Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Mungu wa anga ni mwingine, na Mungu wa mbingu na nchi ni mwingine.

Biblia ilipokuambia Mungu aliumba mbingu na nchi haikumaanisha kama unavyofikiria, no, alimaanisha kuwa Mungu aliumba ulimwengu unaoonekana (nchi) na ulimwengu usioonekana (mbingu)

Ni kwamba tuu lugha yetu ya kiswahili ina uchache sana wa maneno na pia lugha za ulimwengu unaoonekana (flesh) pia zina uchache wa tafsiri

Mungu wa anga ametajwa hadi kwenye biblia, yupo, lakini sio Mungu wa Mbingu na nchi.

Hili wachambuzi wa biblia wanaweza kunipa biblical lines na references nadhani kwenye waefeso hivii..limetajwa kwa ufupi.
Kwa mujibu wa maandiko Mungu ni mmoja
 
Karibu church jumapili andaa na sadaka yako kabisa njoo tujifunze neno
 
Kwa mujibu wa maandiko Mungu ni mmoja
mungu wa anga yupo, na ametajwa kabisaa kwenye biblia..kama mfalme.

Efe 2:2 ukijisomea utaelewa.

Naomba nirekebishe kitu kidogo, mungu wa anga kwenye biblia ametajwa kama mfalme wa anga, maana atataka utukufu kwa mwanadamu..etc.

So, technically upo sahihi, Mungu ni mmoja.
 
Mungu haonekani kwa macho, maana yeye si wa ulimwengu wa mwili.

So kusema hayupo kwa sababu haonekani kwenye ulimwengu huu still ni ujinga wako.

Shauri lako, usije kusema kuwa hatukukuambia..
Wapi nmesema Kuwa Mungu hayupo kwasababu haonekani kwa macho?
 
mungu wa anga yupo, na ametajwa kabisaa kwenye biblia..kama mfalme.

Efe 2:2 ukijisomea utaelewa.

Naomba nirekebishe kitu kidogo, mungu wa anga kwenye biblia ametajwa kama mfalme wa anga, maana atataka utukufu kwa mwanadamu..etc.

So, technically upo sahihi, Mungu ni mmoja.
Mungu wa anga ni mwingine, na Mungu wa mbingu na nchi ni mwingine.

Biblia ilipokuambia Mungu aliumba mbingu na nchi haikumaanisha kama unavyofikiria, no, alimaanisha kuwa Mungu aliumba ulimwengu unaoonekana (nchi) na ulimwengu usioonekana (mbingu)

Ni kwamba tuu lugha yetu ya kiswahili ina uchache sana wa maneno na pia lugha za ulimwengu unaoonekana (flesh) pia zina uchache wa tafsiri

Mungu wa anga ametajwa hadi kwenye biblia, yupo, lakini sio Mungu wa Mbingu na nchi.

Hili wachambuzi wa biblia wanaweza kunipa biblical lines na references nadhani kwenye waefeso hivii..limetajwa kwa ufupi

Kwa mujibu wa maandiko Mungu ni mmoja

Mnaona jinsi nyie wenyewe hamuelewani? hyo ni kwasababu biblia ina contradiction kibao.

Huo ni ushahidi mwingine kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo wala hata hawezekani kuwepo.
 
Wewe ndio hauelewi. Mungu yupo na mungu yupo. miungu ipo mingi na Mungu ni mmoja
 
Unajua mtu akiwa ana m doubt Mungu Na kuhisi maswala ya kiimani ni story tu na kuwa hayana uhalisia wowote kwanza nahisi uyu mtu kwanza katoka chuo Au shule na bado anaishi kwa wazazi but ukiingia mtaani Na kuanza kutafuta maisha ndipo utajua kuna natural power ambaZo zina nguvu Na zinatenda kaZi kabisa Na Mungu yupo Na anaonekana kwa wale wamuaminio,so kijana acha kuona science ndio inajibu maswali yote ya ulimwengu huu ,ulimwengu wa kiroho upo Na una nguvu mnoo
🤣Si ndo maana waafrika wanaamini uchawi Mungu miujiza etc coz ni wajinga na maskini... That doesn't prove chochote kuhusu Mungu it proves kwamba ni ujinga na umaskini...
 
mungu wa anga ni mwingine, na Mungu wa mbingu na nchi ni mwingine.

