Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

Fvck CCM
 
Kama watu watakula mvua kwenye kesi hii.
Hapo ndipo wajue Mungu anaishi
 
Are you serious?? Kwenye kesi ambayo mtu anaweza nyongwa unasema human error hiyo ni biggest mistake ndo maana tuliokuwa mahakamani tuliona jinsi mawakili wa serikali walivyokuwa wapole na mshangao
Au itakuwa yule hakimu mkazi amewageuka mawakili wa serikali kwa kuwasilisha mahakama kuu docs real na sio za mchongo ambazo akina Katuga walimwambia mhe hakimu ziwasilishwe.
 
Inapoonekana upande wa mashitaka wameshavurugana. Hawapo pamoja tena. Wapo miongoni mwao wasiokubaliana na mienendo ya mashitaka kutokana na maagizo toka juu. Wamekereka vyakutosha.
 
Unasema kwamba majaji hawana choice?.....siyo majaji hawa wa serekali ya Samia....anayehujumu kesi hiyo si wao, bali Rais na mtandao wake, mark my words.
Kwenye hili naweza hadi kubeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…