King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Tiketi kakate kwenye hizo ofisi ila ukitakata kupanda gari lazima uende stand Kuu ndiyo utakuta hayo magari.Abiria tupo served vizuri zaidi kwenye office za mabus kuliko hapo stendi na Wala hatujawahi kuona ni kero kwetu
Kwa hiyo watu washuke stendi ili wamachinga hapo stendi wafanye biashara zao??Eneo limejengwa ku accomodate mabasi yote hayo ,ndiyo maana ikaitwa STAND KUU.
Miundombinu imejengwa kuserve abiria wanaushuka pale ,kama abiria hawashuki stand kuu means biashara za pale zitakufa na hiyo project itakuwa ni WHITE ELEPHANT.
Sijui kama ndani kuna wamachinga mkuu ,nazungumzia miundombinu iliyojengwa kuaccomodate hao visitors wakishuka hapo magufuli ,kama hakuna visitors means hiyo miundombinu ni BURE.Kwa hiyo watu washuke stendi ili wamachinga hapo stendi wafanye biashara zao??
Ticket tunakata online tangu zamani sana ni ipi sababu ya msingi mfano abiria wa temeke kwenda mpaka mbezi wakati anaweza kupandia bus hapo hapo temeke bila usumbufuTiketi kakate kwenye hizo ofisi ila ukitakata kupanda gari lazima uende stand Kuu ndiyo utakuta hayo magari.
Hawajazuia hizo ofisi kuoperate mitaani ,wamezuia mabus kupaki huko mitaani badala ya STAND KUU.
Wapokee hata hiyo mizigo hapo ofisi ndogo na kuchukuliwa na carry kwenda stand kuu kwa ajili ya kuipaki.
Kwenye post ya juu hapo umesema Biashara za pale zitakufa . Means sababu Yako ya bus zote kushukia hapo ni ili wafanya Biashara wanufaike na SI abiria kua well servedSijui kama ndani kuna wamachinga mkuu ,nazungumzia miundombinu iliyojengwa kuaccomodate hao visitors wakishuka hapo magufuli ,kama hakuna visitors means hiyo miundombinu ni BURE.
Miundombinu ya One Stop Centre kwa Abiria.
Kitu kizuri baada ya mda watazoea tu.Kwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi binafsi kushamiri kila kona.
Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.
Tunaunga kauli ya RC Chalamila, sasa tunataka kuona mabasi yote yanapaki ktk stendi kuu ya Magufuli.
Soma Pia https://www.jamiiforums.com/threads...wiki-moja-kurejea-stendi-ya-magufuli.2461687/
Hayarundikani, yanashusha na kupakia kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani.Kwa nini unataka mabasi yote yarundikane sehemu moja??
Itasaidia nini magari yote kushusha hapo Stendi ya Magufuli?Hayarundikani, yanashusha na kupakia kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani.
Wenye mabasi wanatakiwa wawe na mini bus ambazo zinakuwa zinabeba watu kuwapeleka mjini..Hoja siyo mapato, kama ni mapato bila kuangalia ufanisi na nafuu kwa wasafiri basi hiyo siyo huduma ni ukandamizaji na unyonyaji. Kwani kuna ubaya gani basi likishusha abiria wa Mbezi na kuendelea mjini na waendao huko?
Watu wasiozoea kufuata utaratibu ndio wenye akili za matope. Wamezoea uholelaholela. Kila kitu kina sehemu yake lakini jamii iliozoea uholela mpangilio wowote huwa wanaona. ni kero na mateso.Itasaidia nini magari yote kushusha hapo Stendi ya Magufuli?
Kuna tatizo gani mabasi yakishusha na kupakia abiria kwenye stendi zao binafsi?
Zitakuwa ni akili au matope kama bus linatoka kwenye yard/Ofisi yake yake Ubungo na kuna abiria wanasafiri na hilo bus wanaoishi hapo ubongo na Sinza kutakiwa kupanda daladala hadi Magufuli ndio wakapakie hilo bus lililoenda tupu bila abiria??
Kwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi binafsi kushamiri kila kona.
Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe wakali kwenye hilo, hakuna kumchekea mtu.
Mapato ya serikali yanavuja.
Tunaunga kauli ya RC Chalamila, sasa tunataka kuona mabasi yote yanapaki ktk stendi kuu ya Magufuli.
Soma Pia https://www.jamiiforums.com/threads...wiki-moja-kurejea-stendi-ya-magufuli.2461687/
Sasa hapo ni kuongeza au kupunguza foleni??Wenye mabasi wanatakiwa wawe na mini bus ambazo zinakuwa zinabeba watu kuwapeleka mjini..
Na sio kuweka kambi au ofisi mjini...
Mbona tanga wameweza?
Wanaopinga hivi ni wanafiki tu. Hawa hawa utawasikia wanalaumu SGR station kuwa city centre wanasema ingekuwa nje ya mji kabisa. Leo hao hao wanapinga stand maalum ya mabasi kuwa Mbezi. Hii nchi ni kusimamia kwa mkono wa chuma tu ukiwasikiliza watu ambao hata kwenda 100m kufuata zebra crossing wanaona kero hupigi hatua.Kitu kizuri baada ya mda watazoea tu.