Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka

Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na iliyopo mahakamani. Hili haijawai kutokea maana ni forging.
Ata mwakilishi wa ubalozi wa Ujerumani amebaki mdomo wazi wa jinsi mahakama zetu zilivyo takataka.

Nadhani ni Mungu tu yupo na Lissu ndo aliwapiga upofu mawakili wa serikali hadi kuleta case documents ambazo haziendani.

Hili ni kete kubwa kabisa kwa Lissu, Kwa mshangao mkubwa mawakili wa serikali kina Katuga walibaki na mshangao na kujilaumu wasijue Cha kufanya.

Kwa Sheria zetu mtu anayefoji documents za mahakama atahukumiwa kifungo Cha miaka Saba.

Tunataka waliohusika na hii forgery wawajibishwe.

Mto wa Mbu
Tegeta-Dar es Salaam
Fvck CCM
 
Waongo siku zote huwa hawako smart kuu - mantain uongo wao...

Hutokea mahali tu wakavuruga move yao na kufanya kila kitu kujulikana...

Sijui DPP ataleta utetezi gani kesho kufuta kosa hili...

Maana makosa haya yameonekana wazi kwa mahakama yenyewe, na mawakili wa pande zote na sisi public. Nyaraka zote ni official zina seal (muhuri) wa mahakama...

This is a big U-TURN kwa kesi ni favour of TL..

Salama yao ni DPP haraka sana kesho aje kuliondoa shauri hili. Otherwise, Majaji hawana choice, ni kulifuta shauri na kumwachia huru mshitakiwa na wakati huohuo washitaki wakigeuka kuwa washitakiwa...!!

Kibao kimegeuka...
Kama watu watakula mvua kwenye kesi hii.
Hapo ndipo wajue Mungu anaishi
 
Are you serious?? Kwenye kesi ambayo mtu anaweza nyongwa unasema human error hiyo ni biggest mistake ndo maana tuliokuwa mahakamani tuliona jinsi mawakili wa serikali walivyokuwa wapole na mshangao
Au itakuwa yule hakimu mkazi amewageuka mawakili wa serikali kwa kuwasilisha mahakama kuu docs real na sio za mchongo ambazo akina Katuga walimwambia mhe hakimu ziwasilishwe.
 
Waongo siku zote huwa hawako smart kuu - mantain uongo wao...

Hutokea mahali tu wakavuruga move yao na kufanya kila kitu kujulikana...

Sijui DPP ataleta utetezi gani kesho kufuta kosa hili...

Maana makosa haya yameonekana wazi kwa mahakama yenyewe, na mawakili wa pande zote na sisi public. Nyaraka zote ni official zina seal (muhuri) wa mahakama...

This is a big U-TURN kwa kesi ni favour of TL..

Salama yao ni DPP haraka sana kesho aje kuliondoa shauri hili. Otherwise, Majaji hawana choice, ni kulifuta shauri na kumwachia huru mshitakiwa na wakati huohuo washitaki wakigeuka kuwa washitakiwa...!!

Kibao kimegeuka...
Inapoonekana upande wa mashitaka wameshavurugana. Hawapo pamoja tena. Wapo miongoni mwao wasiokubaliana na mienendo ya mashitaka kutokana na maagizo toka juu. Wamekereka vyakutosha.
 
Waongo siku zote huwa hawako smart kuu - mantain uongo wao...

Hutokea mahali tu wakavuruga move yao na kufanya kila kitu kujulikana...

Sijui DPP ataleta utetezi gani kesho kufuta kosa hili...

Maana makosa haya yameonekana wazi kwa mahakama yenyewe, na mawakili wa pande zote na sisi public. Nyaraka zote ni official zina seal (muhuri) wa mahakama...

This is a big U-TURN kwa kesi ni favour of TL..

Salama yao ni DPP haraka sana kesho aje kuliondoa shauri hili. Otherwise, Majaji hawana choice, ni kulifuta shauri na kumwachia huru mshitakiwa na wakati huohuo washitaki wakigeuka kuwa washitakiwa...!!

Kibao kimegeuka...
Unasema kwamba majaji hawana choice?.....siyo majaji hawa wa serekali ya Samia....anayehujumu kesi hiyo si wao, bali Rais na mtandao wake, mark my words.
Kwenye hili naweza hadi kubeti.
 
Back
Top Bottom