuna ubadhirifu na inakwepo tija.
Kama Tanesco wananunua Umeme Kwa watu binafsi unaonaje hapo?!;..Je serikali inauza umeme ghali au sekta binafsiHaya mawazo ya kubinafsisha Taneco ni bonge ya dili majuto baadae wa walipa Bili za umeme bei itakua inapanda kuliko petroli na sukari
Ni awamu ya tatu walifanya matokeo haya kuwa chanya?Tupo hapa kwasababu ya ufukara wa akili na kupambanua mambo!!.. Privatisation ni nzuri na inaleta manufaa sana tumeona nchi nyingi wanafanya hivyo!!..Kama tunanunua Kwa watu binafsi tumeshindwa kuzalisha wenyewe for more than 30 years!!!..Bado Unataka uliue shirika,unajua madeni yake?!!..
Huyu ambao alitudanganya kumbe tunadaiwa kila kituUongozi imara uliondoka na Magufuli.