Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

Waongo siku zote huwa hawako smart kuu - mantain uongo wao...

Hutokea mahali tu wakavuruga move yao na kufanya kila kitu kujulikana...

Sijui DPP ataleta utetezi gani kesho kufuta kosa hili...

Maana makosa haya yameonekana wazi kwa mahakama yenyewe, na mawakili wa pande zote na sisi public. Nyaraka zote ni official zina seal (muhuri) wa mahakama...

This is a big U-TURN kwa kesi ni favour of TL..

Salama yao ni DPP haraka sana kesho aje kuliondoa shauri hili. Otherwise, Majaji hawana choice, ni kulifuta shauri na kumwachia huru mshitakiwa na wakati huohuo washitaki wakigeuka kuwa washitakiwa...!!

Kibao kimegeuka...
Pingamizi la lissu litapigwa chini
 
Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka

Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na iliyopo mahakamani. Hili haijawai kutokea maana ni forging.
Ata mwakilishi wa ubalozi wa Ujerumani amebaki mdomo wazi wa jinsi mahakama zetu zilivyo takataka.

Nadhani ni Mungu tu yupo na Lissu ndo aliwapiga upofu mawakili wa serikali hadi kuleta case documents ambazo haziendani.

Hili ni kete kubwa kabisa kwa Lissu, Kwa mshangao mkubwa mawakili wa serikali kina Katuga walibaki na mshangao na kujilaumu wasijue Cha kufanya.

Kwa Sheria zetu mtu anayefoji documents za mahakama atahukumiwa kifungo Cha miaka Saba.

Tunataka waliohusika na hii forgery wawajibishwe.

Mto wa Mbu
Tegeta-Dar es Salaam
Kibao kimegeuka?
 
Sio Kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kazigeuza hizo Nyaraka?
 
Kuna sheria zenu na sheria za ROSTAM AZIZI
 
Nimeona clip gari iliyopata ajali kwenye msafara alikuwemo Kikwe ,tukazane na maombi majibu yameanza kuonekana ,Sasa hivi tunapiga penyewe na hatukosei.
Ata mimi nimeiona ilitakiwa iwe upside down🤣
 
Hayo majitu yamedanganya na kugushi muhuri wa mahakama yafungwe iwe fundisho kwa wote..!!
 
These cursed creatures, finally must go through unimaginable embarassment.

These cursed creatures, finally must go through unimaginable awkwardness, for they are serving an evil serpent. You cannot depend on Serpent to have a final win. This is just a beginning.
They’re demon possessed. Watajiju na Ibilisi wao!
 
Inaweza kuwa ni calculated move...
 
Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka

Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na iliyopo mahakamani. Hili haijawai kutokea maana ni forging.
Ata mwakilishi wa ubalozi wa Ujerumani amebaki mdomo wazi wa jinsi mahakama zetu zilivyo takataka.

Nadhani ni Mungu tu yupo na Lissu ndo aliwapiga upofu mawakili wa serikali hadi kuleta case documents ambazo haziendani.

Hili ni kete kubwa kabisa kwa Lissu, Kwa mshangao mkubwa mawakili wa serikali kina Katuga walibaki na mshangao na kujilaumu wasijue Cha kufanya.

Kwa Sheria zetu mtu anayefoji documents za mahakama atahukumiwa kifungo Cha miaka Saba.

Tunataka waliohusika na hii forgery wawajibishwe.

Mto wa Mbu
Tegeta-Dar es Salaam

Ni uvivu, ujinga na kujisahau, ama ni intentional fogery?

Chagua moja.
 
Hakuna kukosea hapo. Ni maksufi tu hayo kuchelewesha kesi ili Maza apite bila kupingwa.
 
Kesi za kubumba zina changamoto zake. Watajiju!
My only wish is that, when this is over; a more robust court emerges from this edifice. Never again should we be subjected to the kind of court that has been in existence under the leadership of Justice Jumanne Ibrahim.
 
As long as CCM is in power that ain’t happening, bro!
 
Back
Top Bottom