Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Soma kisa cha Nuhu utaelewa. Wote walikataa kutii maagizo ya Mungu thus akawaona hawana faida akawauwa kwa maji, kama ambavyo anakuja kuwaua kizazi hiki cha SAsa kwa kukataa kutii amri zake.
Unafahamu hadithi ya Gharika biblia imecopy wapi?

Umewahi kuskia hadithi ya Atrahasis?
 
Kwani kuatajiri ndio utimamu wa akili????
Narudia tena nenda kapimwe mkojo brother
Acha ujinga dogo kwa hiyo Elon musk anapeleka rockets angani na kutengeneza magari ya umeme yeye Hana akili Ila we unayeamini story za miujiza ya mababu wasiojua jua linatokea wapi ndo una akili sawa. Si ndo maana wazungu walikuja na dini wakachukua madini wanajua mijitu mipumbavu
 
Epic of Gilgamesh pia
Mkuu, watu hawaelewi kuhusu haya mambo.
Kuna hadithi ya "Enuma Elish" hapo utaona jinsi uumbaji unavyofanywa

Right wakisoma vizuri na kwa udadisi watajua kuna kitu na hakuna sababy ya kuamini hizi hadithi za Alfa_ulela ulela.

Bahati mbaya ukiwa kondoo wa bwana kila utachopewa chenye kuonesha mambo kama hayo, utasema ni kazi/mpango wa Shetani.

Kondoo si watu.
 
Angekua na akili asingeshindwa kuishi na mke??
 
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
Kwani Mungu ndie alieandika biblia? Miungu ilioandikwa kwenye vitabu vya dini zote ina ukatili na muda mwingine ina miyeyusho mfano kuna mungu huyo anaahidi watu mabikra na mito ya pombe sasa hapo akili kumkichwa
 
Mimi sipo katika imani ya ukristo ila nimeona swali lako nikaona nichangie...Kwanini Mungu hana maadili?

Kuwekewa maadili ni jambo linaloonesha kuwa upo chini ya sheria fulani ulizoamrishiwa kutoka katika mamlaka iliyo juu zaidi inaweza kuwa mzazi, serikali, ofisi au hata Mungu.

Miongoni mwa sifa za Mungu ni kuwa yeye ndiye wa mwanzo na wa mwisho, ni mmoja hana mshirika katika utawala wake, ni mkuu na yeye ndiye mfalme na ndiye mshindi.

Mungu ndiye Mkuu kwa maana yake hakuna yeyote kumzidi yeye. Muweza wa kila kitu lakini licha ya hayo bado Mungu amejihukumia mwenyewe kuwa Rehema na huruma yake izidi hasira na ghadhabu zake. Ndio leo hii unaona licha ya viumbe kufanya kila aina ya uovu hapa ardhini bado Mungu anatupa chakula, maji, hewa n.k...anawapa mali watu waovu kabisa ambao laiti kama wewe ungekuwa umepewa hayo mamlaka basi usingewapa watu hao hata tone moja la maji kutokana na ubaya wanaoufanya. Mungu anawapa mpaka wale wanaomkana.

Mungu ndiye mfalme hakuna wa kumpangia, anaamua mambo kutokana na hekima na busara zake ambazo wewe mwanadamu huna uwezo wa kuzielewa hata kidogo.

Mfano anaweza kukupa mtoto kisha akamfisha angali mchanga,kikawaida wewe mwanadamu huwezi elewa hekima zake Mungu ila kumbe huyo mtoto aliyemchukua angali mchanga pengine angekuwa chanzo cha wewe kufedheheka hapa duniani na hata kujuta kwanini ulimzaa...mfano labda huyo mtoto angekua na kuja kuwa Shoga.!!

Mungu kwa elimu na hekima zake anaamua kumfisha angali mchanga then anakupa mtoto mwingine mwema atakae kuja kukufaa baadae. Hakuna ajuae haya isipokuwa Mungu mwenyewe. So Mungu hapangiwi wala haulizwi wala hawekewi uzio wa kutenda (maadili).

Hao watu unaosema walikuwa ni wajawazito,watoto n.k waliogharikishwa wakati wa Nuh. Unajua kuwa Mtume Nuh alitumia zaidi ya miaka 950 kuwaita waelekee katika njia ya Mungu ila waliishia kumdhihaki na kumkufuru Mungu ila Mungu aliwavumilia miaka yote hiyo, mwisho akamwambia Nuh kuwa hata afanye jitihada gani kuwaita hawawezi kuitikia na kuamini na hawatazaa isipokuwa wale ambao nao watarithi ukaidi wa baba zao,hvyo Mungu mwisho akaamua kuteketeza na kuangamiza kizazi chote cha wasioamini.
Kama anakili,ataelewa.
 
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
Mungu wa Biblia hajielewi au aliyeaiandika ndo halikuwa hajielewi
 
Mkuu, watu hawaelewi kuhusu haya mambo.
Kuna hadithi ya "Enuma Elish" hapo utaona jinsi uumbaji unavyofanywa

Right wakisoma vizuri na kwa udadisi watajua kuna kitu na hakuna sababy ya kuamini hizi hadithi za Alfa_ulela ulela.

Bahati mbaya ukiwa kondoo wa bwana kila utachopewa chenye kuonesha mambo kama hayo, utasema ni kazi/mpango wa Shetani.

Kondoo si watu.
Na kondoo ndo mifugo mijinga inafata kila kitu inasubiri kuchinjwa tu ndo maana wanaitwa kondoo
 
Kwani Mungu ndie alieandika biblia? Miungu ilioandikwa kwenye vitabu vya dini zote ina ukatili na muda mwingine ina miyeyusho mfano kuna mungu huyo anaahidi watu mabikra na mito ya pombe sasa hapo akili kumkichwa
Si ndo maana nasema sio neno la Mungu
 
Hayo Mambo personal unaconclude na akili. We ukishindwana na mke wako huna akili. If so basi hii Convo haikuhusu, tafuta wa kubishanana nae
Kwakua yeye karusha vyombo hewani basi wanadamu wote wajinga dunin?? Kesha jua kuhusu udaktari, uganga na physiology??
Ndo uelewa wako huu, acha na wewe uuzwe kwa waarabu
 
Back
Top Bottom