Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Mchezo wa mpira ni saikolojia, alimradi tu muwe na timu bora inayoweza kucheza na kupata matokeo!
Matokeo ilopata Simba hatua ya makundi sio ya kubahatisha kwanini hatua ya robo fainali tushindwe? Ofcoz we can!
Mkuu, tafadhali! Hiyo "We can" iondoe haraka, aise utaibika tarehe 3 mzee.. ..
🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