Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

Yan ushadinywaa huko wee nani akurudie mm ningekuwa huyo jamaa nisimrudia demu aliyeenda kudinywa huko hadi kachoka
🀣🀣🀣 Hata kama ulipoanza naye alikuwa amedinywa na Wanaume kadhaa?
 
Mwanaume unaogopa kumwamrisha mwanamke mjinga umpendaye kurudi nyumbani, how!

Piga simu moja tu yenye mamlaka, ili arudi upesi na atarudi.

Hayo ya kuhofia ujinga wake wa baadaye usiyawaze, atakapokuletea za kuleta fukuza tena.
 
Alikuwa anapenyesha maneno gani?
 
Mwanaume unaogopa kumwamrisha mwanamke mjinga umpendaye kurudi nyumbani, how!

Piga simu moja tu yenye mamlaka, ili arudi upesi na atarudi.

Hayo ya kuhofia ujinga wake wa baadaye usiyawaze, atakapokuletea za kuleta fukuza tena.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…