Tunatwanga maji kwenye kinu. Rais Samia anamaliza pesa za walipa kodi kwa safari zisizo na tija

not how often she is travelling, but we are calculating how much is she earning on these routes..... spending tsh 5 and earning tsh 100, doesnt cost....

i
 
Sukuma Gang at Work
 
Watasema huna religious tolerance.
 
wacha akatafute pesa atuletee tule, hutaki kusikia tena Mapedeshee wamerudi Mjini,hutaki kusikia tena kauli ya ""Laki sio pesa?'"
 
Watu salio lose ndio hua wanaalikwa, embu jaribuni kumualika Joe Biden, au vradmir Putin aje kutembea ngorongoro uone atakuja lini
 
Kangala kama kangala
 
Haya mawazo unatoa kwa kudhania kwako au kwa fact??,kwa taarifa yako Rais akipata mwaliko safari yake inagharamia yeye mwenyewe na sio Serikali ya Nchi husika vilevile,Wafanyabiashara wanaongozana na Rais nao hulipiwa na Serikali.
 
Unatetea tu kwa sababu upo gizani laiti ungejua hizo safari zinazovyo gharaimu utekelezaji wa shughuli za Serikali za kila siku-haupo jikoni ndio maana huoni impact za hizo safari.
 
Ficha ujinga wako.
Pumbafffff.
 
Anacho kifanya SAMIA hakina tofauti na alicho kifanya Magufuli, huwezi maliza miradi yote katika Nchi kwa miaka 5 au 10-Nchi haijengwi kwa miaka 5 Bali ni continuous huwezi ingiza Nchi katika madeni makubwa kisa unataka kumaliza miradi yote huo ni uzwazwa wa watu wasiojitambua
 
Akirudi.

Atatulia wiki kadhaa then atapanda ndege tena huyooo kula bata huko mbele na kutuachia vumbi letu.
 
kwakweli hiki kimeo tumepigwa, tumeuziwa sabuni badala ya kuuziwa simu. Safari tunayo ndefu sana kama taifa
 
kwakweli hiki kimeo tumepigwa, tumeuziwa sabuni badala ya kuuziwa simu
 
Achen Mama asafiri,..hili ndo chaguo la mungu sio yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…