Tunauza malori(tractor unit) ya Howo na matela
_Malori yapo mapya(brand new) na yaliyotumika china (second hand) ambayo yamefanyiwa refubrishment.
_Bei ya lori jipya ni Tzsh Mil 130 pamoja na ushuru.
_Bei ya used ni Tzsh mil 80 pamoja na ushuru.
Njia za malipo kwa used _unatanguliza mil 60 gari ikifika Dar unamalizia mil 20.Kwa jipya unatanguliza mil 100 inayobaki mil 30 italipwa ndani ya miezi mitano ukishapokea gari
_Gari utaipata ndani ya wiki tatu baada ya kufanya malipo
_Tela za flatbed tunauza mil 45 tu
Ofisi yetu ipo jengo la mlimani towers opposite na mlimani city.
Mawasiliano/whatsap +255759399805
View attachment 2716527View attachment 2716531View attachment 2716528View attachment 2716529View attachment 2716530View attachment 2716532View attachment 2716533View attachment 2716534