Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Acha roho mbaya,unhekua mkuu wa nchi usingesafiri?
Nijibu hapo Kwanza,eksipoja utaipataje?
Usipende kulalama kwa kila kitu, safari kama hii ya Oman,kwanza ni mualiko akiwa kule anagharimiwa kila kitu, kwakuwa vile vile kwenye ziara hizi anaunganisha na ajenda yake ya kufungua nchi kibiashara, anaambatana na ujumbe ambao kwa asilimia kubwa ni sekta binafsi ambao huwaalika ila wajigharamie wenyewe.sasa katika diplomasia ya uchumi ndio umuhimu wa safari husika unapoongezeka. so acha kazi iendelee katika kuifungua nchi.Haingii akilini kwa kila jambo rais anasafiri hovyo hovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari.
Mkuu wa nchi anaheshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie.
Ndio maana tuna mabalozi na ofisi zetu za ubalozi zinakuwa na waambata wa kila sekta ikitigemea na mahusiano ya taifa husika.
Mifano ya ziara za hovyo kabisa ambazo zimegharimu pesa za walipa kodi ni Dubai, Usa na hii ya Oman.
Kwa mwendo huu zaidi ya bil 60 zitakuwa zinatumika kila miezi mitatu kwa ziara za ajabu ajabu. Pesa ambazo zingejenga Hospital za kutosha na kununua vifaa tiba.
na wewe safiri ndenda chatoSioni unachotetea hapa. Hiyo frequency ya kusafiri siyo ya mkuu wa nchi.
Hii akili ya kufikiria kwamba bila yeye mambo ya nchi hayawezi kwenda ni foolish indispensability!
Ntaendelea kukupa bad words wewe ni Kyum***Haingii akilini kwa kila jambo rais anasafiri hovyo hovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari.
Mkuu wa nchi anaheshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie.
Ndio maana tuna mabalozi na ofisi zetu za ubalozi zinakuwa na waambata wa kila sekta ikitigemea na mahusiano ya taifa husika.
Mifano ya ziara za hovyo kabisa ambazo zimegharimu pesa za walipa kodi ni Dubai, Usa na hii ya Oman.
Kwa mwendo huu zaidi ya bil 60 zitakuwa zinatumika kila miezi mitatu kwa ziara za ajabu ajabu. Pesa ambazo zingejenga Hospital za kutosha na kununua vifaa tiba.
Unasumbuliwa na ushamba,ulimbukeni na ujinga kichwani mwako.Na wewe kapigiwe mizinga kama inakuuma.Haingii akilini kwa kila jambo rais anasafiri hovyo hovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari.
Mkuu wa nchi anaheshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie.
Ndio maana tuna mabalozi na ofisi zetu za ubalozi zinakuwa na waambata wa kila sekta ikitigemea na mahusiano ya taifa husika.
Mifano ya ziara za hovyo kabisa ambazo zimegharimu pesa za walipa kodi ni Dubai, Usa na hii ya Oman.
Kwa mwendo huu zaidi ya bil 60 zitakuwa zinatumika kila miezi mitatu kwa ziara za ajabu ajabu. Pesa ambazo zingejenga Hospital za kutosha na kununua vifaa tiba.
Ufanisi katika uongozi hautofautiani katika ngazi zote, yaani kuanzia ile ya kifamilia mpaka ya kitaifa. Kiongozi ni lazima awe mbele kuonyesha njia ili watu wengine wamfuateHaingii akilini kwa kila jambo rais anasafiri hovyo hovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari.
Mkuu wa nchi anaheshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie.
Ndio maana tuna mabalozi na ofisi zetu za ubalozi zinakuwa na waambata wa kila sekta ikitigemea na mahusiano ya taifa husika.
Mifano ya ziara za hovyo kabisa ambazo zimegharimu pesa za walipa kodi ni Dubai, Usa na hii ya Oman.
Kwa mwendo huu zaidi ya bil 60 zitakuwa zinatumika kila miezi mitatu kwa ziara za ajabu ajabu. Pesa ambazo zingejenga Hospital za kutosha na kununua vifaa tiba.
Hakika umenenaHaingii akilini kwa kila jambo rais anasafiri hovyo hovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari.
Mkuu wa nchi anaheshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie.
Ndio maana tuna mabalozi na ofisi zetu za ubalozi zinakuwa na waambata wa kila sekta ikitigemea na mahusiano ya taifa husika.
