Kwa hio una uhakika Mahakama zenu uchwara zinaweza kuifuta kesi hata km bundle imeletwa ya kubumba wakati wenyewe Mahakama wanataka jamaa anyongwe?
Ndugu
Kuna wakati hata mbabe huangushwa na kuuwawa na sisimizi tu...!
Kumbuka kisa cha Daudi na Goliath...
Nobody thought and imagined if David could kill that huge and giant dude...
Majira na nyakati za anguko la Babeli zinapofika, haijalishi watakuwa smart kiasi gani, haijalishi watakaa vikao vingapi kupatana, haitawasaidia. Wataanguka tu...
Neno la Mungu linasema hivi👇
Ayubu 5:12-15 SUV
"....Yeye (Mungu kupitia maombi yetu) huyatangua mashauri ya wadanganyifu, Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao. Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe; Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka. Wao hupatwa na giza wakati wa mchana, Hupapasa mchana vilevile kama usiku. Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari...."
Ndugu, Mungu hajawahi kumuacha mwenye HAKI wake hata mmoja aangamie. Tundu Lissu ni HAKI yake Mungu, hataangamia haijalishi macho yako yanaona nini, haijalishi hofu yako na haijalishi kutoamini kwako...!