mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Nasubiria nipige hela ya udereva kwa bibi faizaOhooooo!!!
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiria nipige hela ya udereva kwa bibi faizaOhooooo!!!
FaizaFoxy ; Kumbe una maneno makali !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!😀😀😀😀😀😀Cash, tena huko huko Tanga nmamtuma punguani mmoja kama wewe akailete.
MABASI YA SHAOLIN KWA GHARAMA NAFUU ZAIDI
MODEL🙁SLG6120C3E)
Mita 12 (4x2)
Urefu_1200mm
Upana_2550mm
Urefu kwenda juu_3600 ikiwa na AC
Wheel base_6200_(5000)
Umbali wa tairi la mbele na la nyuma _2030mm/1860mm
Uzito_16000Kg
Curb weight_10890Kg
INJINI:
Euro ii
YC6J245_30RHD
Cummins L245 20
8300cc
245hp
GIA BOKSI:
Fast Gear box
ZF Gear box.
QJS6_90
SITI
2x2(31+1+1)
2x2(50+1+1)
Siti za kitambaa au za leather zikiwa na usb ports
Suspension_Leaf spring
Mfumo wa breki_Drum pamoja na brake shoe/Disc brake(chaguo la mteja)
Ritada__Telma,Hydraulic(chaguo la mteja
ABS_Wabco
Tairi_10R22.5
Betri ya Alternator_195Ah
Tenki la mafuta_lita 300(280)
Mlango wa mbele_Automatic
Madirisha_Yanafunguka na kufungika:
Rangi ya Body _Chaguo la mteja
Camera ya rivasi
Vitu vya ziada ambavyo mteja atachagua viwekwe au visiwekwe
AC
Buti za mizigo automatic
Pazia
Friji
Usb ports
Siti za leather
Wifi_2G/3G/4G
WARRANTY:
150,000Km au mwaka mmoja na nusu kwa injini za Cummins.
NJIA ZA MALIPO
Malipo yanaweza kufanyika kwa njia mbili
1.Cash
2.Malipo kwa awamu baada ya kutanguliza asilimia 30% kwa gari la abiria 50 ambalo bei yake ni CIF $ 67,300/= inayobaki asilimia sabini 70% italipwa ndani ya miezi kumi na mbili(12) ukishapokea gari lako.
Basi litachukua siku 35_45 kukufikia kutoka kiwandani
Basi la Abiria 29
Bei yake ni CIF $30,800/=
Malipo ya awali ni asilimia 60% ambayo ni $18,480/=
asilimia 40% italipwa ndani ya miezi sita ukishalipokea gari lako,
Basi litachukua siku 40_45
Bei hii ni bila ushuru
Basi la abiria 19
Bei yake ni CIF $ 22,800/=
Malipo yake ya awali ni asilimia 50% ambayo ni $11,400/= asilimia 50% inayobaki italipwa ndani ya miezi sita ukishalipokea gari lako
Basi litachukua siku 40_45 kukufikia
Bei hii ni bila ushuru
USHURU
Gharama za ushuru mteja anaweza kulipa mwenyewe au akatoa pesa kwa kampuni ikamlipia kwa kuwa gharama za ushuru ni za mteja na si kampuni.
Vile vile tunauza mabasi makubwa na madogo pia tunauza na malori aina mbali mbali yaliyotumika Uingereza (UK) kwa gharama nafuu zaidi.
Ofisi zetu zipo Jengo la mlimani Towers opposite na mlimani city floor ya nane.Karibuni sana
kwa mawasiliano zaidi
+255 759 399 805
whatsap +255 759 399 805View attachment 1083466View attachment 1083457View attachment 1083458View attachment 1083459View attachment 1083460View attachment 1083461View attachment 1083463View attachment 1083462View attachment 1083464
Jini hili nyonya damu dah sina hamu
😂😂😂😂 gari inasemwa hii ni balaa ingekuwa ni ugonjwa ingepewa jina la korona!Jini hili nyonya damu dah sina hamu