Biblia ilipokuambia Mungu aliumba mbingu na nchi haikumaanisha kama unavyofikiria, no, alimaanisha kuwa Mungu aliumba ulimwengu unaoonekana (nchi) na ulimwengu usioonekana (mbingu)

Ni kwamba tuu lugha yetu ya kiswahili ina uchache sana wa maneno na pia lugha za ulimwengu unaoonekana (flesh) pia zina uchache wa tafsiri

mungu wa anga (mfalme wa anga) ametajwa hadi kwenye biblia, yupo, lakini sio Mungu wa Mbingu na nchi.

Hili wachambuzi wa biblia wanaweza kunipa biblical lines na references nadhani kwenye waefeso hivii..limetajwa kwa ufupi.
🤣Skia mi nasoma kilichoandikwa coz najua kusoma...huo alioandika ujumbe angekuwa anataka mi nielewe angeeleweka..we unaweza andika barua ili mtu apate ujumbe afu ukampa mafumbo ambayo kila mtu akisoma anakuja na lake
 
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
George Bernard Shaw aliwahi kuandika miaka mingi iliyo pita, kuwa Biblia ni kitabu hatari sana, kinachofaa kufungiwa watoto wasikione:

1689218255386.png

Mfahamu Geirge Bernard Shaw ni nani:

"Bernard Shaw" inaelekeza hapa. Kwa matumizi mengine, angalia Bernard Shaw (maana).
Saini
George Bernard Shaw
Mtu wa umri wa kati na nywele za kijivu na ndevu kamili
Shaw katika 1911, na Alvin Langdon Coburn
Kuzaliwa26 Julai 1856
Portobello, Dublin, Ireland
Alikufa2 Novemba 1950 (umri wa miaka 94)
Mji wa Ayot St Lawrence, Hertfordshire, Uingereza
Mahali pa kupumzikaKona ya Shaw, Ayot St Lawrence
Jina la kalamuBernard Shaw
Kazi
  • Mwandishi
  • wa kisiasa mwanaharakati
UraiaUingereza (1856-1950) Irish (uraia wa kawaida, 1934-1950)
Harakati ya fasihiUhalisia wa kijamii
MkeCharlotte Payne-Townshend

(m. 1898; Waliozaliwa 1943)
George Bernard Shaw (26 Julai 1856 - 2 Novemba 1950), anayejulikana kwa msisitizo wake kama Bernard Shaw, alikuwa mchezaji wa Ireland, mkosoaji, mwanaharakati wa polemicist na kisiasa. Ushawishi wake katika ukumbi wa michezo wa Magharibi, utamaduni na siasa ulienea kutoka miaka ya 1880 hadi kifo chake na zaidi. Aliandika zaidi ya michezo sitini, ikiwa ni pamoja na kazi kubwa kama vile Man and Superman (1902), Pygmalion (1913) na Saint Joan (1923). Akiwa na aina mbalimbali za satire na istiari ya kihistoria, Shaw akawa mwigizaji wa kuigiza wa kizazi chake, na mwaka wa 1925 alitunukiwa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Alizaliwa Dublin, Shaw alihamia London mnamo 1876, ambapo alijitahidi kujiimarisha kama mwandishi na mwandishi wa riwaya, na kuanza mchakato mkali wa elimu ya kibinafsi. Kufikia katikati ya miaka ya 1880 alikuwa amegeuka kuwa mkosoaji wa muziki na ukumbi wa muziki. Kufuatia mwamko wa kisiasa, alijiunga na Jumuiya ya Fabian ya taratibu na akawa mwanamichezo maarufu zaidi. Shaw alikuwa akiandika tamthilia kwa miaka kadhaa kabla ya mafanikio yake ya kwanza ya umma, Arms na Man mwaka 1894. Akiwa ameshawishiwa na Henrik Ibsen, alitafuta kuanzisha uhalisia mpya katika mchezo wa kuigiza wa lugha ya Kiingereza, akitumia michezo yake kama magari kusambaza mawazo yake ya kisiasa, kijamii na kidini. Mwanzoni mwa karne ya ishirini sifa yake kama mwigizaji wa kuigiza ililindwa na mfululizo wa mafanikio muhimu na maarufu ambayo ni pamoja na Meja Barbara, Dilemma ya Daktari, na Kaisari na Cleopatra.

