Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

😂😂😂 Aiseee na huyu Leviz kasema milioni 5 ... Ukweli ni upi?
Usicheze na madalali unaweza ukakuta kuna mwingine kapost M25 hapo kinaviziwa kichwa tu, kuna madalali watatu waligonganishwa na sistadu mmoja akiwa na jamaa yake huyu anasema nyumba laki 8, huyu anasema 1.5M na huyu anasema 2.5M alafu nyumba ni Ile Ile madalali tofauti sista akasema subiri akawagonganisha mbuu wote pamoja wanaanza kuitana pembeni wampange, mjini Shule madalali wanakula kwa mtelezo

Kuna mmoja kabananishwa juzi akaulizwa swali km hilo akajibu kwa sailenza kwamba Gari unaweza ikawa inauzwa 10M Ila mteja akaja akalala 5M wakaongea na mwenye Gari akakubari 5M ikatokea mlipaji akawa hajaweza kulipa dalali atatembea na Ile Ile 5M Ila kuna wengine waliochukua tenda kwa 10M ndio hao wanapandisha cha juu 13M mpaka 15M ili na yeye apate ya Maji

Madalali wanaishi kwa mtelezo hawatumii nguvu nyingi ni maneno tu mtu anabinya Milion kadhaa
 
Kuna jamaa ana Harrier yenye cc. 2900 na anasema chuma inanusa tu mafuta eti. Mwaka wa 5 huu jamaa anatembea huku akiwa amekaa.

Hivyo kama kuna mnunuzi wa hii chombo, anunue tu. Asisikilize maneno ya kukatisha tamaa kutoka kwa wamiliki wa Passo, Vits, Suzuki Kei, Suzuki swift, Fekon, King Lion, Boxer, nk.
 
Karibuni Wana jF Mimi kama dalali kijana nakuja kwenu na offer kubwa ya altezza inayohitaji million 7 tu na ipo katika clean condition
1000157969.jpg
1000157973.jpg
1000157974.jpg
1000157976.jpg
1000157978.jpg
1000157977.jpg
 

Attachments

  • 1000157980.png
    1000157980.png
    49.7 KB · Views: 4
Back
Top Bottom