SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
- #161
Kuna uwongo?Mtoa mada umezingua Sana kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uwongo?Mtoa mada umezingua Sana kwa kweli
For social purposes and selfish reasons, the human ego aims at appearing as egoless as possible as a form of social manipulation.Mkuu naomba unisaidie kunieleza hapa🙏🙏
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.
Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)
Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)
Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)
Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)
Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)
Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)
Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)
Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21
Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
Kwani penguin ni mnyama wa upande gani? Kwenye maji au nchi kavu...Mkuu umeongelea gharika
Unaamini penguin [emoji210] alitoka huko America kwenda Iraq kupanda safina?
Matumaini na unachokiamini wewe hakina tofauti na matumaini na anachokiamini yeye, hukumu yako juu yake haijatenda haki unayotamani wewe juu yake aelewe unavyoelewa wewe, maana ana haki ya kuamini anachoona ni sawa kuliko unavyotamani aamini unavyoamini wewe kua ni sawa..Unamatumaini yasiyo na mantiki.
Matumaini potofu
Basi tutazame mfano wa mwanadamu alivyounda AI, (Artificial intelligence ) unahisi analenga nini?Mfano ile''..AKAMWAGIA NJE'',..
Matumaini yake ni potofu kwasababu ni hearsey zaidi hayana fact hata moja.Matumaini na unachokiamini wewe hakina tofauti na matumaini na anachokiamini yeye, hukumu yako juu yake haijatenda haki unayotamani wewe juu yake aelewe unavyoelewa wewe, maana ana haki ya kuamini anachoona ni sawa kuliko unavyotamani aamini unavyoamini wewe kua ni sawa..
Ni batili.Matumaini na unachokiamini wewe hakina tofauti na matumaini na anachokiamini yeye, hukumu yako juu yake haijatenda haki unayotamani wewe juu yake aelewe unavyoelewa wewe,
Hii huwa ni kauli ya mwisho ya kutetea kitabu chenu kilichosheheni hadithi za uongo zenye kujipinga zenyewe.Biblia haisomwi kama hadithi za AbuuNuwas!Ni hivyo tu.
Kwani penguin ni mnyama wa upande gani? Kwenye maji au nchi kavu...
Huyo Mungu kweli yupo au ni hadithi tu za uongo zilitungwa na watu!?Jwabu la kimantiki ni hili hapa;
1. Mungu ni mtunga "sheria X" aliyetunga sheria isemayo "usifanye kitu Y"
2. Mtunga sheria anayo mamlaka ya kutengua sheria kwa muda au jumla.
3. Kwa hiyo, Mungu anapofanya kitendo kinachoonekana kuvunja "sheria X" wakati huo anakuwa amebatilisha kwa muda "sheria X"
4. Kwa hiyo Mungu wa Biblia ni mwadilifu kila wakati na kila mahali.
cc. FaizaFoxy
Huyo Mungu kweli yupo au ni hadithi tu za uongo zilitungwa na watu!?
Unajuaje dhana ya Mungu kuwa ni kweli!?
Unasoma kwa mawenge na tena bila kuomba miongozo,unatarajia nini?Na si wewe tu.Kuna wanaofanana nawe ambao huingia hadi darasani kuilewa lakini wanabaki na ujinga wao daima dumu.Hii huwa ni kauli ya mwisho ya kutetea kitabu chenu kilichosheheni hadithi za uongo zenye kujipinga zenyewe.
Yaani ni full of contradiction tu humo kiasi cha kuonesha kuwa kimetungwa na watu wajinga wa zama za giza, tena wasiojua hata jua linaenda wapi usiku.
Kwanza naamini una Baba mzazi, naamini kakuzaa kakulea ktk "Do" and "Dont" sina hakika kama umewah kumuuliza why hakukuacha free ukajikulia km kitoto cha mjusi au nyoka maporin, hata hao viumbe wanalelewa na wazazi wao, wanafundishwa do na dont, unahisi ni kosa Mungu kutoa maelekezo ya Do na Dont?Kwakuwa umesema unaamini bhasi umejieleza vyema, maana kuamini ni kuwa unayo mashaka huna uhakika.
Lakini bado unaposema Mungu ni mkali nakumbuka pia kwenye zile fasihi huwa tunaona jinsi Mungu anavyokasirika,
Sasa Huyu Mungu tunayeambiwa ni kitovu cha ukamilifu, how mkamilifu halafu akasirike? Hamuoni kama mnamnyang'anya sifa ya ukamilifu?
Bila shaka ni unaamini kuwa Mungu wa biblia ndo muumbaji wa kila kitu, hilo sikupingi kwakuwa unaamini tu.
Ila kwenye reality huyo Mungu wa kwenye bible hayupo, na wala hawezekani kuwepo.
Sasa kama hakuna wa kumuelewa Mungu kwa yote aliyofanya, unamaanisha hata wale wanaodaiwa kuongea nae hawawezi kumuelewa. Hao woye wanaojinasibu utume sjui wameambiwa na Mungu means hao ni waongo.
Kuna jamaa anaitwa Musa tunaambiwa aliongea na Mungu huko milimani, sasa kwa hoja hiyo umeleta hapa unadhani nitakubali kuwa ni kweli Musa aliongea na Mungu na akamuelewa hadi aje kutuambia?
Kumbe Musa hakumuelewa huyo Mungu na asingeweza kumuelewa kama ulivyosema hapo. Sasa kwanini unakubali maagizo na ile story ya Musa akaambiwa na Mungu?
Huoni kuwa Musa alijitungia tu mambo yake na hadithi zake?
If God real exist why do we need books and preachers to explain him? the fact that God can't do it himself it's the good evidence he doesn’t exist.
Hujaziona hata contradiction zenyewe lakini unaanza kulaumu kuwa tuna mawenge.Unasoma kwa mawenge na tena bila kuomba miongozo,unatarajia nini?Na si wewe tu.Kuna wanaofanana nawe ambao huingia hadi darasani kuilewa lakini wanabaki na ujinga wao daima dumu.
Hujaweza kuthibitisha kama kweli huyo Mungu yupo.Kwanza naamini una Baba mzazi, naamini kakuzaa kakulea ktk "Do" and "Dont" sina hakika kama umewah kumuuliza why hakukuacha free ukajikulia km kitoto cha mjusi au nyoka maporin, hata hao viumbe wanalelewa na wazazi wao, wanafundishwa do na dont, unahisi ni kosa Mungu kutoa maelekezo ya Do na Dont?
Unaposema "unaweza kukishika kinachokufanya kuwa hai au kukiona kwa macho.."Mwanadamu au viumbe wakitokwa na kile kinachowafanya waweze kutenda wanachopenda wanakufa, unahisi ww unaweza kukishika hcho kinachokufanya uwe hai au kukiona kwa macho
Roho ni kitu gani!?Una uhakika una roho wewe?
Natambua Kuna Miungu zaidi ya 3000+Kama unahisi hivyo...mkuu wa hiyo jamii ndie Mungu tunaemuabudu..na hana mzaha pindi umezngua donts zake, km robot inavyokosea ikapita kwenye magnet area...ukibisha vunja amri za Mungu za Dont hapa dunian, utajua hujui
Kwanini neno la huyo Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote lina ukakasi kiasi hiko!?Unasoma kwa mawenge na tena bila kuomba miongozo,unatarajia nini?Na si wewe tu.Kuna wanaofanana nawe ambao huingia hadi darasani kuilewa lakini wanabaki na ujinga wao daima dumu.
How do you know if it is true in terms of functionality? Can you prove that this functionality is real and derived from God?Even if the God-hypothesis is ontologically fictional yet it is functionally true