Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Hizi hadithi za Wakristo na Waislamu huwa zinanichekesha sana! 😁😁
Yani walivyo wapumbavu ndio maana wanaingizwa mkenge eti wasile hadi wafe waweze kuonana na yule kijana myahudi kutokea pande za Nazareti
Al-Kahf 18:56

وَمَا نُرْسِلُ ٱلْمُرْسَلِينَ إِلَّا مُبَشِّرِينَ وَمُنذِرِينَۚ وَيُجَٰدِلُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ بِٱلْبَٰطِلِ لِيُدْحِضُوا۟ بِهِ ٱلْحَقَّۖ وَٱتَّخَذُوٓا۟ ءَايَٰتِى وَمَآ أُنذِرُوا۟ هُزُوًا



Na hatuwatumi Mitume ila wawe wabashiri na waonyaji. Na walio kufuru wanabishana kwa uwongo, ili kwa uwongo huo waivunje kweli. Na wanazifanya Ishara zangu na yale waliyo onywa kuwa ni mzaha.
 
Hebu tafsiri uandike ueleweke kiarabu ni lugha tu Kama kisukuma, haina umaridida wowote ..Mungu Hana lugha. Sawa
 
We hujiulizi kwa Nini muarabu katokewa na malaika pangoni na kaanzisha dini kwa kuua watu na kuteka nchi afu imekufikia wewe kwa kuzaliwa na kukuzwa katika hiyo dini halafu ndo unasema ni ya ukweli. Leo hii Zumaridi mnamuita kichaa, story zake zinatofauti gani na zenu..au kisa zenu Zina farasi anae paa
 
I'm a deist, naamini Katika creator who doesn't Interfere in his Creation. So hizi revelation sijui kila mtu anakuja na zake ni hekaya
Wewe una dini yako (kuabudu matamanio ya nafsi yako) na mimi nina dini yangu (uislam). Tusubiri mwisho tutakuja kuona nani alikuwa kwenye njia ya haki.

Maisha ya duniani ni mafupi mno...hatuna hata miaka zaidi ya 60 ya kuishi katika ulimwengu huu.
 
Wewe una dini yako (kuabudu matamanio ya nafsi yako) na mimi nina dini yangu (uislam). Tusubiri mwisho tutakuja kuona nani alikuwa kwenye njia ya haki.

Maisha ya duniani ni mafupi mno...hatuna hata miaka zaidi ya 60 ya kuishi katika ulimwengu huu.
Wote tukifa tutaoza...hahaha hata Kama Islam ni dini kweli Kama mnavyoitangaza una uhakika gani wewe utaenda mbinguni. Kila mtu anafikiri ataenda mbinguni motoni ataenda nani sasa. Hebu acha propaganda ishi maisha ni mafupi...ukiwa na mawazo ya maisha ya baadae ndo utakosa hamu ya kuishi vizuri. Lyf is limited ishi kujifunza. Kuenjoy na kusaidia jamii ikombolewe kutoka kwenye ujinga na umaskini.
 
Unayo elimu yeyeto kuhusu ulimwengu unaonekana na usioonekana?
 
Soma kisa cha Nuhu utaelewa. Wote walikataa kutii maagizo ya Mungu thus akawaona hawana faida akawauwa kwa maji, kama ambavyo anakuja kuwaua kizazi hiki cha SAsa kwa kukataa kutii amri zake.
 
Mungu si dikteta amekupa chaguzi wwe ndo unaamua uende mbinguni au jehanamu
 
Soma kisa cha Nuhu utaelewa. Wote walikataa kutii maagizo ya Mungu thus akawaona hawana faida akawauwa kwa maji, kama ambavyo anakuja kuwaua kizazi hiki cha SAsa kwa kukataa kutii amri zake.
Amri zake unazijua wewe....Kuna dini 1000000 duniani miungu 568743 amri zipo 57743588 tofauti...kila mtu anakuja na lake anasema la Mungu ye ashuke atuambie amri zake aache kutumia umbeya Kama njia ya kuwasiliana na watu
Story ya Nuhu sio ya ukweli na imeibiwa kutoka kwa dini za mesapotemia, ugiriki na wahindi. Karibia dini nyingi za zamani Zina story za dunia kujaa maji kisa dhambi it's not original, hii Ni product ya culture na it's not possible hio story kutokea Ina Mambo mengi ambayo yanacontradict sciences na history
 
Mungu si dikteta amekupa chaguzi wwe ndo unaamua uende mbinguni au jehanamu
Hahaha Mungu yupi, na ana uwezo upi. Unanitengeneza na hamu ya mapenzi nikiitumia unaniunguza..nisipo Sali Mara 5 kuangalia waarabu ndo unaniunguza...hizi sheria Ni za binadamu sio za Mungu.
 
Hao viumbe ni wakufikirika tu. Hamna viumbe kama hivo.

Ila kulingana na hadithi hizo i bet Shetani ni best
 
Mkuu umeongelea gharika

Unaamini penguin 🐧 alitoka huko America kwenda Iraq kupanda safina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…