Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Usisahau na kusalimia Uncle wakeUsipende kulalama kwa kila kitu, safari kama hii ya Oman,kwanza ni mualiko akiwa kule anagharimiwa kila kitu, kwakuwa vile vile kwenye ziara hizi anaunganisha na ajenda yake ya kufungua nchi kibiashara, anaambatana na ujumbe ambao kwa asilimia kubwa ni sekta binafsi ambao huwaalika ila wajigharamie wenyewe.sasa katika diplomasia ya uchumi ndio umuhimu wa safari husika unapoongezeka. so acha kazi iendelee katika kuifungua nchi.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app