Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Nimeshainunua angalia vizuri hapo ofisini kwenu bado IPO?Wewe ni tapeli gari ipo ofisini kwetu magomeni na haiuzwi bei hyo wewe unakujaje kuitangaza kwa 5m?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshainunua angalia vizuri hapo ofisini kwenu bado IPO?Wewe ni tapeli gari ipo ofisini kwetu magomeni na haiuzwi bei hyo wewe unakujaje kuitangaza kwa 5m?
Mi nimenda rangi, gari za njano kali sanaGari yako nzuri sana imetulia
Wadau wanasema ongeza bei, walau 10mBoss anashida na pesa ndio maana
😂😂😂 Aiseee na huyu Leviz kasema milioni 5 ... Ukweli ni upi?nimeshindwa kuaattach hapa ila kuna sehemu wamepost hii gari ni 13Mln mkuuView attachment 2944590
Usicheze na madalali unaweza ukakuta kuna mwingine kapost M25 hapo kinaviziwa kichwa tu, kuna madalali watatu waligonganishwa na sistadu mmoja akiwa na jamaa yake huyu anasema nyumba laki 8, huyu anasema 1.5M na huyu anasema 2.5M alafu nyumba ni Ile Ile madalali tofauti sista akasema subiri akawagonganisha mbuu wote pamoja wanaanza kuitana pembeni wampange, mjini Shule madalali wanakula kwa mtelezo😂😂😂 Aiseee na huyu Leviz kasema milioni 5 ... Ukweli ni upi?
Year of manufacture 2015 halafu unaita ni new model
Lipo wapi hilo gari, tuwekee tulioneGari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
Umejuaje [emoji3][emoji3]Watakuja mkuu Inshaallah
sasa hivi wapo bar wanasahau shida