Tunatwanga maji kwenye kinu. Rais Samia anamaliza pesa za walipa kodi kwa safari zisizo na tija


Mkuu hujasikia kuwa pesa ni za rais? Sasa mtu kutumia pesa zake apendavyo ww inakuuma nini?
 
Tulishakubaliana kuwa raisi akijua kingereza atasafiri vile anavyopenda.
 
Uliza pesa na miradi inayopatikana kutokana na hizo safari, kabla ya kuamua kulaumu tu. Kuna kitu kinaitwa connections maishani, ni zaidi ya matumizi ya pesa.

Kuna ushawishi pia, ni zaidi ya pesa zinazopatikana na kutumika zikaisha.
 
Nauli wanalipa wadau wa maendeleo
 
Vasco da Gama akifanya uvumbuzi!!

sijui lini Bimkubwa atapumzika ili kufanya monitoring and evaluation ya trips zake!

washauri wa Bimkubwa ni opportunists wanaojali per diem kila kukicha wanamwambia Mama tuchukue "Mwewe za Magu tukatalii" nae anavyopenda safari hapingi huyooooo kiguu na njia!

Washauri wake wanajenga nao wanataka safari tu Bimkubwa siku akishtuka akaenda Hazina kucheki salio watamwambia Bimkubwa pesa yote uliyoleta kwa kufungua nchi umeimaliza wewe mwenyewe kwenye safari zako za uvumbuzi !!

Bimkubwa akitulia kwake atajua kwanini Kenya wametangaza wanataka waasi wa M23 toka Rwanda watimuliwe Congo DR ambako wameteka mji maana wakipata nguvu kubwa watageukia kupora na Tanzania. Mama atume jeshi Congo DR likawatoe kule ili kuilinda Tanzania.

Too much of trips is harmful!!
 
Viongozi wasio maono wanalitumbukiza taifa shimoni.
 
Sasa Samia anakosea wapi? kama ungekuwa ni wewe ni miradi gani ungeiacha usubiri miaka 10 wakati Mwendazake anakufa ilikuwa 40%? Na je utapataje Return on Investment au kufikia payback period ka maamuzi hayo?
 

Rais tangu ameingia madaraka amefanya ziara 16 nje ya nchi ambazo zote zimeleta matokeo chanya kwa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…