Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

Ganji kubwa mno kiongozi milioni 6 na ww unaweka mpk milioni 7.




KAZI ni kipimo cha UTU
 
DCJ inaonesha gari imeingia Tanzania mwaka 2014.

Hivyo Imetumika miaka 10 bongo.

Depreciation cost ya miaka 10 ni kubwa. Punguza bei mkuu
 
Habarini Wana jf nawataarifu kua leo brevis ipo sokoni wahi uje kuchukua usije ukachelewa ukaikosa kwa 4.5 million tu.Ipo kimara Karibu uikague uichukue kwa bei ya kutupa
 
Mambo yanakwenda kasi sana, hizi za mkononi kuna kipondi zilifika tsh 4,000,000 na bado watu walizisusa...jamaa'angu mmoja alipewa offer ya 2m akataka kupigana.

Leo inauzwa 13.8m, sio poa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…