Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Wana tamaa sana!Madalali wa kibongo mnakatwa mnakatika kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana tamaa sana!Madalali wa kibongo mnakatwa mnakatika kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Madalali wa kibongo mnakatwa mnakatika kabisa
Kaongeza milioni nzima!Madalali wa kibongo mnakatwa mnakatika kabisa
Isije tu ikawa unachanganya kati ya Toyota Crown na Toyota Brevis.Mambo yanakwenda kasi sana, hizi za mkononi kuna kipondi zilifika tsh 4,000,000 na bado watu walizisusa...jamaa'angu mmoja alipewa offer ya 2m akataka kupigana.
Leo inauzwa 13.8m, sio poa!
Na mimi nahisi hivyo.Isije tu ikawa unachanganya kati ya Toyota Crown na Toyota Brevis.
Siyo crown athlete, itakuwa unazungumzia Toyota brevisMambo yanakwenda kasi sana, hizi za mkononi kuna kipondi zilifika tsh 4,000,000 na bado watu walizisusa...jamaa'angu mmoja alipewa offer ya 2m akataka kupigana.
Leo inauzwa 13.8m, sio poa!