Pingamizi la lissu litapigwa chiniWaongo siku zote huwa hawako smart kuu - mantain uongo wao...
Hutokea mahali tu wakavuruga move yao na kufanya kila kitu kujulikana...
Sijui DPP ataleta utetezi gani kesho kufuta kosa hili...
Maana makosa haya yameonekana wazi kwa mahakama yenyewe, na mawakili wa pande zote na sisi public. Nyaraka zote ni official zina seal (muhuri) wa mahakama...
This is a big U-TURN kwa kesi ni favour of TL..
Salama yao ni DPP haraka sana kesho aje kuliondoa shauri hili. Otherwise, Majaji hawana choice, ni kulifuta shauri na kumwachia huru mshitakiwa na wakati huohuo washitaki wakigeuka kuwa washitakiwa...!!
Kibao kimegeuka...
Kibao kimegeuka?Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka
Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na iliyopo mahakamani. Hili haijawai kutokea maana ni forging.
Ata mwakilishi wa ubalozi wa Ujerumani amebaki mdomo wazi wa jinsi mahakama zetu zilivyo takataka.
Nadhani ni Mungu tu yupo na Lissu ndo aliwapiga upofu mawakili wa serikali hadi kuleta case documents ambazo haziendani.
Hili ni kete kubwa kabisa kwa Lissu, Kwa mshangao mkubwa mawakili wa serikali kina Katuga walibaki na mshangao na kujilaumu wasijue Cha kufanya.
Kwa Sheria zetu mtu anayefoji documents za mahakama atahukumiwa kifungo Cha miaka Saba.
Tunataka waliohusika na hii forgery wawajibishwe.
Mto wa Mbu
Tegeta-Dar es Salaam
Sio Kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kazigeuza hizo Nyaraka?Waongo siku zote huwa hawako smart kuu - mantain uongo wao...
Hutokea mahali tu wakavuruga move yao na kufanya kila kitu kujulikana...
Sijui DPP ataleta utetezi gani kesho kufuta kosa hili...
Maana makosa haya yameonekana wazi kwa mahakama yenyewe, na mawakili wa pande zote na sisi public. Nyaraka zote ni official zina seal (muhuri) wa mahakama...
This is a big U-TURN kwa kesi ni favour of TL..
Salama yao ni DPP haraka sana kesho aje kuliondoa shauri hili. Otherwise, Majaji hawana choice, ni kulifuta shauri na kumwachia huru mshitakiwa na wakati huohuo washitaki wakigeuka kuwa washitakiwa...!!
Kibao kimegeuka...
Kuna sheria zenu na sheria za ROSTAM AZIZINipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka
Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na iliyopo mahakamani. Hili haijawai kutokea maana ni forging.
Ata mwakilishi wa ubalozi wa Ujerumani amebaki mdomo wazi wa jinsi mahakama zetu zilivyo takataka.
Nadhani ni Mungu tu yupo na Lissu ndo aliwapiga upofu mawakili wa serikali hadi kuleta case documents ambazo haziendani.
Hili ni kete kubwa kabisa kwa Lissu, Kwa mshangao mkubwa mawakili wa serikali kina Katuga walibaki na mshangao na kujilaumu wasijue Cha kufanya.
Kwa Sheria zetu mtu anayefoji documents za mahakama atahukumiwa kifungo Cha miaka Saba.
Tunataka waliohusika na hii forgery wawajibishwe.
Mto wa Mbu
Tegeta-Dar es Salaam
Ata mimi nimeiona ilitakiwa iwe upside down🤣Nimeona clip gari iliyopata ajali kwenye msafara alikuwemo Kikwe ,tukazane na maombi majibu yameanza kuonekana ,Sasa hivi tunapiga penyewe na hatukosei.
Kwaiyo itahamika ilichezeshwa ili kumuokoa Lissu?Nachojua serikalini kuna watu wema ambao hawapendi kuona mtu anaaonewa basi
Sio kumuokoa Bali , ili kuondoa mashtaka ya mchango. Ni aibu kubwa Kwa wasomi kufunga kesi na pia kiutu kudhulumu.Kwaiyo itahamika ilichezeshwa ili kumuokoa Lissu?
Kesi za kubumba zina changamoto zake. Watajiju!Could be intentional, regardless of being minor or fatal.
They’re demon possessed. Watajiju na Ibilisi wao!These cursed creatures, finally must go through unimaginable embarassment.
These cursed creatures, finally must go through unimaginable awkwardness, for they are serving an evil serpent. You cannot depend on Serpent to have a final win. This is just a beginning.
Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka
Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na iliyopo mahakamani. Hili haijawai kutokea maana ni forging.
Ata mwakilishi wa ubalozi wa Ujerumani amebaki mdomo wazi wa jinsi mahakama zetu zilivyo takataka.
Nadhani ni Mungu tu yupo na Lissu ndo aliwapiga upofu mawakili wa serikali hadi kuleta case documents ambazo haziendani.
Hili ni kete kubwa kabisa kwa Lissu, Kwa mshangao mkubwa mawakili wa serikali kina Katuga walibaki na mshangao na kujilaumu wasijue Cha kufanya.
Kwa Sheria zetu mtu anayefoji documents za mahakama atahukumiwa kifungo Cha miaka Saba.
Tunataka waliohusika na hii forgery wawajibishwe.
Mto wa Mbu
Tegeta-Dar es Salaam
Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka
Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na iliyopo mahakamani. Hili haijawai kutokea maana ni forging.
Ata mwakilishi wa ubalozi wa Ujerumani amebaki mdomo wazi wa jinsi mahakama zetu zilivyo takataka.
Nadhani ni Mungu tu yupo na Lissu ndo aliwapiga upofu mawakili wa serikali hadi kuleta case documents ambazo haziendani.
Hili ni kete kubwa kabisa kwa Lissu, Kwa mshangao mkubwa mawakili wa serikali kina Katuga walibaki na mshangao na kujilaumu wasijue Cha kufanya.
Kwa Sheria zetu mtu anayefoji documents za mahakama atahukumiwa kifungo Cha miaka Saba.
Tunataka waliohusika na hii forgery wawajibishwe.
Mto wa Mbu
Tegeta-Dar es Salaam
My only wish is that, when this is over; a more robust court emerges from this edifice. Never again should we be subjected to the kind of court that has been in existence under the leadership of Justice Jumanne Ibrahim.Kesi za kubumba zina changamoto zake. Watajiju!
Labda ni human error inayoelezeka. Zimetofautiana kwa namna ipi?
As long as CCM is in power that ain’t happening, bro!My only wish is that, when this is over; a more robust court emerges from this edifice. Never again should we be subjected to the kind of court that has been in existence under the leadership of Justice Jumanne Ibrahim.
Unintentional, curable human errors legally excepted. Even courts make such errors!..kutokujua sheria si utetezi dhidi ya makosa.
..Je, "human error" ni utetezi unaokubalika kisheria?
Mmmm makosa nii mengi sawa binadamu hukosea lakin sio kwenye copy.Labda ni human error inayoelezeka. Zimetofautiana kwa namna ipi?
Tena sana kwanza kukaa na Lisu tu kwa sababu ambazo ukizisikia ni kupoteza muda wa mahakamaNi aibu sana