Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Biblia inakurithisha dhambi za Adam, wakati hakuna mtu yeyote anayeweza kuthibitisha huyo Adam alikuwepo, na hata angekuwepo, kunirithisha mimi dhambi za mtu aliyeishi miaka yote hiyo si maadili mazuri.

Yani hata Polisi na mahakama za secular state tu haziwezi kunipata na hatia kwa kosa alilotenda baba yangu.

Inakuwaje Biblia inipe hukumu kwa makosa ya Adam?

Ina maana sheria zetu za kutungwa na watu tu zimezizidi haki sheria za Mungu?
 
Ficha upumbavu wako, bila XXX we ungezaliwa hewani?
Hata xxx hizi nazo zinazaa mtu ?

1687448448772.png
 
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
Mi najibu hapo mwisho unaposema shetani hajawahi kudanganya. Sio kweli.....Shetani muongo kinoma, angalia Mwanzo3:4 Mungu aliwaambia Adam na Hawa wasile tunda la katikati ya bustani na wakila watakufa, shetani akamwambia Hawa ale tu na hatakufa, Hawa akala na akafa.
 
Hawa akufa baada ya kula tunda. Ila according to hio hadithi Mungu alimwambia Adam (na Hawa) wakila Hilo tunda watakufa siku hio... So nani muongo hapo? Soma Biblia vizuri ndo urudi
 
Point ya Mungu ilikuwa ni kwamba wakila tunda watakufa, kufa huko kungetokea siku yoyote baada ya kula tunda. Uongo wa shetani ni kusema hata wakila hawatakufa, walipokula wakafa. Hapo bado hujajua muongo ni yupi?
 
Mungu alisema siku ya kula Hilo tunda watakufa, shetani aliwaambia watakua Kama Mungu. In reality tumeshinda uwezo na akili huyo Mungu wa Biblia na pia tumemshinda maadili
 
Hizi hadithi za Wakristo na Waislamu huwa zinanichekesha sana! [emoji16][emoji16]
Yani walivyo wapumbavu ndio maana wanaingizwa mkenge eti wasile hadi wafe waweze kuonana na yule kijana myahudi kutokea pande za Nazareti
Huku anayewaambia wasilie yeye analula. Sijui kwa nini watu wanakosa hata tu akili ndogo ya kumuuliza "Je kiongozi, wewe hutaki twende wote tukaonane na Yesu"? Mbona wewe mwenzetu unaendelea kula? Tena unakula hela ya sadaka unanunua samaki kula na familia yako
 
Mwenyezi Mungu hadhihakiwi wala kukejeliwa kwa vyovyote vile kwa ajili ya upuuzi wowote ule wa kibinadamu. Haijalishi unataka kujifurahisha wewe mwenyewe ama kujikweza tu kwa kiburi cha uzima ili tu upate kuonekana mbele ya wengine wote wale wenye kupotea.

Ni hasara yako wewe mwenyewe kwa kutokutii kwa makusudi mamlaka kuu ya mbingu. Pole sana ndugu yangu. Naomba tu utafakari nukuu ifuatayo;
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
Agano Jipya

WARUMI 11

33 Jinsi utajiri wa Mungu ulivyo mkuu! Hekima yake na maarifa yake hayana mwisho. Njia zake na maamuzi yake hayachunguziki!

34 Kwa maana ni nani amepata kufahamu mawazo ya Mungu au kuwa mshauri wake?

35 Au ni nani amewahi kumpa cho chote ili arudishiwe?

36 Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake na vipo kwa ajili yake na vyote vinadumu kwake. Utukufu ni wake milele.
Amina.

Agano la Kale.

ZABURI 1

1 Heri mtu asiyefuata shauri la waovu, asiyeshiriki njia za wenye dhambi, wala kujumuika na wenye dharau;

2 Bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu,
na kuitafakari mchana na usiku.

3 Huyo ni kama mti uliopandwa kando ya vijito, unaozaa matunda kwa wakati wake,
na majani yake hayanyauki. Kila afanyalo hufanikiwa.

4 Lakini waovu sivyo walivyo;
wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.

5 Kwa hiyo watu waovu wataanguka wakati wa hukumu,
wenye dhambi hawatakaa na kusanyiko la waadilifu.

6 Maana Mwenyezi-Mungu huziongoza njia za waadilifu;
lakini njia za waovu zitaishia katika maangamizi.

Ubarikiwe sana.

