Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Haingii akilini kwa kila jambo Rais anasafiri ovyo ovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari.
Mkuu wa nchi ana heshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie.
Ndio maana tuna Mabalozi na ofisi zetu za ubalozi zinakuwa na waambata wa kila sekta ikitigemea na mahusiano ya taifa husika.
Mifano ya ziara za ovyo kabisa ambazo zimegharimu pesa za walipa kodi ni Dubai, USA na hii ya Oman.
Kwa mwendo huu zaidi ya bil 60 zitakuwa zinatumika kila miezi mitatu kwa ziara za ajabu ajabu. Pesa ambazo zingejenga Hospitali za kutosha na kununua vifaa tiba.