Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Mungu muumbaji aliyeruhusu mambo mabaya ulimwenguni haingii akilini mwangu, ni Mungu aliyechongwa na wazungu. Kitendo tu cha kumtoa mwanae kafara aliruhusu ubaya ulimwenguni. Angalia Sasa mtu anavyomtoa mwanae mpendwa kafara ili apate utajiri.
 
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
Pamoja na yote uliyoorodhesha hapo MUNGU anabaki kuwa MUNGU tu. Hajawahi kukosea, Hakosei, na Hatakaa akosee.

God does not have common sense because He is not in common with any Creature!
 
Mungu muumbaji aliyeruhusu mambo mabaya ulimwenguni haingii akilini mwangu, ni Mungu aliyechongwa na wazungu. Kitendo tu cha kumtoa mwanae kafara aliruhusu ubaya ulimwenguni. Angalia Sasa mtu anavyomtoa mwanae mpendwa kafara ili apate utajiri.
Yesu amekufa msalabani ili tuu kila mwanadamu asamehewe dhambi zake.

Hii ni sacrifice ambayo hakuna ulimwenguni.

Ni nani anayeweza kumpenda mwanadamu kiasi cha kukubali kusulubiwa na kufa ili tuu apate msamaha na uzima wa milele?

Hakuna.

Sacrifices are super powerful than anything in this universe

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
George Bernard Shaw aliwahi kuandika miaka mingi iliyo pita, kuwa Biblia ni kitabu hatari sana, kinachofaa kufungiwa watoto wasikione:

View attachment 2686347

Mfahamu Geirge Bernard Shaw ni nani:

"Bernard Shaw" inaelekeza hapa. Kwa matumizi mengine, angalia Bernard Shaw (maana).
George Bernard Shaw
Saini
Mtu wa umri wa kati na nywele za kijivu na ndevu kamili
Shaw katika 1911, na Alvin Langdon Coburn
Kuzaliwa26 Julai 1856
Portobello, Dublin, Ireland
Alikufa2 Novemba 1950 (umri wa miaka 94)
Mji wa Ayot St Lawrence, Hertfordshire, Uingereza
Mahali pa kupumzikaKona ya Shaw, Ayot St Lawrence
Jina la kalamuBernard Shaw
Kazi
  • Mwandishi
  • wa kisiasa mwanaharakati
UraiaUingereza (1856-1950) Irish (uraia wa kawaida, 1934-1950)
Harakati ya fasihiUhalisia wa kijamii
MkeCharlotte Payne-Townshend

(m. 1898; Waliozaliwa 1943)
George Bernard Shaw (26 Julai 1856 - 2 Novemba 1950), anayejulikana kwa msisitizo wake kama Bernard Shaw, alikuwa mchezaji wa Ireland, mkosoaji, mwanaharakati wa polemicist na kisiasa. Ushawishi wake katika ukumbi wa michezo wa Magharibi, utamaduni na siasa ulienea kutoka miaka ya 1880 hadi kifo chake na zaidi. Aliandika zaidi ya michezo sitini, ikiwa ni pamoja na kazi kubwa kama vile Man and Superman (1902), Pygmalion (1913) na Saint Joan (1923). Akiwa na aina mbalimbali za satire na istiari ya kihistoria, Shaw akawa mwigizaji wa kuigiza wa kizazi chake, na mwaka wa 1925 alitunukiwa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Alizaliwa Dublin, Shaw alihamia London mnamo 1876, ambapo alijitahidi kujiimarisha kama mwandishi na mwandishi wa riwaya, na kuanza mchakato mkali wa elimu ya kibinafsi. Kufikia katikati ya miaka ya 1880 alikuwa amegeuka kuwa mkosoaji wa muziki na ukumbi wa muziki. Kufuatia mwamko wa kisiasa, alijiunga na Jumuiya ya Fabian ya taratibu na akawa mwanamichezo maarufu zaidi. Shaw alikuwa akiandika tamthilia kwa miaka kadhaa kabla ya mafanikio yake ya kwanza ya umma, Arms na Man mwaka 1894. Akiwa ameshawishiwa na Henrik Ibsen, alitafuta kuanzisha uhalisia mpya katika mchezo wa kuigiza wa lugha ya Kiingereza, akitumia michezo yake kama magari kusambaza mawazo yake ya kisiasa, kijamii na kidini. Mwanzoni mwa karne ya ishirini sifa yake kama mwigizaji wa kuigiza ililindwa na mfululizo wa mafanikio muhimu na maarufu ambayo ni pamoja na Meja Barbara, Dilemma ya Daktari, na Kaisari na Cleopatra.

