Mkuu ahsante kwa taarifa hii muhimu sana. Lakini hapo Moshi ni jirani sana na Arusha. Kwa uzoefu wangu mdogo naona kama Soko la Moshi lipo dominated na bidhaa kutoka Arusha, maana Arusha pia vinapatikana kwa wingi...... Unaweza kunisahihisha kama sipo sahihi....Ukipeleka moshi unauza Fasta.
Mpo mbagala sehemu gani ilì nikipata muda nije kuona na bei ya hicho ikojeNdiyo chief, inapatikana.
Sawa mkuu nitakutafutaMbagala yupo Agent wetu, kesho tunamtumia mzigo. J.5 unaweza kukutana naye akakuonyesha samples..Ukihitaji utanijulisha nikupe namba zake..Karibu sana chief..
Mbagala ipi? Saku au Kilungule? Maji Matitu au Njia ya ng'ombe???Mbagala..
Chief, kwa bei hizo kungekuwa na udalali unadhani ingewezekana.? Kwa taarifa tu ni kuwa, Office nyingi kupata Travota kama hizo si chini ya 45,000/= .Ungetoa directions ya office zenu, au kuna Udalali!! Ila mnafanya kazi nzuri sana, nita waunga mkono.. weka na picha za wallet na bei zake.