[emoji103][emoji103][emoji103]
 
Imani zote hazina Usawa hio ni Convenience ambayo inawasaidia watawala (kwamba mkubwa hakosei) Hata Binadamu sio sawa kuna Mabwana, Watwana na mpaka Watumwa... (it keep people in society in their places)

Unadhani Bible angeandika mwanamke huyu Eva angekuwa Ubavu wa Mwanaume ? Hao kama leo ungekuwa unafuata kitabu cha wa-Hindu na sio Wayahudi sasa hivi ungekuwa unaongelea Krishna..., Au tungebaki na Imani za Mababu zetu huenda tungekuwa hatuharidu misitu (Nature) kama tunavyofanya sasa...

Anyway to each his / her own ila fahamu kabisa maandiko yanayotumiwa / tumika wakati husika yana-support utawala wa enzi husika.... (Mfalme St. Constantine alilifahamu hilo fika kabla hajabadilisha dini na kupata jeshi la wakristu na kuwamaliza maadui zake) vilevile kwa Wa Persia uislamu uliwaunganisha na kuweza kuwahimili so called maadui zao...

To each their Own.....
 
Mwenyezi Mungu hadhihakiwi wala kukejeliwa kwa vyovyote vile kwa ajili ya upuuzi wowote ule wa kibinadamu. Haijalishi unataka kujifurahisha wewe mwenyewe ama kujikweza tu kwa kiburi cha uzima ili tu upate kuonekana mbele ya wengine wote wale wenye kupotea.

Ni hasara yako wewe mwenyewe kwa kutokutii kwa makusudi mamlaka kuu ya mbingu. Pole sana ndugu yangu. Naomba tu utafakari nukuu ifuatayo;Agano Jipya

WARUMI 11

33 Jinsi utajiri wa Mungu ulivyo mkuu! Hekima yake na maarifa yake hayana mwisho. Njia zake na maamuzi yake hayachunguziki!

34 Kwa maana ni nani amepata kufahamu mawazo ya Mungu au kuwa mshauri wake?

35 Au ni nani amewahi kumpa cho chote ili arudishiwe?

36 Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake na vipo kwa ajili yake na vyote vinadumu kwake. Utukufu ni wake milele.
Amina.

Agano la Kale.

ZABURI 1

1 Heri mtu asiyefuata shauri la waovu, asiyeshiriki njia za wenye dhambi, wala kujumuika na wenye dharau;

2 Bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu,
na kuitafakari mchana na usiku.

3 Huyo ni kama mti uliopandwa kando ya vijito, unaozaa matunda kwa wakati wake,
na majani yake hayanyauki. Kila afanyalo hufanikiwa.

4 Lakini waovu sivyo walivyo;
wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.

5 Kwa hiyo watu waovu wataanguka wakati wa hukumu,
wenye dhambi hawatakaa na kusanyiko la waadilifu.

6 Maana Mwenyezi-Mungu huziongoza njia za waadilifu;
lakini njia za waovu zitaishia katika maangamizi.

Ubarikiwe sana.

[emoji103][emoji103][emoji103]
Skia ukimaliza naomba niletee Aya za kigiriki, kiarabu, kihindi pia, hizi za kiyahudi nimeziona sana
 
Imani zote hazina Usawa hio ni Convenience ambayo inawasaidia watawala (kwamba mkubwa hakosei) Hata Binadamu sio sawa kuna Mabwana, Watwana na mpaka Watumwa... (it keep people in society in their places)

Unadhani Bible angeandika mwanamke huyu Eva angekuwa Ubavu wa Mwanaume ? Hao kama leo ungekuwa unafuata kitabu cha wa-Hindu na sio Wayahudi sasa hivi ungekuwa unaongelea Krishna..., Au tungebaki na Imani za Mababu zetu huenda tungekuwa hatuharidu misitu (Nature) kama tunavyofanya sasa...

Anyway to each his / her own ila fahamu kabisa maandiko yanayotumiwa / tumika wakati husika yana-support utawala wa enzi husika.... (Mfalme St. Constantine alilifahamu hilo fika kabla hajabadilisha dini na kupata jeshi la wakristu na kuwamaliza maadui zake) vilevile kwa Wa Persia uislamu uliwaunganisha na kuweza kuwahimili so called maadui zao...

To each their Own.....
Umeongea ukweli
 
apk, Kuna watu wanakufa, wanateseka, wanaumwa, na wanamwamini Mungu huyu huyo. Una maana Mungu anabagua watu aliyowaumba ama
 
Back
Top Bottom