Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka

Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na iliyopo mahakamani. Hili haijawai kutokea maana ni forging.
Ata mwakilishi wa ubalozi wa Ujerumani amebaki mdomo wazi wa jinsi mahakama zetu zilivyo takataka.

Nadhani ni Mungu tu yupo na Lissu ndo aliwapiga upofu mawakili wa serikali hadi kuleta case documents ambazo haziendani.

Hili ni kete kubwa kabisa kwa Lissu, Kwa mshangao mkubwa mawakili wa serikali kina Katuga walibaki na mshangao na kujilaumu wasijue Cha kufanya.

Kwa Sheria zetu mtu anayefoji documents za mahakama atahukumiwa kifungo Cha miaka Saba.

Tunataka waliohusika na hii forgery wawajibishwe.

Mto wa Mbu
Tegeta-Dar es Salaam
Unajuaje, labda ndiyo njia yao ya kuonyesha kuwa hakuna kesi.
Hayo ya kushtakiwa wao wanajuwa njia za kutokea.

Vinginevyo, pia haishangazi. Ubovu uliomo ndani ya maeneo mengi ya serikali siyo jambo jipya. Sikumbuki kama nchi yetu iliwahi kufikia ngazi ya 'incompetence' aina hii iliyomo serikalini.

Usijisahau na kujitangaza kizembe kiasi hicho, kama ni kweli upo hapa likizo. Usifikiri utekaji ni mzaha.
Na kwa upande wa pili, usije ukawa umewakimbia ICE in the 'Windy City'!
 
Mawakili wa Rostam wamejisahauje tena si wanasemaga Rm yupo smart sana
 
A human error doesn’t have to be a minor mistake. It can be fatal. Zimetofautiana content au aina ya document?

These cursed creatures, finally must go through unimaginable embarassment.
A human error doesn’t have to be a minor mistake. It can be fatal. Zimetofautiana content au aina ya document?
These cursed creatures, finally must go through unimaginable awkwardness, for they are serving an evil serpent. You cannot depend on Serpent to have a final win. This is just a beginning.
 
Inapoonekana upande wa mashitaka wameshavurugana. Hawapo pamoja tena. Wapo miongoni mwao wasiokubaliana na mienendo ya mashitaka kutokana na maagizo toka juu. Wamekereka vyakutosha.
Uwezekano mkubwa.

Na tuombe iwe hivyo, siyo kwa hii kesi pekee; wazalendo popote walipo waitikie wito wa kukataa uchaguzi Oktoba 29.
Wakifanya hivyo, nchi yetu itasalimika.
 
Unajuaje, labda ndiyo njia yao ya kuonyesha kuwa hakuna kesi.
Hayo ya kushtakiwa wao wanajuwa njia za kutokea.

Vinginevyo, pia haishangazi. Ubovu uliomo ndani ya maeneo mengi ya serikali siyo jambo jipya. Sikumbuki kama nchi yetu iliwahi kufikia ngazi ya 'incompetence' aina hii iliyomo serikalini.

Usijisahau na kujitangaza kizembe kiasi hicho, kama ni kweli upo hapa likizo. Usifikiri utekaji ni mzaha.
Niko makini kama Secret service ya Trump
 
Inchi ishakuwa ya kihuni unazani jama watahukumiwa yani wataona kama siyo issue nipo hapa hawa jamaa wanatuchulia pouwa sana kwa heshima ya mahakama kesho jaji amwachie tu tundu lisu kwa sababu hiyo haina haja ya kuendelea na mauza uza
 
Ni aibu sana
 
Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka

Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na iliyopo mahakamani. Hili haijawai kutokea maana ni forging.
Ata mwakilishi wa ubalozi wa Ujerumani amebaki mdomo wazi wa jinsi mahakama zetu zilivyo takataka.

Nadhani ni Mungu tu yupo na Lissu ndo aliwapiga upofu mawakili wa serikali hadi kuleta case documents ambazo haziendani.

Hili ni kete kubwa kabisa kwa Lissu, Kwa mshangao mkubwa mawakili wa serikali kina Katuga walibaki na mshangao na kujilaumu wasijue Cha kufanya.

Kwa Sheria zetu mtu anayefoji documents za mahakama atahukumiwa kifungo Cha miaka Saba.

Tunataka waliohusika na hii forgery wawajibishwe.

Mto wa Mbu
Tegeta-Dar es Salaam
?!
 
Waongo siku zote huwa hawako smart kuu - mantain uongo wao...

Hutokea mahali tu wakavuruga move yao na kufanya kila kitu kujulikana...

Sijui DPP ataleta utetezi gani kesho kufuta kosa hili...

Maana makosa haya yameonekana wazi kwa mahakama yenyewe, na mawakili wa pande zote na sisi public. Nyaraka zote ni official zina seal (muhuri) wa mahakama...

This is a big U-TURN kwa kesi ni favour of TL..

Salama yao ni DPP haraka sana kesho aje kuliondoa shauri hili. Otherwise, Majaji hawana choice, ni kulifuta shauri na kumwachia huru mshitakiwa na wakati huohuo washitaki wakigeuka kuwa washitakiwa...!!

Kibao kimegeuka...
Mkuu hawa watu hawashindwi jambo, huu ni mtego kwa jopo la majaji watatu wachague kulinda heshima taaluma na taasisi wanayoisimamia au wakubali kujivua nguo mbele ya "watoto" wao

Kesho ndo mtaijua Tanzania ina watu gani na wamepania kufanya nini

Kuna vitu vinafanyika tulitegemea vingeishia huku mitaani au level za chini lakini nikama kumbe wa chini wameiga kutoka kwa wajuu

Ni uhuni uhuni na ujanja ujanja tu hadi unaweza kutukana bila kutarajia
 
Back
Top Bottom