Ituzaingo Argentina JF-Expert Member Joined Jun 20, 2020 Posts 1,868 Reaction score 2,191 May 19, 2021 #101 mwanateknolojia said: Mchezo wa mpira ni saikolojia, alimradi tu muwe na timu bora inayoweza kucheza na kupata matokeo! Matokeo ilopata Simba hatua ya makundi sio ya kubahatisha kwanini hatua ya robo fainali tushindwe? Ofcoz we can! Click to expand... Mkuu, tafadhali! Hiyo "We can" iondoe haraka, aise utaibika tarehe 3 mzee.. .. π¦π·π¦π·π¦π·π₯π₯
mwanateknolojia said: Mchezo wa mpira ni saikolojia, alimradi tu muwe na timu bora inayoweza kucheza na kupata matokeo! Matokeo ilopata Simba hatua ya makundi sio ya kubahatisha kwanini hatua ya robo fainali tushindwe? Ofcoz we can! Click to expand... Mkuu, tafadhali! Hiyo "We can" iondoe haraka, aise utaibika tarehe 3 mzee.. .. π¦π·π¦π·π¦π·π₯π₯
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 May 19, 2021 #102 Paka wetu msisahau jamani. Ni muhimu sana
B bievinii JF-Expert Member Joined May 12, 2021 Posts 712 Reaction score 736 May 26, 2021 #103 Hata haijafika nusu fainali lakini imejitahidi inastahili pongezi kwa kweli