Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

Voxy
Namba_B
Mwaka_2002
Automatic
Injini_1Az
Cc_1990
Mileage_134598
Bei_Tzsh 4500000/=
Gari ipo Dar kigamboni
Mawasiliano 0620383653
whatsap 0759399805

 
Tata inauzwa
Model Lp909
Namba C
Haina tatizo lolote
Bei_Tzsh 35mil
whatsap 0759399805
Call 0630383653
Gari ipo Mbeya mjini



Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Basi linauzwa
Zhongtong Caeser
Siti 2by2(60)
Engine scania 94_310
Gearbox scania gia 8
Front axle scania
Halina tatizo lolote, linafanyakazi
Bei tzsh 50 mil
Mawasiliano 0676599805
Whatsap 0759399805

 

Attachments

  • IMG-20220912-WA0061.jpg
    54.3 KB · Views: 20
Huyo jamaa kwenye tairi mwambie atoke hapo asije kutuletea kesho hahahaha.

Gari nzuri.
 
Ww ndiyo baba queen?
 
Market price ya hdj80-81 ni 20-35M, occasionally unaweza pata hata 15M >
 
10m tzs inakaa kidogo lakini gari ya zamani utasumbuka sana
Ni kweli lakini si kwa LC XV 80s, tunazo ofisini kwetu kama 2 na ni za 1992, zinapiga kazi ya field asikwambie mtu na hazina dalili yoyote ya kufa kesho au kesho kutwa. cha msingi apate ambayo iko kwenye good condition
 
Ni kweli lakini si kwa LC XV 80s, tunazo ofisini kwetu kama 2 na ni za 1992, zinapiga kazi ya field asikwambie mtu na hazina dalili yoyote ya kufa kesho au kesho kutwa. cha msingi apate ambayo iko kwenye good condition
Bongo iko gari cheap natafuta gari ya millioni 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…