Mifano ya ziara za hovyo kabisa ambazo zimegharimu pesa za walipa kodi ni Dubai, Usa na hii ya Oman.
Kwa mwendo huu zaidi ya bil 60 zitakuwa zinatumika kila miezi mitatu kwa ziara za ajabu ajabu. Pesa ambazo zingejenga Hospital za kutosha na kununua vifaa tiba.
Kwani hawezi kuona kwenye tv au kusikia? kule kuna mabalozi kazi yao nini?Ufanisi katika uongozi hautofautiani katika ngazi zote, yaani kuanzia ile ya kifamilia mpaka ya kitaifa. Kiongozi ni lazima awe mbele kuonyesha njia ili watu wengine wamfuate
Kiongozi hawezi kujifungia tu na kukwepa kukutana na viongozi wengine ama watu wengine muhimu. Kukutana na watu wengine ni sehemu muhimu ya kujifunza zaidi mambo ya uongozi, kuchochea ufahamu wa mambo mapya na hata kuweza kujifanyia tathmini binafsi kama uongozi wako ni wenye tija.
Rais SSH aachwe afanye lile analoamini ni jema kwa taifa lake analoliongoza. Hafanyi kosa lolole lile kwa kuwa maamuzi yake kama kiongozi wa taasisi ya urais yana baraka zote za kikatiba.
Sidhani kama una mamlaka ya kumpangia rais oa kusafiri. Wapi anaenda na anaende kufanya nini thats out of you control.Sioni unachotetea hapa. Hiyo frequency ya kusafiri siyo ya mkuu wa nchi.
Hii akili ya kufikiria kwamba bila yeye mambo ya nchi hayawezi kwenda ni foolish indispensability!
Kuna washenzi humu kazi yao ni kuropoka tu na hawajui chochote kuhusu serikali, maisha yao yenyewe ni apeche alolo.Unajua safari za rais zinavyofanyika au unaropoka kama umekunywa gongo.
Punguza bangi,kwa hiyo kule kaenda kwa gharama za walipa Kodi wa Oman??Usipende kulalama kwa kila kitu, safari kama hii ya Oman,kwanza ni mualiko akiwa kule anagharimiwa kila kitu, kwakuwa vile vile kwenye ziara hizi anaunganisha na ajenda yake ya kufungua nchi kibiashara, anaambatana na ujumbe ambao kwa asilimia kubwa ni sekta binafsi ambao huwaalika ila wajigharamie wenyewe.sasa katika diplomasia ya uchumi ndio umuhimu wa safari husika unapoongezeka. so acha kazi iendelee katika kuifungua nchi.
Akili za kimasini au za kijpm. Kumbuka jpm ni lugha tu iliyokuwa inampa shida lakini naye alitamaniHaingii akilini kwa kila jambo rais anasafiri hovyo hovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari.
Mkuu wa nchi anaheshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie.
Ndio maana tuna mabalozi na ofisi zetu za ubalozi zinakuwa na waambata wa kila sekta ikitigemea na mahusiano ya taifa husika.
Mifano ya ziara za hovyo kabisa ambazo zimegharimu pesa za walipa kodi ni Dubai, Usa na hii ya Oman.
Kwa mwendo huu zaidi ya bil 60 zitakuwa zinatumika kila miezi mitatu kwa ziara za ajabu ajabu. Pesa ambazo zingejenga Hospital za kutosha na kununua vifaa tiba.
Hivi wewe Kama umeshawi ku m to mb a mwanamke kwa simu au!! Simple logicKwani hawezi kuona kwenye tv au kusikia? kule kuna mabalozi kazi yao nini?
Unawaza ngono tu badala ya hojaHivi wewe Kama umeshawi ku m to mb a mwanamke kwa simu au!! Simple logic
na wewe safiri ndenda chato
Biden amefanya ziara ngapi nje ya USA mwaka huu? Samia ameenda nchi ngapi tangu January?Kama viongozi wenye umri mkubwa kama vile Biden & Papa Fransis wanafanya ziara nyingi za nje. Je! Inashindikana vipi kwa Rais wetu kufanya hivyo!?
Kabla ya kuanza kutoa lawama, umeshafanya uchunguzi kuhusu idadi ya ziara zinazofanywa na marais wengine wa Afrika!? Chukulia tu mfano wa Uhuru Kenyatta na Paul Kagame, ebu tafuta ukweli kuhusu wastani wa idadi ya ziara walizokwisha kuzifanya nje ya nchi zao kwa mwaka.