Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

Siyo hilo tu. Mama kakosea na kukoromea checks and balance ya makampuni yanayo bid kupata tenda. Rais anasema she doesn't care watu kula rushwa as far as matokeo ni mazuri. Kauli mbovu worst kabisa kutolewa na Rais wa nchi.
Hii inapaswa kuwa mada mpya kabisa nashaanga waandisha wa habari kwao sio .nani asiyejua bid process kama haujatoa chochote hupati hata uwe na vigenzo zaidi ya 100%
 
Raisi wetu hajawahi pata adhaa yeyote kuhusu ajira, nadhani hajawahi hata fanya interview mana kila kitu kwake imekua ni utelezi (Baraka).
Anazani ni wote wanapita kweny huo mnyororo.

It's ok wacha wafanye wajuavyo sie tisubr Karma .
Anasema hajali hata kama mkandarasi amepatikana kwa njia ya rushwa kwake sawa tu ili mradi kazi isikwame
 
Kwanini anateleza aise katika hili kateleza sana, hajui kwamba anatengeneza mazingira ya bias?

Mambo mengine sijui Nani anamshauri aise duuuuuuuhhhhh, nchi ngumu sana hii. Mama hawa watanzania sio wazungu ni mchanganyiko wa watanganyika na wanzanzibar.

Hawa watu uliowapa Uhuru wa kutoa ajira ni wa afilika na unazijua wazi tabia za wa afilika .tumekueleA mapemaaaa.
Yeye anatka amfunike JPm
 
Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote.

Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira hapa nyuma, mtoto wa bosi akimaliza chuo anaambiwa kesho aanze kwenda kazini, ndugu wa bosi akiomba kazi ni chap chap, mabosi kuchuja watu wa makabila yao ndio ilikuwa pigo zito sana.

Kifuatacho kwa sasa, Mkuu wa shirika lolote atakaphiyaji kuajiri anaweza kupitisha majina ya watu wa kabila lake kwanza alafu ndio mambo ya vyeti yanafatatia, tena hata hivyo vyeti bosi anaweza kujua ni feki ila akampitisha.

CONCLUSION

Kimsingi tunahitaji reform ya chombo cha utumishi kifumuliwe upya, ni chombo ambacho kwa sasa kimeshuka kiutendaji hasa kwa kuchelewa kuita watu makazni, bado tunahitaji kuwa na chombo kimoja central cha kusimamia ajira.

Huu uamuzi uliofanywa leo unatupeleka nyuma kule ambako tulitoka.

Pia soma >

Nenda kasome Sheria za mashirika yote ukaone nani anatajwa kama Appointing Authority. In case of CEO ni President with recommendations from Minister and Boards of Directors of respective parastatals.

In the case of Heads of Departments ni Boards of Directors of respective institutions/ parastatals.

For employees below directors or heads of Departments ni CEO of respective institutions.

Nenda pia kasome Sheria ya Sekretariati ya Ajira utaona kuwa wanawajibika na kuajiri wafanyakazi wa Serikali Kuu. Parastatals zinaweza zikaomba msaada wao pale wanafikiri hawana capacity ya ku source certain skills.
 
Hivi mtayachukia hayo makabila mpaka lini. Maendeleo yao hayana uhusiano na upuuzi wa makabila mengine
nawe ni punguani tu, hayo makabila yana maendeleo gani au kwa vile mnajipiga promo kwasababu ya kutojiamini? Wahaya wana maendeleo gani wakati mkoa wao unaongoza kwa umaskini, hauko seriuos, uchagani umeshafika?, kule kuna umaskini mbaya sana, hakuna rasilimali yoyote ndio maana unaona wachaga wanazurura Tanzania. Wachaga ni wakabila na wabaguzi hata wao wenyewe siyo wamoja, siyo kabila moja kuna warombo, wamachame, wamarangu n.k haya yote ni kwasababu ubaguzi ni asili yao. Wakija huku Tanzania kwa unafiki watajifanya ni kitu kimoja, nenda kwao uone km wanapendana na ni kabila moja. Ubaguzi ni asili ya hayo makabila hakuna sababu nyingine yoyote. Na wakiendelea na ukabila wataumia wao maana hawana utajiri wowote walikotoka ni mafukara wa rasilimali.
 
Back
Top Bottom