Mimi nakaa Chanika na Basi linalala Chanika:
Kwanini nisiruhusiwe kupanda Chanika ili linipeleke Hadi stendi ya Magufuli halafu lianze safari yake huko?
Nikitokea Bagamoyo na mizigo yangu narudi Chanika Kuna shida Gani wakishuka abiria wengine hapo na Mimi nikabaki ndani ya gari linalofika kwao Chanika?
Hapo sijaelewa yaani nikodi tax Hadi Mbezi wakati gari linatokea Nyumbani Chanika...!
Au nikifika Mbezi nishuke halafu nikodi bajaji Hadi Chanika wakati basi nililo kuja nalo linaenda kulala Nyumbani Chanika..!
Au Mimi ndio sielewi hapo?