kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Watu wanne wanakaa wapi kwenye hiyo gari?
[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanne wanakaa wapi kwenye hiyo gari?
🤣🤣🤣😁😁😁mwambie asubirie akue ndipo ajadili magari😂Kama 1999 ulikuwa hujaanza shule,let's assume umeanza chekechea 2000,alafu ukamaliza la Saba 2007 (Bado hujabarehe), ukabarehe ukiwa form 2 mwaka 2009 (which is unlikely ubarehe na kumpa mimba Binti mwaka huo)
Mtoto wako naye likely kabarehe Ana Miaka 14,ndivo kusema naye kampa Binti mimba mwezi January mwaka huu🤣 ,na wewe Uhuru unataka kuzidi
Hiyo noah ya ml 8 inapatikana wapi?Yaani uaribu m6.9 kwa kigari cha kubeba watu wanne na milango miwili wakati iliongeza m2 unavuta noah unakula vichwa tu
asante sana chiefEndelea tu mkuu, haina shida [emoji1666]
Hii gari imeiona kule kwenye eneo la hekari 2 linalouzwa.
Hii maana yake nini? Hivi laiti mama yako angekuwepo humu JF angefurahia hicho ulichokiandika...?Kama hiyo gari ni namba D basi mama yangu ni bikra