Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu


Tunaendelea na mandalizi ya mwisho ya viatu vya watoto wa shule. Wiki ijayo vitakuwa tayari kuingia Sokoni. Karibuni.
 

Viatu vya Wanafunzi wa Kike vipo tayari. Bei ya jumla ni 20,000 na Bei ya rejareja ni 25,000. Karibuni.
 
Nahitaji pairs kadhaa za wanafunzi ngoja nikucheki hewani mkuu
 
Angalieni sole zenu za viatu ni ndogo sana,halafu nyembamba, kingine usiseme hiyo kuwa ni ngozi bali ni sponji tu.
Jaribuni kuboresha bidhaa zenu.
Mungu awabariki mwaka mpya mwema...!
 
Angalieni sole zenu za viatu ni ndogo sana,halafu nyembamba, kingine usiseme hiyo kuwa ni ngozi bali ni sponji tu.
Jaribuni kuboresha bidhaa zenu.
Mungu awabariki mwaka mpya mwema...!
Mkuu, tunashukuru kwa maoni yako..
 
Angalieni sole zenu za viatu ni ndogo sana,halafu nyembamba, kingine usiseme hiyo kuwa ni ngozi bali ni sponji tu.
Jaribuni kuboresha bidhaa zenu.
Mungu awabariki mwaka mpya mwema...!
Mkuu, ulichukuwa kiatu aina gani na namba ngapi.?Je, unaweza kukipiga picha na kukiweka hapa ?

Wateja wetu wote hulipia baada ya kupokea bidhaa zetu.

Hakuna mteja anayetozwa bila kuangalia kwanza biadhaa yake ilivyo.

Akisharidhika ndo analipia. Kwetu sisi mteja akitoa pesa yake tafsiri yake kwetu inamanisha ameridhika na bidhaa zetu zilivyo.

Vilevile, iwapo Mteja atachukua bidhaa kwa namna moja au nyingine asiridhike na bidhaa zetu, tunayo nafasi ya mteja kubadilishiwa bidhaa aliyochukua au hata kuirudisha kabisa nayeye kurudishiwa pesa yake.

Hata hivyo, tunayaheshimu maoni yako na tumeyapokea.
 
Vipi naweza kuja nikachagua aina nayotaka na kutengenezewa saiz yangu?? Mana mm navaa namba 46 nina mguu mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…