Maoni ya Shaw yaliyoonyeshwa mara nyingi yalikuwa ya kutatanisha; Aliendeleza eugenics na mageuzi ya alfabeti, na kupinga chanjo na dini iliyopangwa. Alionyesha kutopendwa kwa kushutumu pande zote mbili katika Vita vya Kwanza vya Dunia kama sawa, na ingawa sio jamhuri, alitupa sera ya Uingereza juu ya Ireland katika kipindi cha baada ya vita. Msimamo huu haukuwa na athari ya kudumu juu ya msimamo wake au tija kama mcheza kuigiza; Miaka ya vita kati ya vita iliona mfululizo wa michezo ya mara nyingi ya kabambe, ambayo ilifikia viwango tofauti vya mafanikio maarufu. Mnamo 1938 alitoa skrini ya toleo la filamu la Pygmalion ambalo alipokea Tuzo ya Academy. Tamaa yake ya siasa na utata ilibaki bila kutiliwa shaka; mwishoni mwa miaka ya 1920, alikuwa amekataa kwa kiasi kikubwa taratibu za Fabian Society, na mara nyingi aliandika na kuzungumza kwa upendeleo juu ya udikteta wa kulia na kushoto-alionyesha kufurahishwa na Mussolini na Stalin. Katika muongo wa mwisho wa maisha yake, alitoa taarifa chache za umma lakini aliendelea kuandika kwa lugha ya kifasihi hadi muda mfupi kabla ya kifo chake, akiwa na umri wa miaka tisini na nne, baada ya kukataa heshima zote za serikali, ikiwa ni pamoja na Amri ya Merit mnamo 1946.

Tangu kifo cha Shaw na maoni muhimu juu ya kazi zake yametofautiana, lakini mara kwa mara amekuwa akipimwa kati ya wanatamthilia wa Uingereza kama wa pili tu kwa Shakespeare; Wachambuzi wanatambua ushawishi wake mkubwa kwa vizazi vya wachezaji wa lugha ya Kiingereza. Neno Shavian limeingia katika lugha kama linalojumuisha mawazo ya Shaw na njia zake za kuzielezea.
 
Ukisoma biblia bi vituko, mungu alikua anaamuru watu wake ama anaowaita watu wake wana wa Israel waue wanaume wote halafu wateke wanawake wakawatombe, so jamaa walikua wanajitombea wanavyotaka.

Mungi aliruhusu rutu atombe watoto wake na kuwapa mimba, rutu alikula kuku na mayai safi kabisa. Iwapo mabinti wale walizaa watoto wa kike rutu aliendelea kutomba wajukuu zake ili wazae , rutu alikua anajitombea kizazi chake tu.

Sasa hio ujinga kwenye biblia, kwenye quran ndio balaa, yaani ni balaa tupu, Mohamed alikua anabaka watoto, wabibi, wake za watu, mke wa mtoto wake yaani mungu alimruhusu mihamed kubaka kila mtu anaemtaka.

Dini ni taasisi za kitapeli tu
 
George Bernard Shaw aliwahi kuandika miaka mingi iliyo pita, kuwa Biblia ni kitabu hatari sana, kinachofaa kufungiwa watoto wasikione:

View attachment 2686347

Uislamu ni dini ya kutafta relevance kutoka kwa watu maarufu. Kila siku vinukuu sijui mtu gani maarufu amesema nini kuhusu uislamu. Ni dini ya watu wasiojielewa.

Kwamba wewe huwezi kuzungumzia uislamu hadi utafte vinukuu vya watu flani, flani kasema nini kuhusu uislamu sijui nini. Mimi nasema uislamu ni dini ya mapunguani, unaweza kutumia nukuu yangu? Usipoitumia wewe wataitumia wengine.

Dini ya kutafta relevance kutoka kwa maoni ya watu maarufu ndio iwe dini inaahidi watu eti kuna mbingu 😂
 
Ukisoma biblia bi vituko, mungu alikua anaamuru watu wake ama anaowaita watu wake wana wa Israel waue wanaume wote halafu wateke wanawake wakawatombe, so jamaa walikua wanajitombea wanavyotaka.

Mungi aliruhusu rutu atombe watoto wake na kuwapa mimba, rutu alikula kuku na mayai safi kabisa. Iwapo mabinti wale walizaa watoto wa kike rutu aliendelea kutomba wajukuu zake ili wazae , rutu alikua anajitombea kizazi chake tu.

Sasa hio ujinga kwenye biblia, kwenye quran ndio balaa, yaani ni balaa tupu, Mohamed alikua anabaka watoto, wabibi, wake za watu, mke wa mtoto wake yaani mungu alimruhusu mihamed kubaka kila mtu anaemtaka.

Dini ni taasisi za kitapeli tu
Tumia tafsida kidogo, siyo uhodari huo, ni ujuha.
 
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
Acha kuhangaika na mambo ambayo yako juu sana kuliko uwezo wako we kahangaike na uchambuzi wa mambo yetu ya humu duniani. Mungu mwenyewe ametuambia upumbavu wake uko sana kuliko akili zenu.
 
Back
Top Bottom