Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Tanzania ya viwanda inakuja.
Hongera sana mkuu. Nakushauri utengeneze viatu vya shule vya kike na kiume. Utapata wengi. Nifahamishe kama mnavyo niwabariki wanafunzi kadhaa.
 
Tanzania ya viwanda inakuja.
Hongera sana mkuu. Nakushauri utengeneze viatu vya shule vya kike na kiume. Utapata wengi. Nifahamishe kama mnavyo niwabariki wanafunzi kadhaa.
Tunashukuru Mkuu, vitakuwa tayari mwisho wa week hii.! Karibu sana..
 
Mbona kwenye tangazo umeandika sh 30000 mkuu?
Ile ilikuwa bei ya mwanzo kabisa. Tulibadilisha tukaongezeza kidogo baada ya kufungua Ofisi Dar ili kumudu gharama za uendeshaji.
 
Kuna mteja kauliza mmemjibu ni sh 25000 kwenye hii thread bt kwenye tangazo mmeandika 25k
Ni kweli Mkuu, mwanzoni kabisa wakati tunaanzisha uzi huu bei ilikuwa 25,000. Baadae tukabadili na kuongeza ikawa 30,000. Tuliwaomba radhi wateja na kuweka updates za bei mpya.

Travolta na safari kwa sasa ni 30,000. Staff na simple ni 27,000.
 
Ok mkuu,kesho ofis mnafungua?
 
Mzigo mpya kwenye mandalizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…