Maoni ya Shaw yaliyoonyeshwa mara nyingi yalikuwa ya kutatanisha; Aliendeleza eugenics na mageuzi ya alfabeti, na kupinga chanjo na dini iliyopangwa. Alionyesha kutopendwa kwa kushutumu pande zote mbili katika Vita vya Kwanza vya Dunia kama sawa, na ingawa sio jamhuri, alitupa sera ya Uingereza juu ya Ireland katika kipindi cha baada ya vita. Msimamo huu haukuwa na athari ya kudumu juu ya msimamo wake au tija kama mcheza kuigiza; Miaka ya vita kati ya vita iliona mfululizo wa michezo ya mara nyingi ya kabambe, ambayo ilifikia viwango tofauti vya mafanikio maarufu. Mnamo 1938 alitoa skrini ya toleo la filamu la Pygmalion ambalo alipokea Tuzo ya Academy. Tamaa yake ya siasa na utata ilibaki bila kutiliwa shaka; mwishoni mwa miaka ya 1920, alikuwa amekataa kwa kiasi kikubwa taratibu za Fabian Society, na mara nyingi aliandika na kuzungumza kwa upendeleo juu ya udikteta wa kulia na kushoto-alionyesha kufurahishwa na Mussolini na Stalin. Katika muongo wa mwisho wa maisha yake, alitoa taarifa chache za umma lakini aliendelea kuandika kwa lugha ya kifasihi hadi muda mfupi kabla ya kifo chake, akiwa na umri wa miaka tisini na nne, baada ya kukataa heshima zote za serikali, ikiwa ni pamoja na Amri ya Merit mnamo 1946.

Tangu kifo cha Shaw na maoni muhimu juu ya kazi zake yametofautiana, lakini mara kwa mara amekuwa akipimwa kati ya wanatamthilia wa Uingereza kama wa pili tu kwa Shakespeare; Wachambuzi wanatambua ushawishi wake mkubwa kwa vizazi vya wachezaji wa lugha ya Kiingereza. Neno Shavian limeingia katika lugha kama linalojumuisha mawazo ya Shaw na njia zake za kuzielezea.
🤣
 
Acha kuhangaika na mambo ambayo yako juu sana kuliko uwezo wako we kahangaike na uchambuzi wa mambo yetu ya humu duniani. Mungu mwenyewe ametuambia upumbavu wake uko sana kuliko akili zenu.
🤣Ya duniani ndo yapi wakati Mungu mwenyewe kaundwa duniani
 
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
So kwako kumtukana mzazi na kufanya ushoga ni sawa?

Sheria za Mungu wa Yesu Kristo ni safi na amini.
 
Kwa kuwa Mungu ni mweza ya yote, angesema tu neno na sio kumtoa mwanae kafara. Angalia sasa binadamu kagundua kuwa kafara inalipa.
 
Attachments

  • images (3).png
    images (3).png
    27.4 KB · Views: 12
Ukisoma biblia bi vituko, mungu alikua anaamuru watu wake ama anaowaita watu wake wana wa Israel waue wanaume wote halafu wateke wanawake wakawatombe, so jamaa walikua wanajitombea wanavyotaka.

Mungi aliruhusu rutu atombe watoto wake na kuwapa mimba, rutu alikula kuku na mayai safi kabisa. Iwapo mabinti wale walizaa watoto wa kike rutu aliendelea kutomba wajukuu zake ili wazae , rutu alikua anajitombea kizazi chake tu.

Sasa hio ujinga kwenye biblia, kwenye quran ndio balaa, yaani ni balaa tupu, Mohamed alikua anabaka watoto, wabibi, wake za watu, mke wa mtoto wake yaani mungu alimruhusu mihamed kubaka kila mtu anaemtaka.

Dini ni taasisi za kitapeli tu
Nonsense Mungu hakuruhusu waisrael wafanye dhambi na kila wakifanya dhambi huwa wanaadhibiwa.
 
Ukisoma biblia bi vituko, mungu alikua anaamuru watu wake ama anaowaita watu wake wana wa Israel waue wanaume wote halafu wateke wanawake wakawatombe, so jamaa walikua wanajitombea wanavyotaka.

Mungi aliruhusu rutu atombe watoto wake na kuwapa mimba, rutu alikula kuku na mayai safi kabisa. Iwapo mabinti wale walizaa watoto wa kike rutu aliendelea kutomba wajukuu zake ili wazae , rutu alikua anajitombea kizazi chake tu.

Sasa hio ujinga kwenye biblia, kwenye quran ndio balaa, yaani ni balaa tupu, Mohamed alikua anabaka watoto, wabibi, wake za watu, mke wa mtoto wake yaani mungu alimruhusu mihamed kubaka kila mtu anaemtaka.

Dini ni taasisi za kitapeli tu
Sijapenda lugha yako ungetumia tafsida. Ningekuwa mod ningekufungia kwanza.
 
Back
Top Bottom